Bado, labda kama walipigiwa simuHv hawa TPC washatoa zile placements 18 za Postal Clerk za Form IV holders..?
Kuna dogo wangu hapa alifanya Usaili wao
Yaaah uko sahihi kabisa mkuu, me Kuna dogo wangu aliingia Hadi Oral hizo nafasi za form IV tu.. So mkeka wao sijajua hadi Leo uko vipi, pia sijafahamu wanalipa kufikia Laki 4 hawa FORM IV anayejua atujuze basi maana pungufu ya hapo basi ni njaa tu kwa Huyu dogo kijana wa mjiniSasa hiyo salary ya TPC SS 4 ni ya mtu mwenye digrii ambaye anaweza kuwa Postal Officer II n.k, kama unakumbuka kupitia tangazo la posta la mwezi Aprili nadhani walitoa nafasi 1 tu.
Na hao hawapewi hizo Honda wanaopewa honda ni wale clerk Posta (yaani kama vile Office Assistant) ambao sifa yao ni form four tu. Hii kwenye tangazo la ajira ya posta la mwezi Aprili walitoa nafasi 18.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
😂😂😂 Mkuu Mimi nipo napita mara mojamoja,, Leo nipo off kimajukumu yangu hvyo nipo sana humu Leo napiga porojo..Kuna jamaa wa kuitwa @Yankule kama sikosei,
Naye alikuwa na mzuka kama wa mfwende sawadogo , nadhani huyo ameshapata, maana haonekani kabisa kwenye huu uzi kwa sasa.
Oooh hapo sawa Mkuu hebu tusubiri najua dogo hawezi kosa Yuko bright sana kama me mwenyeweBado, labda kama walipigiwa simu
Hii mkomalie HR maana wao ndio wanaingia kwenye mfumo na kukupa lakini pia ni kitu hakizidi dk 5 kukiacessWakulungwa naomba mnipe dondoo hapa namna ya kufahamu Check Number yangu ya Ajira maana ni zaidi ya miezi Sasa,, nimejaribu kumface HR naona Yuko busy sana Hadi nimechoka..
Naweza kuingia portal ipi ambayo naweza kujaza taarifa zangu na ku-access Check namba yangu
😂😂😂 Mkuu Mimi nipo napita mara mojamoja,, Leo nipo off kimajukumu yangu hvyo nipo sana humu Leo napiga porojo..
Ule wakati wetu ulikuwa moto sana, Sasa Uzi umepoa kweli kweli,, tulikuwa na watu ambao tunaijua michakato yote ya PSRS hadi pdf fulani tulikuwa tunaotea kuwa linatoka leo
Wapi mazaga one
Mwifwa
Na wengine kabao Naamini kizazi chetu humu wengi tupo makazini 😄😄😄😄
Mlitrend sana na ishu za status sijui kama mlifika muafaka wa selected VS not selected 🤣🤣😁😂😂😂 Mkuu Mimi nipo napita mara mojamoja,, Leo nipo off kimajukumu yangu hvyo nipo sana humu Leo napiga porojo..
Ule wakati wetu ulikuwa moto sana, Sasa Uzi umepoa kweli kweli,, tulikuwa na watu ambao tunaijua michakato yote ya PSRS hadi pdf fulani tulikuwa tunaotea kuwa linatoka leo
Wapi mazaga one
Mwifwa
Na wengine kabao Naamini kizazi chetu humu wengi tupo makazini sasa
Hata mwezi bado tangu wapige oral hapo aanze kushona suti ya kwenda kuchukulia barua kuanzia mwezi ujao mwishoni,mwenyew nilipga oral sema nikakutana na ndoige ya kibabe so hata mahope sina na hzi postHv hawa TPC washatoa zile placements 18 za Postal Clerk za Form IV holders..?
Kuna dogo wangu hapa alifanya Usaili wao
Redio mbao wanasema mwezi ujao but ulipga mkoa gani Oral?Habari zenu hivi tume ya utumishi wa mahakama bado haijaita watu kazini?
MJNUAT WANACHUKUA BARUA DODOMAMkuu makofia360 nini kinaendelea mzee ?
Maana tangu umetoa updates za mwisho (nadhani ilikua ni Ijumaa) ulisema kwamba mzigo wa barua umeshawasili masijala ya nje lakini hadi leo kimya hakuna placement.
NB:-
Nimesema hadi leo kimya kwa maana ya kwamba matangazo mawili ya placement yaliyotolewa, Mwalimu Nyerere University of Agriculture na MUHAS hao wote hawachukui barua Dodoma, bali wanaenda Butiama na Upanga (respectively) kuwasilisha vyeti na kupewa barua zao za ajira.
DarRedio mbao wanasema mwezi ujao but ulipga mkoa gani Oral?
Kwahiyo Dogo Panelists Aliwakosha kisawasawa...Huyo MWAMBA KABISA inaonekana...aandae tu SUTI ya kuvaa siku anaenda DODOMA.Oooh hapo sawa Mkuu hebu tusubiri najua dogo hawezi kosa Yuko bright sana kama me mwenyewe
Mlitrend sana na ishu za status sijui kama mlifika muafaka wa selected VS not selected [emoji1787][emoji1787][emoji16]
🤣🤣, Nadhani waliokuwa na selected for oral kwenye app wengi walifanikiwa kulamba asali...Jibu halikupatikana kwenye suala la status
[emoji1787][emoji1787], Nadhani waliokuwa na selected for oral kwenye app wengi walifanikiwa kulamba asali...
Zipo kwenye App lakini kweny Web inabaki hivyo Selected for oralStatus baada ya Oral kuna ambazo zinaonesha “Not selected for oral”??