HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mnatumia app ipi kuangalia stutus? Ni hii👇
 

Attachments

  • Screenshot_20230622-213243_1.jpg
    Screenshot_20230622-213243_1.jpg
    5.1 KB · Views: 23
Summary
Selected for Oral = unaweza kupata placement au ukikosa utabaki database
Not selected for = No placement, no database
Hadi Sasa hakuna ushahidi wa mtu mwenye status ya "NOT" akapata placement
Walitakiwa waiweke wazi hii kitu, Ili kupunguza received, mtu akijiona yupo kwenye foleni kuwe hakuna haja ya kuendelea na maombi mapya...Hapa wanatakiwa warekebishe hili la Baada ya ORAL..inaonekana bado linahitaji marekebisho...STATUS inyooshe maelezo soon after ORAL..
 
Back
Top Bottom