HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Lakn pia kwa hisia zngu sidhani kama kutakua na haki kwenye hizi ajira za TRA kama mchakato ungeendeshwa na psrs,mabosi wanaumia kuona vijana wao wanakandwa kila siku pale psrs sasa ni wakati wa kufnya jambo lao
Unachoandika kuhusu TRA ni kweli , nilihudhuria usahili mwezi wa tano utumishi Dodoma ,kuna chalii mmoja ni mfanyakazi wa PSRS tulimuuliza kuhusu hili suala la double standard iweje wengine wafanyiwe usahili na taasisi na wengine wakakandwe na psrs ?
Akaniambia taasisi hasa TRA ,wale kabisa wanachukia kuona vijana wao wa internship wanashikishwa ukuta kila usahili ,yaani rate Yao ya kutoboa sahili za pale Utumishi ni ndogo mno hata asilimia kumi alisema hadhani kama inafika so aka conclude suala la wao kuomba kibali kufanyishwa usahili wenyewe halihusiani na kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira bali ni fedheha ya vimada wao na ndugu zao waliowaweka kama interns hapo TRA kuangukia pua kwenye sahili ,ajira wanazisikilizia kwenye bomba la Dawasa huku vijana wakitaa wakipeleka moto kwenye sahili, yaani wapambanaji wa kitaa ni kama jeshi yatima (Wagner ) na interns WA TRA ni jeshi la Ukraine ,😄😄😄😄😄😄😄
 
Ila ukweli mimi nasema ya moyoni kabisa.

Utumishi wanaelemewa na usahili inaonekana nguvu kazi ni ndogo wanashindwa kuendesha usaili kwa wakati. Napenda sana kuona utumishi wakiendelea na usaili ila wanazidiwa sana na hii itapelekea taasisi nyingi sana kuomba kibali cha kuajiri wenyewe.

Taasisi mpaka ikatangaza nafasi za kazi kutumia utumishi inamaana ilishapata kibali na hao watu wanahitajika haraka kujaza nafasi.

Nasema hivo kwasababu gani kuna taasisi ambazo zimetangaza kazi kupitia utumishi ndani ya mwezi kila kitu kikawa kimekamilika, kuanzia tangazo, written mpaka oral. Mfano mzuri bunge walisimamia wenyewe kuanzia written mpaka Oral na kila kitu kila chap.

Angalia jinsi usaili wa utumishi unavyokwenda slow, wakitoa tangazo kuja kufanya written wakijitahidi sana mwezi na nusu kuja kutoa placements miez 3. Angalia zile za LGA/MDA mpaka sasa kuna post hawajapangiwa, tunakwenda mwaka 2 huu. Siamini taasisi ihitaji watu afu wasubiri mpaka miez 3 siko kweli. Kuna ka uzembe utumishi, wakubali wanazidiwa.

Labda mnambie kibali cha kuajiri anatoa utumishi au serikali? Na hizi taasisi wanapewa kibali kutoka serikalini au kutoka utumishi??

Jambo lingine, utumishi toeni matokeo ya Oral kama ni PASS/FAIL mtu aone kwenye status yake. Kama mtu yuko kwenye database bhs ajue, kama mnatoa matokeo ya watu 2,000 mtashindwaje kutoa ya Oral??. Tuko kwenye dunia ya uwazi kwa sasa baada ya Oral wekeni matokeo mtu aone status yake. Mtu ana haki ya kujua matokeo yake ya Oral, mnaficha ficha nini?? Acheni uhuni.

Utumishi mjitahidi baada ya mkishatoa tangazo ndani ya mwezi kila kitu kiwe kimekamilika.
 
Akaniambia taasisi hasa TRA ,wale kabisa wanachukia kuona vijana wao wa internship wanashikishwa ukuta kila usahili ,yaani rate Yao ya kutoboa sahili za pale Utumishi ni ndogo mno hata asilimia kumi alisema hadhani kama inafika so aka conclude suala la wao kuomba kibali kufanyishwa usahili wenyewe halihusiani na kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira bali ni fedheha ya vimada wao na ndugu zao waliowaweka kama interns hapo TRA kuzipiga kwenye sahili ,ajira wanazisikilizia kwenye bomba la Dawasa huku vijana wakitaa wakipeleka moto kwenye sahili, yaani wapambanaji wa kitaa ni kama jeshi yatima (Wagner ) na interns WA TRA ni jeshi la Ukraine ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Hiyo ni kweli wale interns wengi ni watoto na ndugu zao.
 
Level mishahara serikalini hili tatizo litaisha
1. Degree zote za miàka 3 waanze na 1M
2. Degree za miàka 4 waanze na 1.2M
3. Degree za miàka 5 waanze na 1.4M
Mishahara iwe Sawa na scale iwe moja Kwa watumishi wa serikali bila kujali taasisi
Degree miaka 3, 4 au 5 ni maamuzi tu. Au kuna thamani tofauti ya Degree hizo?
 
Lakn pia kwa hisia zngu sidhani kama kutakua na haki kwenye hizi ajira za TRA kama mchakato ungeendeshwa na psrs,mabosi wanaumia kuona vijana wao wanakandwa kila siku pale psrs sasa ni wakati wa kufnya jambo lao
Ankoli 😂, don't worry, kijiti kupokezana,
 
Unachoandika kuhusu TRA ni kweli , nilihudhuria usahili mwezi wa tano utumishi Dodoma ,kuna chalii mmoja ni mfanyakazi wa PSRS tulimuuliza kuhusu hili suala la double standard iweje wengine wafanyiwe usahili na taasisi na wengine wakakandwe na psrs ?
Akaniambia taasisi hasa TRA ,wale kabisa wanachukia kuona vijana wao wa internship wanashikishwa ukuta kila usahili ,yaani rate Yao ya kutoboa sahili za pale Utumishi ni ndogo mno hata asilimia kumi alisema hadhani kama inafika so aka conclude suala la wao kuomba kibali kufanyishwa usahili wenyewe halihusiani na kucheleweshwa kwa mchakato wa ajira bali ni fedheha ya vimada wao na ndugu zao waliowaweka kama interns hapo TRA kuangukia pua kwenye sahili ,ajira wanazisikilizia kwenye bomba la Dawasa huku vijana wakitaa wakipeleka moto kwenye sahili, yaani wapambanaji wa kitaa ni kama jeshi yatima (Wagner ) na interns WA TRA ni jeshi la Ukraine ,😄😄😄😄😄😄😄
Kitaa watu wako nondo balaa ukimjulisha na njaa basi material yanashuka tu
 
Mimi huwa siamini kwenye double standard kabisa na watu wataprove ninachokisema kwenye huu usahili wa TRA ,wewe subiri .
Kama serikali imeshindwa kutatua changamoto za psrs basi ni taasisi basi interviews zote zifanywe na wao ,utumishi /psrs wawe wasimamizi lakini hii double standard sidhani kama ni sawa , inatengenezwa mianya ya kupitisha vilaza kinyemela
 
Baba kanituma
 
Ila ukweli mimi nasema ya moyoni kabisa.

Utumishi wanaelemewa na usahili inaonekana nguvu kazi ni ndogo wanashindwa kuendesha usaili kwa wakati. Napenda sana kuona utumishi wakiendelea na usaili ila wanazidiwa sana na hii itapelekea taasisi nyingi sana kuomba kibali cha kuajiri wenyewe.

Taasisi mpaka ikatangaza nafasi za kazi kutumia utumishi inamaana ilishapata kibali na hao watu wanahitajika haraka kujaza nafasi.

Nasema hivo kwasababu gani kuna taasisi ambazo zimetangaza kazi kupitia utumishi ndani ya mwezi kila kitu kikawa kimekamilika, kuanzia tangazo, written mpaka oral. Mfano mzuri bunge walisimamia wenyewe kuanzia written mpaka Oral na kila kitu kila chap.

Angalia jinsi usaili wa utumishi unavyokwenda slow, wakitoa tangazo kuja kufanya written wakijitahidi sana mwezi na nusu kuja kutoa placements miez 3. Angalia zile za LGA/MDA mpaka sasa kuna post hawajapangiwa, tunakwenda mwaka 2 huu. Siamini taasisi ihitaji watu afu wasubiri mpaka miez 3 siko kweli. Kuna ka uzembe utumishi, wakubali wanazidiwa.

Labda mnambie kibali cha kuajiri anatoa utumishi au serikali? Na hizi taasisi wanapewa kibali kutoka serikalini au kutoka utumishi??

Jambo lingine, utumishi toeni matokeo ya Oral kama ni PASS/FAIL mtu aone kwenye status yake. Kama mtu yuko kwenye database bhs ajue, kama mnatoa matokeo ya watu 2,000 mtashindwaje kutoa ya Oral??. Tuko kwenye dunia ya uwazi kwa sasa baada ya Oral wekeni matokeo mtu aone status yake. Mtu ana haki ya kujua matokeo yake ya Oral, mnaficha ficha nini?? Acheni uhuni.

Utumishi mjitahidi baada ya mkishatoa tangazo ndani ya mwezi kila kitu kiwe kimekamilika.
Ukweli usiopingika huu japo ni mchungu, utumishi sasa ni ama wabadilike au wakubali tu wameshindwa kusimamia zoezi la kusajiri taasisi ziendeshe saili
 
Back
Top Bottom