BNprojects
Senior Member
- Dec 14, 2022
- 147
- 371
Kweli Weekend hii naona kunajambo zuriNaona vimuli muli vya placement vimezima vyotee,ngoja tuone pdf watakalo shusha
Kweli Weekend hii naona kunajambo zuriNaona vimuli muli vya placement vimezima vyotee,ngoja tuone pdf watakalo shusha
Kweli asali inatafutwa mzeeNaona vimuli muli vya placement vimezima vyotee,ngoja tuone pdf watakalo shusha
Maabara zipi hizoo chiefWakuu naomba msaada wenu wa kuainisha maswali yanayotoka sana katika interview ya oral na written Kwa kada ya Maabara(exclude medical laboratory)level ya diploma.
Kwani kuna ubaya kuhama umesikia ni kabila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa hata mie nimeshangaa toka mahakama hadi Posta
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimehamia huku nasikia huku unapewa hadi honda ya kuvimba nayo kitaa
Maabara general,iwe kwenye vyuo,taasisi za utafiti kama nimr,Taliri,Tawiri,Tari,Tvla,Gcla,Tmda,Tbs, na wizarani kama wizara ya mifugo
Umepiga biotechnology and laboratory science auMaabara general,iwe kwenye vyuo,taasisi za utafiti kama nimr,Taliri,Tawiri,Tari,Tvla,Gcla,Tmda,Tbs, na wizarani kama wizara ya mifugo
Nakushauri ubebe na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa iyo ndo muhimu zaidi mana kuna mtu ashawah kwenda na leseni tu bila kitu kingine chchte hakufanya mtihaniWakuu naomba kuuliza kama unaenda kwenye written interview utumishi na huna kitambulisho cha nida wala cha mpiga kura unatakiwa uwe na nini passport wanakubali?
Leseni ya udereva ni kitambulisho rasmi kinachotambuliwa na utumishi. Ukiwa na leseni hauhitaji kitambulisho kingine chochote ili kufanya mtihani wa PSRS.Nakushauri ubebe na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa iyo ndo muhimu zaidi mana kuna mtu ashawah kwenda na leseni tu bila kitu kingine chchte hakufanya mtihani
Asilimia kubwa ya watu washakula placement.Nipo, napitiaga komenti kimya kimya.
Kuna dalili ya uzi kutelekezwa maana kuna siku yalipita masaa 22 bila mtu kutia neno humu
Siku nikiona abeche mfwende sawadogo wamekula asali nitaachaga rasmi kufatilia huu uzi nawaombeaga sana hawa jamaa japo siwafahamu Mbanti tayari.Asilimia kubwa ya watu washakula placement.
Tumebaki wachache ambao bado tunajitafuta.
Watapata tu inshaallah!!.Siku nikiona abeche mfwende sawadogo wamekula asali nitaachaga rasmi kufatilia huu uzi nawaombeaga sana hawa jamaa japo siwafahamu Mbanti tayari.
Dah uzi umekua mrefu ad raha wazeeWatapata tu inshaallah!!.
Yeah!! Pia Kuna nondo sana humu.
Umu kuna kila kuna kupeana moyo kuvunjana taarifa za pdf ni chapuYeah!! Pia Kuna nondo sana humu.