Jamaa kamaind maana sasa mtu hajui kumerge pdf huyo atajua kweli matumizi sahihi ya excelšššMkuu punguza ukali š¤¦ākidgo
Jamaa kamaind maana sasa mtu hajui kumerge pdf huyo atajua kweli matumizi sahihi ya excelšššMkuu punguza ukali š¤¦ākidgo
Tamisemi kwa harakaharaka kapokea majina zaidi ya 100k lkn ndani ya mwezi na kitu wamepata ajira na kawapangia vituo idadi iliyotakiwa yote kwa mara moja,tukisema mnasema tatizo la hela na bajeti ndio inakuwa bado..acha taasisi ziajiri zenyewe kama ni kukosa tukose mara moja tujue.
Tukisema kama vijana humu kuna watakuja na maneno kuwa watoto wa masikini wamepata kazi as if zamani hamna mtu aliyetokea maisha ya kawaida na akapata kazi,hakuna mchakato wa kuchukua mwaka mzima usema et ni mchakato haujakamilika...kuna mahali hapapo sawaUtumishi wako slow sana wnaelemewa sana.
Aisee tuseme tu ukweli kusubiria michakato ya utumishi kunachosha kunatesa sanaa basi tu hakuna namnaTukisema kama vijana humu kuna watakuja na maneno kuwa watoto wa masikini wamepata kazi as if zamani hamna mtu aliyetokea maisha ya kawaida na akapata kazi,hakuna mchakato wa kuchukua mwaka mzima usema et ni mchakato haujakamilika...kuna mahali hapapo sawa
Tamisemi hajafanya interview ni landom selectionTamisemi kwa harakaharaka kapokea majina zaidi ya 100k lkn ndani ya mwezi na kitu wamepata ajira na kawapangia vituo idadi iliyotakiwa yote kwa mara moja,tukisema mnasema tatizo la hela na bajeti ndio inakuwa bado..acha taasisi ziajiri zenyewe kama ni kukosa tukose mara moja tujue.
Ila Ajira za TRA zinamalalamiko sana bora hata utumishi walivyojitoa, kwann Intern anayejitolea kufanya kazi kwa bidii na anauzoefu wa kazi Asiwe na Haki ya kupewa Mkataba wa kudumu halafu ww Ndio uwe na Haki? HowHawana haki hiyo kwa sababu hiyo nafasi ya "intern" wameipata kwa upendeleo maana haikuwahi kutangazwa ili igombaniwe kwa haki!! Hao "interns" wamekwepeshwa mpambano wa wazi na wa haki huko psrs!! Sidhani kama wana uwezo huo, vinginevyo wasingeogopa kupambana kupitia psrs!!
Ila Ajira za TRA zinamalalamiko sana bora hata utumishi walivyojitoa, kwann Intern anayejitolea kufanya kazi kwa bidii na anauzoefu wa kazi Asiwe na Haki ya kupewa Mkataba wa kudumu halafu ww Ndio uwe na Haki? How
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment Ajira_Mpya_Afya._compressed_compressed.pdfWakuu naombeni pdf za afya na walimu asee aliyekwisha downliad maana website kwangu nzito haifunguki Kabisa
Tuwekee na ile ya kada ya elimu[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2647041
Asante Mkuu, za walimu bado?[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2647041
Tatizo hizo intern zenyewe zinatolewa kwa upendleoo na kujuana so bora mpria uwekwe kati hakuna cha intern wala nani wote wapambanie atakeshinda apewe kaziiSure kuna vijana walikua intern 2019-21 walikua wanapita madukani Huku Karikaoo na Barakoa zao. Walikua fair sana wale vijana sijui kwanini mamlaka iliwaacha asee,
Hawa vijana nafikir Mungu kawaona watakula shavu asilimia kubwa.
Intern si wanatoa TAESA? sisi tuliletewa na TAESA na huko wanafanya usaili kabisa ili kuwa recruited, vijana wakimaliza chuo wapitie agency wakati wabatafuta matobo ya kutokea.Tatizo hizo intern zenyewe zinatolewa kwa upendleoo na kujuana so bora mpria uwekwe kati hakuna cha intern wala nani wote wapambanie atakeshinda apewe kazii
mkuu samahani,mm sijasoma tax,ila nina kabachelor kangu ka uchumi, kwani swali no:1 ni sawa na no :2 hapo juu??Hujatumia akili yako kwa ufasaha badala yake umeamua kujifunga na fikra finyu zaidi.
Written, mode of question inatakiwa isiwe Direct questions, yaan maswali yalenge kujua wasailiwa wana uelewa na kila walichoulizwa?
Umetoka mfano hapo on how qn should be addressed to candidates.
Unaweza kumuuliza degree holder ataje 5 Cannon za Taxation tena direct kabisa? Kwann swali usiliweke kwa mtindo wa uelewa lkn point zikieleweka kuwa zitakuwa ndio hizohizo?
Unadhani mtu kumuuliza
1. Mention five (5) Cannon of Tax.
ni sawa na kumuuliza
2. Most of Taxpayers are much aggressive towards ability to pay tax. As a Tax Management officer, Board of Directors seeking for your assistance on abilitation of paying tax.
What are you going to suggest?
Kwenye Oral hapa tunapima, uvumilivu wa watoa huduma wetu, uelewa na namna gani tunaweza kupata watu wanaomudu kusolve ishu ngumu kwa umakini na bila upendeleo.
Lazima tubadilike kidogo ili kuleta ufanisi maeneo mbalimbali.
Si kila taasisi intern hutoka taesaIntern si wanatoa TAESA? sisi tuliletewa na TAESA na huko wanafanya usaili kabisa ili kuwa recruited, vijana wakimaliza chuo wapitie agency wakati wabatafuta matobo ya kutokea.
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment Ajira_Mpya_walimu_compressed_compressed.pdfAsante Mkuu, za walimu bado?
AMEEEEEN AMEEEEENDah, wazee poleni na pia mapambano yaendelee. One day yes, Mola atawapa your dream jobs.
TAZAMAView attachment TAZAMA-PIPELINES-Vacancies.pdfAMEEEEEN AMEEEEEN