HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kweny app ukiona hivyo nadhani huna chako ...Maana kweny web Inabaki selected for oral ila kweny app utaona "not selected for oral" hapo itakuwa tukutane sahili ingne tu[emoji1]
Kabisa mkuu wengi sana wameshuhudia huko juu...selected for oral kwenye App means umefaulu
 
Kweny app ukiona hivyo nadhani huna chako ...Maana kweny web Inabaki selected for oral ila kweny app utaona "not selected for oral" hapo itakuwa tukutane sahili ingne tu[emoji1]

App ndo kila kitu tuseme hivo. Ngoja niangalie status zangu kupitia App. Nisijekuwa nasuburi baraka za database kumbe sipo.
 
Database unaweza kuwemo Maana inaashiria umefaulu ila hajapata nafasi kwa kipindi hicho nazani ,,Maana naisi hata wa database kweny app inaweza onesha selected for oral ,,ila nafasi zimekuwa chache wamepata wengine we subria subria kidogo ...kwa mtazamo wangu ...ila ukiona NOT SELECTED FOR ORAL naisi haukufaulu oral nadhani NiggaPac ...au ??
 
Naona mnaleta tena mambo status,mi kuna moja nilifanya last month mpka hatua ya oral but kwenye APP kuna NOT SELECTED FOR ORAL ,na kupitia browser ipo selected for oral so kutokana na kauli na mauzoefu ya wadau na walamba asali hapo juu nadhani nimekula NDOIGE ya kushoto.
 
Mhh kwenye app toka majibu ya oral yanatoka ni not selected for oral mpaka Leo nimefanya oral iko ivyo ivyo Apo kuna nini?
 
Naona mnaleta tena mambo status,mi kuna moja nilifanya last month mpka hatua ya oral but kwenye APP kuna NOT SELECTED FOR ORAL ,na kupitia browser ipo selected for oral so kutokana na kauli na mauzoefu ya wadau na walamba asali hapo juu nadhani nimekula NDOIGE ya kushoto.
Hatari na nusu ata sielewi ngoja tusubiri mkeka nitaleta ushuhuda ni AICC mkeka wake
 
Naona mnaleta tena mambo status,mi kuna moja nilifanya last month mpka hatua ya oral but kwenye APP kuna NOT SELECTED FOR ORAL ,na kupitia browser ipo selected for oral so kutokana na kauli na mauzoefu ya wadau na walamba asali hapo juu nadhani nimekula NDOIGE ya kushoto.

Msuli uendelee tu.[emoji3]
 
Kabisa yan hapo ni ndoige maana experience inaonyesha hivyo...ila usife moyo always next time utatoboa tu
 
Back
Top Bottom