Week ya placement hiiWazee wa ramli hii week inasemaje.!
Week ya placement hiiWazee wa ramli hii week inasemaje.!
Mfwende alete asilimia,za kufungia wikiiii[emoji28][emoji28][emoji28]Wazee wa ramli hii week inasemaje.!
Wiki imepoa sana hii,,labda itaisha vyemaaaWeek ya placement hii
Kwakweli 🔥🔥
Weekend hii nadhani watatoa placement...Wiki imepoa sana hii,,labda itaisha
Haya mambo mjadala wake ulishapita muda sanaDatabase unaweza kuwemo Maana inaashiria umefaulu ila hajapata nafasi kwa kipindi hicho nazani ,,Maana naisi hata wa database kweny app inaweza onesha selected for oral ,,ila nafasi zimekuwa chache wamepata wengine we subria subria kidogo ...kwa mtazamo wangu ...ila ukiona NOT SELECTED FOR ORAL naisi haukufaulu oral nadhani NiggaPac ...au ??
Weekend hii nadhani watatoa placementWiki imepoa sana hii,,labda itaisha
Kwan placement imeshatoka uhakikishe Upo au haupo ndg ?? eucaNaona mnaleta tena mambo status,mi kuna moja nilifanya last month mpka hatua ya oral but kwenye APP kuna NOT SELECTED FOR ORAL ,na kupitia browser ipo selected for oral so kutokana na kauli na mauzoefu ya wadau na walamba asali hapo juu nadhani nimekula NDOIGE ya kushoto.
Itasaidia sana kuweka clear hili swala la status mkuu...Nitaleta feedback mkuu
Uzi uchangamke kidogo ndg @lavarageHaya mambo mjadala wake ulishapita muda sana
Itasaidia sana kuweka clear hili swala la status mkuu...
Haya mam
Mlikubaliana kitu gani mkuuHaya mambo mjadala wake ulishapita muda sana
Aiseee ..kumbeHii ishu ya status ni kweli na ndugu yangu alipiga oral ya kwanza hakupata chance, oral ya pili akapata kazi. Kwenye App status, ile ya kwanza inaonesha “Not selected for oral” ya pili “selected for oral” ila kwenye web inaonesha selected for oral zote mbili.
Nafikiri App ndo kila kitu kama umefaulu Oral au Laah.
Mkuu hii yako ni not shortlisted au not selected?Ngoja tuone maana kwenye app toka majibu ya written ni not short listed mpaka leo nimefanya oral tarehe 19 ipo ivyo ivyo.
Ukiona mkeka wa AICC Nishtue tujue ukweli.
Yes namimi nadhani App iko more accurateHii ishu ya status ni kweli na ndugu yangu alipiga oral ya kwanza hakupata chance, oral ya pili akapata kazi. Kwenye App status, ile ya kwanza inaonesha “Not selected for oral” ya pili “selected for oral” ila kwenye web inaonesha selected for oral zote mbili.
Nafikiri App ndo kila kitu kama umefaulu Oral au Laah.
Not selected mkuuMkuu hii yako ni not shortlisted au not selected?