Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A025F using
JamiiForums mobile app