captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,079
Kwa mliopata placement, pia na kweny web huwa taarifa zinawekwa au? Tujuzane
Hutakiwi kukata tamaa,kakaWakuu nimefanya interview mbili za utumishi.
Sijapita hata moja .
Nimekata Tamaa.
Inaumiza kaka unajua natumia gharama nyingi kwenda interview kusoma naambulia kweupeHutakiwi kukata tamaa,kaka
Wanaukuzunguka unawajua na mlikuwa mnapambana wote leo wako muhimbili wanakula hela ..Inaumiza kaka unajua natumia gharama nyingi kwenda interview kusoma naambulia kweupe
Duuuh ... Database inafanya kazi kutegemeeana na nafasi zitakazo patikana zisipopatikana basi next time tujipange tenaDatabase ata haifanyi kazi siku hizi... wengi wamo ila hawaajiriwi
Kama muda gaani baada ya oral ,,waanze kuchungulia kweny appNasiku izi wanawahi sana kutoa updates soon after oral interview...
Kweli ndugu, japo inaumiza sana ila huo ni ukweli inatakiwa kuilazimisha nafsi na moyo vikubaliane na hali halisiStatus yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo
Shukrani mkuuUhamisho anaoisema mr. leverage tofauti na huo wa tamisemi. Yeye anazungumzia mtu kuhama local Government na kuhamia shirika la uma au kutoaka tamisemi kuhamia serikakali kuu. Mfano Daktari ambaye anafanya kazi hospital ya Mwananyamala au Amana kuhamia MUHIMBILI HOSP AU BENJAMIN MKAPA HOSP. Au TRANSPORTATION OFFICER wa Halmashauri X hukamia TANESCO au Bandarini au Airport, au BOT au taasisi au shirika lolote la umma ambako mishahara yao ipo juu tofauti na Halmashauri.
Ila huo unaousema wewe wa Tamisemi ni ule wa kuhama toka Halmashauri X kwenda Halmashauri Y. Mshahara na maslai ni yaleyale.
Wamekukanda mkuu jipange Tena ongeza received na Anza kutafuta nauliStatus yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo
Database inafanya kazi kuna jamaa yangu alipiga pepa December Matokeo yakatoka mwezi wa pili akakosa. Ila juzi mwezi huu kapata kupitia Database.Database ata haifanyi kazi siku hizi... wengi wamo ila hawaajiriwi
Ni saww ila nafikiri Ndio kama wanavyosema kwenye app ilikuwa selected. Na ikabaki hivo ila ikiwa tayari not selected basi usisubiriDatabase inafanya kazi kuna jamaa yangu alipiga pepa December Matokeo yakatoka mwezi wa pili akakosa. Ila juzi mwezi huu kapata kupitia Database.
Mbona Mimi ilivyotoka tu hr akaniita na kunitajia nikaandika kwenye karatasiWakulungwa naomba mnipe dondoo hapa namna ya kufahamu Check Number yangu ya Ajira maana ni zaidi ya miezi Sasa,, nimejaribu kumface HR naona Yuko busy sana Hadi nimechoka..
Naweza kuingia portal ipi ambayo naweza kujaza taarifa zangu na ku-access Check namba yangu
Doooh, oral ulifanya mwezi wa ngapi?Status yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo
Database inafanya kazi kuna jamaa yangu alipiga pepa December Matokeo yakatoka mwezi wa pili akakosa. Ila juzi mwezi huu kapata kupitia Databas
Inafanya kazi, madogo wawili wamelamba asali kupitia Database..nawajuaDatabase ata haifanyi kazi siku hizi... wengi wamo ila hawaajiriwi
Don't compare yourself with others.Wanaukuzunguka unawajua na mlikuwa mnapambana wote leo wako muhimbili wanakula hela ..
We we unaambulia 300 za kujitolea
Vipi tamthini yako jinsi ulivyojibu maswali ya oral? Unaona hujafika 50%?Status yangu app ipo not selected..Wacha nami nikubali mapema kwamba nijipange na nyingine tu. Kwenye web ipo selected but app ipo not selected, so Kwa uzoefu wenu nmi nimekubali mapema kuwa nijipange zaidi Kwa nafasi ijayo