HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
J

Kuna wadau ilikuwa inasoma not selected na kwenye mkeka walikuwepo ndo maana inaleta ukakasi

Jamaa angu kapangiwa kazi izi za MDAs & LGAs

Lakini status yake ni not selected kwenye app na web ni selected

Apa ndo napo pata shida hebu wazoefu watolee ufafanuzi.
PDF ndo kila kitu IV kuna wadau bado mnaangalia status baada ya oral mpaka Leo😂😂😂😂 keshen kweny placement PDF PDF PDF
 
PDF ndo kila kitu IV kuna wadau bado mnaangalia status baada ya oral mpaka Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] keshen kweny placement PDF PDF PDF
Hata mm naona uhakika wa asali ni PDF....
Ukishajiona humo basi tena haijalishi kule kuna status ipi as long as oral ulifika
 
PTSS ni scale za mishahara za walimu wanaofanya kazi kwenye mashirika ya umma. Kwa mfano NECTA, Shule za msingi na sekondari zilizo chini ya mashirika ya umma kama vile Mlimani Primary School iliyo chini ya UDSM, Shule ya sekondari iliyopo pale DUCE chini ya UDSM pia, Kibaha Sekondari (japo kwa sasa nasikia imeachana na scale hizo, hii ni dalili kuwa iko mbioni kumilikiwa na serikali moja kwa moja).
Najaribu kuwaza mshahara wa mwalimu anaefundisha kiswahili SHULE ya mazoezi Chang'ombe ana mshahara Sawa na Afisa wa NECTA anaesimamia, utungaji,usahihishaji wa mitihani nchi nzima. Huyu mmoja yupo kwenye risk sana. Ila Kwa Tz Kila kitu kinawezekana.
 
Vipi wale ambao tumepigiwa simu tukafate barua before pdf kutoka?
Ujue pdf kuna wakati linachelewa mno ukilinganisha na tarehe ya barua
Huenda uliko ajiriwa wanakuhitaji fasta ukaripoti kabla hata pdf halijatoka...
Lkn ujihakikishie mpigaji wa simu awe kweli wa mamlaka zinazohusika isje kuwa ni kuingizana mjini!
 
Ujue pdf kuna wakati linachelewa mno ukilinganisha na tarehe ya barua
Huenda uliko ajiriwa wanakuhitaji fasta ukaripoti kabla hata pdf halijatoka...
Lkn ujihakikishie mpigaji wa simu awe kweli wa mamlaka zinazohusika isje kuwa ni kuingizana mjini!
Sawa basi ngoja nisikilizie ila nimepigiwa simu kama siku 4 before na pdf bado
 
Sawa basi ngoja nisikilizie ila nimepigiwa simu kama siku 4 before na pdf bado
Saa unasubiri nn??
Hebu fanya hivi
Ingia google andika jina lako kama ulishapangiwa na wakakuweka kwa pdf utajiona kama hawajalitoa kweli hilo pdf nenda tu pia useme ulipigiwa smu huwezi jua
 
NECTA wanatumia scale za PTSS kwa waajiriwa waalimu wanaoshughulika moja kwa moja na masuala ya mitihani. Waajiriwa wengine wanatumia scale za PGSS. Entry point kwa kila scale inategemeana na sifa za kitaaluma za mwajiriwa husika.
Ok sawa asante.

Je mtumishi wenye digrii ya kwanza anayeanza kazi kwa hiyo PTSS na huyo wa PGSS (Yaani Elimu yao ni moja)

Je wanatofautiana?

Mfano vyuo vikuu wapo wanao lipwa kwa PUT na PGSS hawa hata kama wataanza kwa level moja ya elimu mfano wote Bachelor , salary zinatofautiana wale wa PUT wapo juu kuliko PGSS

Je vipi hapa kwenye PTSS na PGSS?
 
Kwenye matangazo Yao hawaweki PTSS wala PGSS ila wanaweka tu NECTA SCALE. Sijui kwanini wanafanya Siri kwenye mambo ya msingi wakati ni haki ya mtu anaeomba kazi kujua. Hiyo PTSS ni Scale mpya kidogo ni TAASISI nyingine wanatumia hiyo?
Hii PTSS wanatumia kwenye taasisi nyingi zinazo husiana na mambo ya Elimu ( taasisi zilizo chini ya wizara ya elimu) mfano Taasisi ya elimu Tanzania (TET), ADEM n.k
 
Back
Top Bottom