hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
Akitaka kujua kama ameitwa au la....a-google tu jina lake.....Hv hawa TPC washatoa zile placements 18 za Postal Clerk za Form IV holders..?
Kuna dogo wangu hapa alifanya Usaili wao
Umenikumbusha watu baadhi......oooh aiseee noumer sana[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu Mimi nipo napita mara mojamoja,, Leo nipo off kimajukumu yangu hvyo nipo sana humu Leo napiga porojo..
Ule wakati wetu ulikuwa moto sana, Sasa Uzi umepoa kweli kweli,, tulikuwa na watu ambao tunaijua michakato yote ya PSRS hadi pdf fulani tulikuwa tunaotea kuwa linatoka leo
Wapi mazaga one
Mwifwa
Na wengine kabao Naamini kizazi chetu humu wengi tupo makazini sasa
Kama ww mwenyewe au sio[emoji3577][emoji3577][emoji3577]Oooh hapo sawa Mkuu hebu tusubiri najua dogo hawezi kosa Yuko bright sana kama me mwenyewe
[emoji23]na kweli hatembelei dah!Wewe ndio hutembelei huku mkuu, wanaotembelea wanajua kila kitu.
Hongera zangu basi kaka kama umepata maana huu uzi mrefu kuna kipindi ni kweli nilimuteWewe ndio hutembelei huku mkuu, wanaotembelea wanajua kila kitu.
kada gani ?Database inafanya kazi kuna jamaa yangu alipiga pepa December Matokeo yakatoka mwezi wa pili akakosa. Ila juzi mwezi huu kapata kupitia Database.
[emoji23][emoji23][emoji23]. Kweny wengi unapata kituDoooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected
Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo
Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
Hivi status ya kweny web baada ya usahili itabadilika kwenda neno SHORTLISTED au Inabaki selected for oral tu [emoji23][emoji23], wenye uzoefu wa status waje watuambie hapa MbantiDoooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected
Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo
Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
Inabaki SELECTED FOR ORALHivi status ya kweny web baada ya usahili itabadilika kwenda neno SHORTLISTED au Inabaki selected for oral tu [emoji23][emoji23], wenye uzoefu wa status waje watuambie hapa Mbanti
Mimi kwangu status ni hiyo ya kijani selected for oral interview , Kwahiyo Mwifwa unanishaurije hapo ? nijiandae kufuata barua ya ajira au sio Kaka ?Wewe ndio hutembelei huku mkuu, wanaotembelea wanajua kila kitu.
😅😅😅😅😅Mimi kwangu status ni hiyo ya kijani selected for oral interview , Kwahiyo Mwifwa unanishaurije hapo ? nijiandae kufuata barua ya ajira au sio Kaka ?
Kikubwa nauli tu, ikae Mchagoni😅😅😅😅😅
Tupe uzoefu kwako ilibadilika vipi ?Doooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected
Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo
Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
Sjawahi ona imebadilika imebaki selected for oral interview hadi wa leoTupe uzoefu kwako ilibadilika vipi ?
Yes ndani ya wiki lakini pia hata ndani ya siku moja inabadilika, unaweza kufanya leo oral kesho kwenye app inakupa FeedbackMmh kwahyo vijana wakimaliza hata wiki moja ya oral waangalie App ,,wajue pakuweka maombi ya mrija wa asali Yes Today
Dah ulikuwa mjadala wa moto sana 🤣🤣Doooh naona mekumbushia kuhusu status
Web versus App
Selected versus not selected
Ilikuwa balaaaaaaa kipindi hiyo
Na sasa kuna ile not selected ya rangi nyekundu kabisa
Au selected ya kijani kijani
Tumepitia mengi aiseee
Sana mnoYes ndani ya wiki lakini pia hata ndani ya siku moja inabadilika, unaweza kufanya leo oral kesho kwenye app inakupa Feedback
Dah ulikuwa mjadala wa moto sana [emoji1787][emoji1787]