HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu makofia360 nini kinaendelea mzee ?

Maana tangu umetoa updates za mwisho (nadhani ilikua ni Ijumaa) ulisema kwamba mzigo wa barua umeshawasili masijala ya nje lakini hadi leo kimya hakuna placement.

NB:-
Nimesema hadi leo kimya kwa maana ya kwamba matangazo mawili ya placement yaliyotolewa, Mwalimu Nyerere University of Agriculture na MUHAS hao wote hawachukui barua Dodoma, bali wanaenda Butiama na Upanga (respectively) kuwasilisha vyeti na kupewa barua zao za ajira.
 
Barua zinafika mda tu sijajua nini changamoto ndiyo maana wakati mwengine unakuta barua tarehe inasoma 10 ila placement inatoka tarehe 29 kiukweli barua za group la watumushi wapya zipo sijui shida ni nini huko ngazi za juu na IT
 
Okay asante sana mkuu
 
Wale wanaoomba received mpya muende na mda mchakato ule uko speed mno,,,,
Yaah ni "mwendo wa ngiri, mkia juu".
Mfano ni hizi zilizotangazwa Juni 18.
Yaani za TPDF, TanPol, NIMR, TFNC, CAMARTEC, GCLA, TCAA, TAA, NIT, TEMESA, LGTI, BASATA na Makumbusho ya Taifa.
Deadline yake ni Juni 24 (Siku sita tu tangu zitangazwe)
 
Kuhamia taasisi NZURI sio rahisi mkuu, barua ukipeleka zinaishia Kwa sekretary tu. Ukienda kufuatilia majibu baada ya miezi 6 ndio hapo barua Yako inatafutwa huko makorokoroni ilikosahaulika kukuzuga watakwambia bado haijajibiwa. Kama huna mtu wa ndani utafuatilia hadi utaota kipara.
Kuna taasisi moja mlinzi wa Magufuli yule mweupe baada ya kuondoka kwenye timu ya ulinzi wa raisi kaingia huko. Wewe mtoto wa mkulima kutoka Uyole ni nani mpaka upate hapo? CV yenyewe Referee mwenye title kubwa ni Mwalimu wa sekondari.
Leo mtu kanitumia link utumishi kuhama ajira za Tamisemi unatumia mfumo Kuna reasons unaweka kuhama unachagua mkoa au kuhama kada wameboresha
 
Uhamisho anaoisema mr. leverage tofauti na huo wa tamisemi. Yeye anazungumzia mtu kuhama local Government na kuhamia shirika la uma au kutoaka tamisemi kuhamia serikakali kuu. Mfano Daktari ambaye anafanya kazi hospital ya Mwananyamala au Amana kuhamia MUHIMBILI HOSP AU BENJAMIN MKAPA HOSP. Au TRANSPORTATION OFFICER wa Halmashauri X hukamia TANESCO au Bandarini au Airport, au BOT au taasisi au shirika lolote la umma ambako mishahara yao ipo juu tofauti na Halmashauri.

Ila huo unaousema wewe wa Tamisemi ni ule wa kuhama toka Halmashauri X kwenda Halmashauri Y. Mshahara na maslai ni yaleyale.
 
Barua zinafika mda tu sijajua nini changamoto ndiyo maana wakati mwengine unakuta barua tarehe inasoma 10 ila placement inatoka tarehe 29 kiukweli barua za group la watumushi wapya zipo sijui shida ni nini huko ngazi za juu na IT
mtaalamu huu mchakato anaeuchelewesha unakuwa wa muda mrefu hivi ni psrs au taasisi zenyewe
 
Barua zinafika mda tu sijajua nini changamoto ndiyo maana wakati mwengine unakuta barua tarehe inasoma 10 ila placement inatoka tarehe 29 kiukweli barua za group la watumushi wapya zipo sijui shida ni nini huko ngazi za juu na IT
Itakuwa sahihi ya Katibu wa PSRS anachelewa kuweka kutokana na majukumu ya kazi sehemu nyingine !!!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Uhamisho anaoisema mr. leverage tofauti na huo wa tamisemi. Yeye anazungumzia mtu kuhama local Government na kuhamia shirika la uma au kutoaka tamisemi kuhamia serikakali kuu. Mfano Daktari ambaye anafanya kazi hospital ya Mwananyamala au Amana kuhamia MUHIMBILI HOSP AU BENJAMIN MKAPA HOSP. Au TRANSPORTATION OFFICER wa Halmashauri X hukamia TANESCO au Bandarini au Airport, au BOT au taasisi au shirika lolote la umma ambako mishahara yao ipo juu tofauti na Halmashauri.

Ila huo unaousema wewe wa Tamisemi ni ule wa kuhama toka Halmashauri X kwenda Halmashauri Y. Mshahara na maslai ni yaleyale.
Exactly mkuu
 
Leo mtu kanitumia link utumishi kuhama ajira za Tamisemi unatumia mfumo Kuna reasons unaweka kuhama unachagua mkoa au kuhama kada wameboresha
Mkuu huu uhamisho wa kutoka wilaya moja kwenda nyingine hauna shida. Hapa Naongelea kutoka Halmashauri kuhamia Taasisi
 
Back
Top Bottom