HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi
 
Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hongera sana ulifanya oral lini mkuu?
 
Hongereni sana Asee
 
Hongera sana kijana, umepata kwenye taasisi au sehemu ile ile uliyofanyia usaili au umepelekwa taasisi nyingine yaani wamekutoa kwenye kanzi data?
Taasisi niliyofanyia usaili mpaka sasahv hawajatoa placement, nimepelekwa sehemu nyingine kabisa. Mpaka nashindwa kuelewa ni kwamba nimetokea kanzi data au ile taasisi imeonekana kuchelewa sana kisha psrs wakaamua kupanga vituo vingine.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Subira ni ibada.
Hongera sana mkuu ukawe Mtumishi mwema [emoji109] na karibu upande wa pili.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
"Uganga" (Utabiri) wa jumlajumla:

1. Kwa sababu tunaamini ajira za MDA&LGA ni za mwaka wa fedha 2022/23 ambao unaisha mwisho wa mwezi huu.

2. Kwa sababu proportion ya MDA over LGA kwenye mikeka ya hivi karibuni (hasa wa jana) inaongezeka.... (Wengi tuliamini kwamba LGA zinaanza kisha MDA zitakuja mwishoni)

Basi itakua ni "utabiri wenye mashiko" kusema kwamba:-

A) Ndani ya mwezi huu wa sita kutakua na mikeka mingi ya placement ili kuimaliza hii shughuli (ya MDA&LGA ili mikeka mingine waliyofanyisha interview nao waanze kuitwa kazini).

B) Katika mikeka inayokuja "mitaasisi mitamu mitamu" itautawala sana mchezo huku ndugu zetu wa damu (LGA) "wakiutafuta mpira kwa tochi."
 
Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuu, kila la kheri, ukawe mtumishi mwema
 
[emoji23][emoji23] Graduates wetu bwana haya

Swali 'How do you handle pressure at work' ni rahisi sana kwa kulisoma ila kama unataka mtu 1 kati ya 1000 candidates utampata kwa sababu kila candidate atajibu kwa mtazamo wake lakini what you want to hear is how the BEST can a person handle pressure at work. Na ni hivyo kwa maswali yote.

Vijana lazima muelewe

Exams and GPAs measure academic achievements not knowledge. Sasa Taasisi zinataka knowledgeable candidates not just candidates.

Employers wengi wanataka independent critical thinking, reasoning, and problem-solving candidates na hawa huwezi kuwapata kwa maswali ya mention types. Ukiweza ku-demonstrate these abilities reassures them that you can handle circumstances on your own.

Otherwise Taasisi hazitaki Vilaza tena bora taasisi private sector ndio hawataki kabisa kusikia harufu ya vilaza badala ya kuchallenge jielimishe.
Kama umeomba nafasi hizi za TRA nakuombea uwe shortlisted ukafanye usaili wao halafu uje ulete ushahidi wa hayo maswali yatakayopima competent hapa, na kuambia utakutana na maswali ya darasani written mpaka oral , kama unabisha utakuja uniambie hapa, entry level kwa upande wa taasisi za umma huwa hawaulizi hayo maswali ya sijui how do you handle pressure hayo maswali labda ni kwa zile senior levels ndio unaweza kuta wakakuuliza maswali ya mtindo huo.
 
Namshukuru Sana Mungu na Mimi Leo Kwenye Huu Mkeka Jina Langu Limetokea. Sina Maneno Mengi Sana YA Kuandika Hapa Ila Ningependa Kuwatia Moyo Vijana Wenzangu Wa Kitanzania Tusikate Tamaa Ipo Siku Yako Utatoboa Tuu.
Nawaombea Wote Ambao Bado Hamjapata Ajira Mungu Awasidie Mkapate Katika Majira Yaliyoamriwa na Mungu. Pia Nawa pongeza na Wale Waliolamba Asali Kupitia Mkeka Huu Wa Leo.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Hongera ndugu Mungu daima ni mwema.
 
Back
Top Bottom