HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwamba kwenye Swala la Placement za MDA&LGA. Utumishi ndio wana makosa.??

Mimi nahisi Tatizo liko kwa Waajiri.
Maybe hajatoa go ahead aletewe watu wake.
 
Mwajiri hajajipanga sidhni kama utumishi ndio wanakwamisha maana wao kazi yao ni kufnyisha saili kisha kuwapangia vituo vya kazi wasailiwa pale mwajiri anapokua tayari kuwapokea
 
lakini wao ndo wanaonekana sio kwa kuwa mchakato wameushikilia wenyewe.
 
Kuhusu interview za utumishi kutokuwa na standard ni maneno ya mkosaji. Bro hata sisi hatujapata kazi lakini tuwe waadilifu kwenye hoja zetu na kilichotukusanya kwenye uzi huu ni kuchelewa kwa placement, bila shaka hii ndo changamoto yao kubwa zaidi.

Sasa kama wewe unamsimamo huu kwamba interview zao hazina viwango. Toa sababu, na utuambie aina za interview unazozijua zenye viwango na ipi kati ya hizo ni bora zaidi kama ingetumika na ambayo inatumika worldwide kama unavyodai.
Huyo hajui kitu taasisi zote za umma aina ya usaili wanaoendesha kwa entry level huwa unafanana kwa written na oral asilimia kubwa uwa ina base kwenye maswali ya darasani, nime wahi kufanya saili za written na oral za TRA kipindi kile zinaendeshwa na chuo cha Mzumbe mfumo ulikuwa ni uleule wanaoutumia psrs, wala usidanganye uma hapa kuwa kuna saili standard, tena naweza sema kuwa saili za psrs ndio standard kwa sababu huwezi jua maswali yatakujaje lakini hizo unazosema wewe kuwa ni standard ni zile ambazo zinakaliliwa na kila mtu kuwa, kwa mfano
1. How do you handle pressure at work
2. How much are you expecting to be paid as a salary
3. What are your weakness and strength?

Sasa haya maswali ndio mtu anasema kuwa ni standard,????
 
Sasa haya maswali ndio mtu anasema kuwa ni standard, ambapo
Binafsi nawaamini PSRS Sana Kwa mfumo wao huu, ni vile tu hatujui ya ndani ila hawawezi kuambiwa tuletee watu wenye sifa a,b.c Kwa muda wa huu halafu wakakaa kimya wasilete haiwezekani. Tuwe wote wakweli hapa. (Hawawez kutuambia bse ni confidential issues)

Mtu anayelaumu ni vile hajapata kazi yeye au pengine ni mlalamikaji tu Kwa asilia yake.

Note this. Mfumo wa PSRS hata VIGOGO wanauogopa balaa waliokuwa wanaweka ndugu zao direct kwenye Taasisi zao, kwasasa wanakwambia direct kuwa Kwa mfumo huu ni ngumu Sana kupeana kazi kindugu.

Mwisho. Sio PSRS imeondoa Kabisa ila Kwa asilimia kubwa km 90% imepunguza undugulization na nepotism.

Mimi mwenyewe sijapata kazi lakini naamini zaidi mfumo wa PSRS. NITAPATA TU.
Ni kwe kweli ndugu nishashuhudia mtu anajibiwa hivyo kuwa "kwa sasa mfumo wa kuajiri upo chini ya psrs hivyo kupata kazi kwa njia ya shortcut ni ngumu sana".
 
Aaah weee ndio digrii kabisa asijue kompyuta basi kweli Kuna utitiri wa vilaza, uelekezwe tunawasha hivi, email hivi, na Excell hivi? Hapana sio sawa. Induction ni sawa lakini sio kama. Ulivyofafanua wewe .
We jamaa kwel ni kilaza kwaio mtu asipojua ivo vitu ni kilaza😅😅
 
Nani kakuambia? Mitihani ya Utumishi karibu yote inauzwa kabla ya kufanya usaili.

Wewe ndio umekosa hiyo channel, most guys hawana uwezo wa kujieleza wala kuelekeza mtu ikiwa amepatiwa Training fulani.

Waajiri wanataka Competent ya mtu, maswali ya uelewa ndio yanakupa picha halisi ya namna gani Kijana anaweza kufanya kazi fulani.

Maofisi mengi wameletwa vijana VILAZA, hawana uelewa wala weledi, kutatua changamoto kwa akili ya kawaida hawawezi.

Tunahitaji sasa Recruitment bora ambayo itampima mtu kwa uelewa not kukariri. Vilaza hawa ndio wanasababisha matatizo kwenye jamii zetu.

Watu wapimwe kwa uelewa, huku wakijua wanaenda kufanya nini, sio mention 5 characteristics za good taxation.

Utaongea sana ila VILAZA mmejaa makazini, hadi unajiuliza miaka 15 au 20 ijayo tutapa
Hata wewe computer huwezi jua Kila kitu punguza maneno ya shombo kuwaita watu vilaza wakati na wewe ni kilaza
 
Nani kakuambia? Mitihani ya Utumishi karibu yote inauzwa kabla ya kufanya usaili.

Wewe ndio umekosa hiyo channel, most guys hawana uwezo wa kujieleza wala kuelekeza mtu ikiwa amepatiwa Training fulani.

Waajiri wanataka Competent ya mtu, maswali ya uelewa ndio yanakupa picha halisi ya namna gani Kijana anaweza kufanya kazi fulani.

Maofisi mengi wameletwa vijana VILAZA, hawana uelewa wala weledi, kutatua changamoto kwa akili ya kawaida hawawezi.

Tunahitaji sasa Recruitment bora ambayo itampima mtu kwa uelewa not kukariri. Vilaza hawa ndio wanasababisha matatizo kwenye jamii zetu.

Watu wapimwe kwa uelewa, huku wakijua wanaenda kufanya nini, sio mention 5 characteristics za good taxation.

Utaongea sana ila VILAZA mmejaa makazini, hadi unajiuliza miaka 15 au 20 ijayo tutapa

Mkuu degree asijue Computer then umuone smart? Kuwa serous na akili zako kijana.
Tupe mfano degree program ipi na chuo kipi ambacho mtu hawafundishi course za computer
 
Back
Top Bottom