HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mliofanya written mwaka huu mfumo ni ule ule maswali 5 saa 1 Kwa taasisi zote ?
 
Nimepigiwa na chuo mzee
Kama ni chuo kafuate barua nlikutana na jamaa alipigiwa na chuo kwamba awaishe vyeti vyake na walkuwa wakimwuliza kwann anachelewa kuripoti ilihali tangazo la PDF lilikuwa limetolewa kama leo kesho yake anapigiwa simu....yaan hajajipanga kwenda kwa Dr. Migiro masijala ya wazi ila ashapigiwa na chuo
 
Kuna jambo linakera sana utumishi hasa kwenye “Oral”. Unakuta umeulizwa swali umeanza lijibu kwa kutaja point ile unaanza elezea wanakukatisha wanakwambia just mention wanakera sana. Kama mtu anataka kuelezea wamwache kumkatisha mtu haiependezi kabisa.
 
Ukielezea unachukua muda sana kuliko kuorodhesha.
 
J

Kuna wadau ilikuwa inasoma not selected na kwenye mkeka walikuwepo ndo maana inaleta ukakasi

Jamaa angu kapangiwa kazi izi za MDAs & LGAs

Lakini status yake ni not selected kwenye app na web ni selected

Apa ndo napo pata shida hebu wazoefu watolee ufafanuzi.
Sidhani kama inawezekana uwe na not selected alafu ukapata post ila kama ni hivyo labda wadau wenye ushuhuda huu waje watupe abc
 
Back
Top Bottom