Black Beast
Senior Member
- Aug 6, 2019
- 132
- 494
Wazee wa received vitu vinalipuka kimya kimya uko check account yako ya portal
Hongera sana chief vp umelamba TCB?? ama tulinde privacy kwanzaNamshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Sijafanya mkuu ata usaili wenyewe hatujaitwaDuh mwaka jana mpka leo si watu wako kazini mkuu?ulifnya taaisis gani?
Shukrani sana mkuu!Subira ni ibada.
Hongera sana mkuu ukawe Mtumishi mwema [emoji109] na karibu upande wa pili.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Shukrani sana mkuu!Hongera sana mkuu, kila la kheri, ukawe mtumishi mwema
Tulinde privacy kwanza mkuu!Hongera sana chief vp umelamba TCB?? ama tulinde privacy kwanza
Shukrani sana mkuu!Hongera ndugu Mungu daima ni mwema.
[emoji4][emoji4], pamoja sana mkuu, ulikuwa una nitia moyo sanaa kila ulipokuwa unatuambia kuna mkeka unakuja umebeba taasisi tamutamu na kweli unakuta inakuwa hivyo. Huwezi amini ukimya wako wiki jana ulinifanya ninyong'onyee saanaaa! Mungu akubariki kwa kututia moyo kwa namna hiyo.Nipo Dar ila nafurahi kuona umechomoka kijana tukutane dom nikusindikize kuchukua barua
Wewe jamaa umesoma UDSM miàka Gani?UDSM, kozi za education hakuna ICT wala research kwa undergraduate.
Kweli mkuu, makofia360 uko ulipo ubarikiwe sana umekuwa ukitupa matumaini sana wasakatonge na wala huchoki, binafsi nikiona post zako huwa nafarijika sana[emoji4][emoji4], pamoja sana mkuu, ulikuwa una nitia moyo sanaa kila ulipokuwa unatuambia kuna mkeka unakuja umebeba taasisi tamutamu na kweli unakuta inakuwa hivyo. Huwezi amini ukimya wako wiki jana ulinifanya ninyong'onyee saanaaa! Mungu akubariki kwa kututia moyo kwa namna hiyo.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Huyo usikute kaongea kwa kusimuliwa tu,may be kuna jamaa aliwahi muomba avmfundishe kitu kinachohusu computer akamdanganya sisi watu wa Education hatusomagi computer hi vyo sijui ata word[emoji23][emoji23]Wewe jamaa umesoma UDSM miàka Gani?
ICT ipo na hao wa Education tulikuwa tunasoma nao pamoja. Miàka ya 2008-2011
Duh hzo zitakua zimefutwa mkuuSijafanya mkuu ata usaili wenyewe hatujaitwa
Tatizo kujifanya mjuaji sana.. Sasa kama unacandidate 8k - 10k utasahihisha Kwa hizo veiw za mmoja mmoja?[emoji23][emoji23] Graduates wetu bwana haya
Swali 'How do you handle pressure at work' ni rahisi sana kwa kulisoma ila kama unataka mtu 1 kati ya 1000 candidates utampata kwa sababu kila candidate atajibu kwa mtazamo wake lakini what you want to hear is how the BEST can a person handle pressure at work. Na ni hivyo kwa maswali yote.
Vijana lazima muelewe
Exams and GPAs measure academic achievements not knowledge. Sasa Taasisi zinataka knowledgeable candidates not just candidates.
Employers wengi wanataka independent critical thinking, reasoning, and problem-solving candidates na hawa huwezi kuwapata kwa maswali ya mention types. Ukiweza ku-demonstrate these abilities reassures them that you can handle circumstances on your own.
Otherwise Taasisi hazitaki Vilaza tena bora taasisi private sector ndio hawataki kabisa kusikia harufu ya vilaza badala ya kuchallenge jielimishe.
jamaa anaongea kwa experience wewe unabwabwaja tu, Hata kati ya watu 100, 000 kwa swali hilo utampata wa kwanza na wa mwisho.Tatizo kujifanya mjuaji sana.. Sasa kama unacandidate 8k - 10k utasahihisha Kwa hizo veiw za mmoja mmoja?
Yani wewe uwakusanye watu 10k uwaulize "how do you handle pressure at work"?
[/QUOTE]AGREE TO DISAGREE mkuu hawa bado sanajamaa anaongea kwa experience wewe unabwabwaja tu, Hata kati ya watu 100, 000 kwa swali hilo utampata wa kwanza na wa mwisho.
Nimeshuhudia Interview moja mtu wa Human resource mkenya aliwapiga bao watu wa Accounts 400 kwenye position ya 'Loan Officer', Kwanini? Skills, Skills & Skills jishughulishe kulearn skills mbali mbali muhimu usisubiri interview ndio ufungue daftari, hakuna mtu anataka kilaza kwenye ofisi yake note that.
Wewe endelea kusoma daftari banaTatizo kujifanya mjuaji sana.. Sasa kama unacandidate 8k - 10k utasahihisha Kwa hizo veiw za mmoja mmoja?
Yani wewe uwakusanye watu 10k uwaulize "how do you handle pressure at work"?
[/QUOTE]jamaa anaongea kwa experience wewe unabwabwaja tu, Hata kati ya watu 100, 000 kwa swali hilo utampata wa kwanza na wa mwisho.
Nimeshuhudia Interview moja mtu wa Human resource mkenya aliwapiga bao watu wa Accounts 400 kwenye position ya 'Loan Officer', Kwanini? Skills, Skills & Skills jishughulishe kulearn skills mbali mbali muhimu usisubiri interview ndio ufungue daftari, hakuna mtu anataka kilaza kwenye ofisi yake note that.
hahahhah mwanangu unayumba izoo interview zinatumika lakin mara nyingi oral za private sector wakishajilizisha unafaa content unayo kichwani ndo wanatumia subjective qn sasa how you handle pressurejamaa anaongea kwa experience wewe unabwabwaja tu, Hata kati ya watu 100, 000 kwa swali hilo utampata wa kwanza na wa mwisho.
Nimeshuhudia Interview moja mtu wa Human resource mkenya aliwapiga bao watu wa Accounts 400 kwenye position ya 'Loan Officer', Kwanini? Skills, Skills & Skills jishughulishe kulearn skills mbali mbali muhimu usisubiri interview ndio ufungue daftari, hakuna mtu anataka kilaza kwenye ofisi yake note that.