NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,997
- 3,519
Yeah!! Ndio ivo chief.Umu kuna kila kuna kupeana moyo kuvunjana taarifa za pdf ni chapu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yeah!! Ndio ivo chief.Umu kuna kila kuna kupeana moyo kuvunjana taarifa za pdf ni chapu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sio poua mzee ila na si zamu yetu utafika ya kulamba asaliUzuri wa huu uzi unapitia generation tofauti vishapita vizazi vitatu sa hivi tupo cha nne.
TGOS A
Tsh 370,000
Labda extra duty, au training ambazo ni nadra kupata.Duh,
Jamani nyie sasa hiyo 370K yafaa nini kwa maisha ya sasa ?
Ana kuna marupurupu mengineyo kando ya mshahara?
Labda extra duty, au training ambazo ni nadra kupata.
Cha muhimu ni mtu uingie kwenye system uwe na check number, halafu tafuta namna ya kuchomoka kwenda taasisi nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaeza ku score mzee wangu bahati ikiwa yake utamkuta kapata wilaya yake tayariiTunasubiria miujiza ya Mungu kwa bint yetu, yeye ni mmoja kati ya watu wachache waliofanya usaili huku mwisho wa reli kwa nafasi ya Msaidizi wa Ofisi.
Ngoja nimalizie hii bia ya mwisho, maana sio Kwa hili baridiSiku nikiona abeche mfwende sawadogo wamekula asali nitaachaga rasmi kufatilia huu uzi nawaombeaga sana hawa jamaa japo siwafahamu Mbanti tayari.
Ombeni kazi za maana Nyie haya , mtaja jutaTunasubiria miujiza ya Mungu kwa bint yetu, yeye ni mmoja kati ya watu wachache waliofanya usaili huku mwisho wa reli kwa nafasi ya Msaidizi wa Ofisi.
Thanks mkuu ,jah atablesiSiku nikiona abeche mfwende sawadogo wamekula asali nitaachaga rasmi kufatilia huu uzi nawaombeaga sana hawa jamaa japo siwafahamu Mbanti tayari.
Ombeni kazi za maana Nyie haya , mtaja juta
Kuna jamaa wa kuitwa @Yankule kama sikosei,Siku nikiona abeche mfwende sawadogo wamekula asali nitaachaga rasmi kufatilia huu uzi nawaombeaga sana hawa jamaa japo siwafahamu Mbanti tayari.
Twaweza kuvijua hivyo vizaz tafadhali?Uzuri wa huu uzi unapitia generation tofauti vishapita vizazi vitatu sa hivi tupo cha nne.
Doooh kikubwa unapata chochote....Duh,
Jamani nyie sasa hiyo 370K yafaa nini kwa maisha ya sasa ?
Ana kuna marupurupu mengineyo kando ya mshahara?
Kama elimu yako ya chini unajitahidi kutafuta ya juu yako ili mambo yapendezeLabda extra duty, au training ambazo ni nadra kupata.
Cha muhimu ni mtu uingie kwenye system uwe na check number, halafu tafuta namna ya kuchomoka kwenda taasisi nzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes.. hamna kulaza damu.Kama elimu yako ya chini unajitahidi kutafuta ya juu yako ili mambo yapendeze