HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakulungwa naomba mnipe dondoo hapa namna ya kufahamu Check Number yangu ya Ajira maana ni zaidi ya miezi Sasa,, nimejaribu kumface HR naona Yuko busy sana Hadi nimechoka..
Naweza kuingia portal ipi ambayo naweza kujaza taarifa zangu na ku-access Check namba yangu
Ina maana huna kitambulisho? Vitambulisho vingi kwenye utumishi wa umma huonesha pia check number. Mwambie HR akutengenezee salary slip, mwambie unaihitaji kwenye masuala ya mikopo. Kila salary slip huonesha pia check number.
 
NECTA wanatumia scale za PTSS kwa waajiriwa waalimu wanaoshughulika moja kwa moja na masuala ya mitihani. Waajiriwa wengine wanatumia scale za PGSS. Entry point kwa kila scale inategemeana na sifa za kitaaluma za mwajiriwa husika.
Kwenye matangazo Yao hawaweki PTSS wala PGSS ila wanaweka tu NECTA SCALE. Sijui kwanini wanafanya Siri kwenye mambo ya msingi wakati ni haki ya mtu anaeomba kazi kujua. Hiyo PTSS ni Scale mpya kidogo ni TAASISI nyingine wanatumia hiyo?
 
PTSS ni scale za mishahara za walimu wanaofanya kazi kwenye mashirika ya umma. Kwa mfano NECTA, Shule za msingi na sekondari zilizo chini ya mashirika ya umma kama vile Mlimani Primary School iliyo chini ya UDSM, Shule ya sekondari iliyopo pale DUCE chini ya UDSM pia, Kibaha Sekondari (japo kwa sasa nasikia imeachana na scale hizo, hii ni dalili kuwa iko mbioni kumilikiwa na serikali moja kwa moja).
 
Mkuu unakaza Mwifwa hebu tolea ufafanuzi hili swala najua umeshapita.
Mkuu according to wachangiaji kwenye huu uzi status inamaana sana hususan kwenye App.... Walioshuhudia kupata post wengi wao kwenye App walikua na selected for oral, unasemaje tena status haina maana..."I stand to be corrected"
 
Ina maana huna kitambulisho? Vitambulisho vingi kwenye utumishi wa umma huonesha pia check number. Mwambie HR akutengenezee salary slip, mwambie unaihitaji kwenye masuala ya mikopo. Kila salary slip huonesha pia check number.
Nishapata MzeeBaba
 
J
Mkuu according to wachangiaji kwenye huu uzi status inamaana sana hususan kwenye App.... Walioshuhudia kupata post wengi wao kwenye App walikua na selected for oral, unasemaje tena status haina maana..."I stand to be corrected"
Kuna wadau ilikuwa inasoma not selected na kwenye mkeka walikuwepo ndo maana inaleta ukakasi

Jamaa angu kapangiwa kazi izi za MDAs & LGAs

Lakini status yake ni not selected kwenye app na web ni selected

Apa ndo napo pata shida hebu wazoefu watolee ufafanuzi.
 
Status yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo
Kuna mwamba mmoja alikuja na ushuhuda amepata kz na status yake alisemaga ilipitia mabadlko mengi hvyo na shauri hapa hakuna mwenye uhakika wa hii taarifa Moja Kwa Moja therefore usizipuuzie pdf japo ni uamuz mzuri kuto raise Your hopes up
 
Mimi kwangu status ni hiyo ya kijani selected for oral interview , Kwahiyo Mwifwa unanishaurije hapo ? nijiandae kufuata barua ya ajira au sio Kaka ?
Aisee hapo kuna mawili uonekane kweny pdf au uwepo kwny kanzidata...ongeza maombi mtaalam
 
Back
Top Bottom