Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Aisee nafsi nyingi sana ukikosa hapo dah utastahiki polee nzitoNafasi ni 800 mkuu, mimi pia ni mmojawapo walioitwa kwenye written MUNGU afanye wepesi....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Aisee nafsi nyingi sana ukikosa hapo dah utastahiki polee nzitoNafasi ni 800 mkuu, mimi pia ni mmojawapo walioitwa kwenye written MUNGU afanye wepesi....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Tulia!! ingia tena kwenye profile yako hakiki kama ni kweli ulipeleka vyeti ambavyo havina muhuri wa wakili. Inawezekana kwa bahati mbaya kweli uka-upload ambavyo havijahakikiwa. Kama ukikuta vyeti vyako vina muhuri wa wakili, wasiliana na PSRS na watarekebisha!! Unapoona PSRS wameongeza majina ya ziada huwa ni kwa sababu kama hizo. Hii bahati mbaya ilishawahi kuwatokea wengine pia na walipofanya mawasiliano, mambo yalirekebishwa na wakaitwa kama majina ya nyongeza.MIMI NIMEKOSA ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE NIMEVYOWEKA VINA MUHURI WA MWANASHERIA NA HUYO HUYO MWANASHERIA ALITUPIGIA MUHURI WATU TULIKUA KAMA 20 HIVI KILA MTU NA VYETI VYAKE CHA AJABU WOTE WAMEPATA MIMI TU NDO NIMEKOSA
Kama nafasi ni 800, hii itakuwa ni moja ya saili ambazo uwiano wa nafasi kwa idadi ya wasailiwa ni nzuri sana. Ni takriban nafasi moja inagombaniwa na watu 7. Kwa kawaida karibuni theluthi moja ya walioitwa huwa hawatokei kutokana na changamoto mbalimbali hasa ya kifedha. Ina maana kwa watakaofanikiwa kwenda uwiano utakuwa mzuri zaidi kama nafasi moja kugombewa na watu 5. Nawaombea mafanikio watakaohudhuria usaili na jipangeni vizuri. Hii ni moja ya nafasi yenye uwezekano mkubwa mno wa kulamba asali kwa wahusika!! All the best!!Nafasi ni 800 mkuu, mimi pia ni mmojawapo walioitwa kwenye written MUNGU afanye wepesi....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Shukrani mkuu, na hii imepangwa kwa zone so kila mtu nafikiri kama itakua yupo eneo alipokua ameweka address basi nadhani wengi pia tutaenda.Kama nafasi ni 800, hii itakuwa ni moja ya saili ambazo uwiano wa nafasi kwa idadi ya wasailiwa ni nzuri sana. Ni takriban nafasi moja inagombaniwa na watu 7. Kwa kawaida karibuni theluthi moja ya walioitwa huwa hawatokei kutokana na changamoto mbalimbali hasa ya kifedha. Ina maana kwa watakaofanikiwa kwenda uwiano utakuwa mzuri zaidi kama nafasi moja kugombewa na watu 5. Nawaombea mafanikio watakaohudhuria usaili na jipangeni vizuri. Hii ni moja ya nafasi yenye uwezekano mkubwa mno wa kulamba asali kwa wahusika!! All the best!!
Unaweza kukuta hii idadi uliyotaja ikawa ndo idadi ya watakaohudhuria usaili!! Watu wanakabiliwa na changamoto sana! Wengi huwa hawahudhurii!! Nashauri wahusika wafanye kila linalowezekana kuhudhuria usaili. Hii ni moja ya nafasi zilizohitaji watu wengi zaidi.Changamkieni fursa hizo.. kwenda kula Bata huko Halmashauri
Hii ni Moto mwaka huu, watu zaidi ya 2399 wataingia Oral interview
Kama nafasi ni 800, hii itakuwa ni moja ya saili ambazo uwiano wa nafasi kwa idadi ya wasailiwa ni nzuri sana. Ni takriban nafasi moja inagombaniwa na watu 7. Kwa kawaida karibuni theluthi moja ya walioitwa huwa hawatokei kutokana na changamoto mbalimbali hasa ya kifedha. Ina maana kwa watakaofanikiwa kwenda uwiano utakuwa mzuri zaidi kama nafasi moja kugombewa na watu 5. Nawaombea mafanikio watakaohudhuria usaili na jipangeni vizuri. Hii ni moja ya nafasi yenye uwezekano mkubwa mno wa kulamba asali kwa wahusika!! All the best!!
Nasubiri hiyo siku ya placement zao hili jukwaa litachangamka sana, tatizo tu huwa wanazitoa kidogo kidogo! Wangezitoa kwa pamoja hiyo furaha jukwaani itazidi kifani!Naunga mkono hoja. Ukibahatika kwenda Oral una possibility kubwa ya kulamba Asali.
Hawatatoa watu 800 mkupuo ni ngumuNasubiri hiyo siku ya placement zao hili jukwaa litachangamka sana, tatizo tu huwa wanazitoa kidogo kidogo! Wangezitoa kwa pamoja hiyo furaha jukwaani itazidi kifani!
wachek huku utaekwa kwenye majina ya nyongezaMIMI NIMEKOSA ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE NIMEVYOWEKA VINA MUHURI WA MWANASHERIA NA HUYO HUYO MWANASHERIA ALITUPIGIA MUHURI WATU TULIKUA KAMA 20 HIVI KILA MTU NA VYETI VYAKE CHA AJABU WOTE WAMEPATA MIMI TU NDO NIMEKOSA
Wapigie jumatatu, ila usiwe unadanganya tekinolojia itakukamata..usije ukawa Leo baada ya kuona hivyo umemtafuta haraka advocate..😅😅😅😅MIMI NIMEKOSA ETI WANANAMBIA VYETI HAVIKUHAKIKIWA NA KUPIGWA MUHURI MWANASHERIA AU MAHAKAMANI CHA AJABU VYOTE VYOTE NIMEVYOWEKA VINA MUHURI WA MWANASHERIA NA HUYO HUYO MWANASHERIA ALITUPIGIA MUHURI WATU TULIKUA KAMA 20 HIVI KILA MTU NA VYETI VYAKE CHA AJABU WOTE WAMEPATA MIMI TU NDO NIMEKOSA
🙏Don’t be afraid, for I am with you. Don’t be discouraged, for I am your God. I will strengthen you and help you. I will hold you up with my victorious right hand (Isaiah 41:10 NLT).
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nakubali Ila fahamu hii wamejitahidi kuwapangia Kikanda, hvyo itarahisisha watu kwenda kupambania nafasi. Kuita watu sehemu moja inanyima nafasi za watu kuhudhuria saili maana changamoto kubwa ni pesa za Malazi, chakula na usafiriUnaweza kukuta hii idadi uliyotaja ikawa ndo idadi ya watakaohudhuria usaili!! Watu wanakabiliwa na changamoto sana! Wengi huwa hawahudhurii!! Nashauri wahusika wafanye kila linalowezekana kuhudhuria usaili. Hii ni moja ya nafasi zilizohitaji watu wengi zaidi.
Akikujibu ni tag mkuu.Una umri gani?
PSRS wanaendelea kutulamba watu wa afya Mfano.MUHIMBILI mwaka Jana wamepeleka watu dodoma .N
Nakubali Ila fahamu hii wamejitahidi kuwapangia Kikanda, hvyo itarahisisha watu kwenda kupambania nafasi. Kuita watu sehemu moja inanyima nafasi za watu kuhudhuria saili maana changamoto kubwa ni pesa za Malazi, chakula na usafiri
Mbona umekua direct halmashauri? Yaweza kua Halmashauri, wizarani, kwenye agency piaChangamkieni fursa hizo.. kwenda kula Bata huko Halmashauri
Hii ni Moto mwaka huu, watu zaidi ya 2399 wataingia Oral interview
Mkuu vyote vina muhuriTulia!! ingia tena kwenye profile yako hakiki kama ni kweli ulipeleka vyeti ambavyo havina muhuri wa wakili. Inawezekana kwa bahati mbaya kweli uka-upload ambavyo havijahakikiwa. Kama ukikuta vyeti vyako vina muhuri wa wakili, wasiliana na PSRS na watarekebisha!! Unapoona PSRS wameongeza majina ya ziada huwa ni kwa sababu kama hizo. Hii bahati mbaya ilishawahi kuwatokea wengine pia na walipofanya mawasiliano, mambo yalirekebishwa na wakaitwa kama majina ya nyongeza.
Ila kama ni kweli vyeti vyako havikuwa na muhuri wa wakili, viondoe hivyo na u-upload vyenye muhuri na usubiri tena advertisement zijazo.
AmenDon’t be afraid, for I am with you. Don’t be discouraged, for I am your God. I will strengthen you and help you. I will hold you up with my victorious right hand (Isaiah 41:10 NLT).
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app