HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Labda extra duty, au training ambazo ni nadra kupata.

Cha muhimu ni mtu uingie kwenye system uwe na check number, halafu tafuta namna ya kuchomoka kwenda taasisi nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhamia taasisi NZURI sio rahisi mkuu, barua ukipeleka zinaishia Kwa sekretary tu. Ukienda kufuatilia majibu baada ya miezi 6 ndio hapo barua Yako inatafutwa huko makorokoroni ilikosahaulika kukuzuga watakwambia bado haijajibiwa. Kama huna mtu wa ndani utafuatilia hadi utaota kipara.
Kuna taasisi moja mlinzi wa Magufuli yule mweupe baada ya kuondoka kwenye timu ya ulinzi wa raisi kaingia huko. Wewe mtoto wa mkulima kutoka Uyole ni nani mpaka upate hapo? CV yenyewe Referee mwenye title kubwa ni Mwalimu wa sekondari.
 
Kuhamia taasisi NZURI sio rahisi mkuu, barua ukipeleka zinaishia Kwa sekretary tu. Ukienda kufuatilia majibu baada ya miezi 6 ndio hapo barua Yako inatafutwa huko makorokoroni ilikosahaulika kukuzuga watakwambia bado haijajibiwa. Kama huna mtu wa ndani utafuatilia hadi utaota kipara.
Kuna taasisi moja mlinzi wa Magufuli yule mweupe baada ya kuondoka kwenye timu ya ulinzi wa raisi kaingia huko. Wewe mtoto wa mkulima kutoka Uyole ni nani mpaka update hapo? CV yenyewe Referee mwenye title kubwa ni Mwalimu wa sekondari.
kweli transfer ni changamoto mno
 
Back
Top Bottom