Umri wameweka mwisho miaka mingapi. Niambieni mi sijaona tangazoTatizo umri
Umri wameweka mwisho miaka mingapi. Niambieni mi sijaona tangazoTatizo umri
25-30Umri wameweka mwisho miaka mingapi. Niambieni mi sijaona tangazo
Nashukuru25-30
Kama sijakosea.
Fanya password iwe kama hici #Denton@G2023 kama bado inakataa basi icomplicate zaidiMbona inakataa kusign up aise nikajua problem ni password nika comply by including special character and a minimum of 7 character ila bado pop up inasema password
UDSM, kozi za education hakuna ICT wala research kwa undergraduate.Kimsingi wote mnatakiwa kujua kuwa hakuna chuo kinachotoa degree Tanzania kilicho sajiliwa na TCU ambacho mtu atamaliza degree hajasoma miccrosoft word,excel nk..... kifupi introduction to computer au ICT. Kingine mtu ajui kutumia email inawezekana vip coz inawezekanaje u apply chuo kama huna email. Ili u apply chuo unaitaji kua na email, email sio kitu cha kufundishwa darasani wadau form 4 tu wanatumia email vizur now days.
Yaan introduction to computer hawasomi, coz hii course navo jua mm haijalish unasoma facat gani lazima ukutane nayo kama civics secondaryUDSM, kozi za education hakuna ICT wala research kwa undergraduate.
anyway inawezekana lakini ni ajabu sana, huwa inafundishwa ili kumuandaa mwanafunzi na kazi za zitazohitaji computer darasan kama kuandaa assignment, research na nyinginezo nyingi.UDSM, kozi za education hakuna ICT wala research kwa undergraduate.
Yaani hawasomi application za computer mkuu unatupiga changa la macho sio kweli,mitaala ya kozi zote wameweka hizo programs wanasoma excel,word,ppt n.kUDSM, kozi za education hakuna ICT wala research kwa undergraduate.
kozi nyingi hazina ict, ila mtu anakuja kujua pale ambapo kozi ina research au project kwenye moja ya semester au during assignments ndo mtu anashika computerYaani hawasomi application za computer mkuu unatupiga changa la macho sio kweli,mitaala ya kozi zote wameweka hizo programs wanasoma excel,word,ppt n.k
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Mwingne????mkeka mtamu huko wakuu
Leta huku TU download, si kB?mkeka mtamu huko wakuu
Umetoboa kaka aumkeka mtamu huko wakuu
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema hukoNamshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hongera sana Chief.Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Nashukuru Sana Mkuu!Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema huko
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nashukuru Sana Mkuu! Hongera pia kwa kupata Ajira.Hongera sana Chief.
Nakumbuka siku zote nilikua mtu wa kutoa hongera na kuwapigia simu wengine but siku Moja was my day .....nlipigiwa simu na marafiki ,nikapongezwa nami nikamshkur sana Mungu maana jina langu kwenye pdf lilisomwa na waTanzania mbalimbali nchini kote.
Kila la heri Chief.
Hongera sanaaaaaaNamshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.