HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa vijana wanao fanya internship Katika taasisi na mashirika mbalimbali hutaki wapate priority, unataka waje wapewe wengine waje wafundishwe KAzi.

Mkuu hufai kuwa kiongozi, na wala hujui kuishi na watu hapa mjini
wewe ndo unazinguaaa,

unachokiteteaa hakina usawa.
Unataka watu wa internship wapewe priority kivipi wakati hiyo chance inapatikana kwa kujuana. Alafu Kama umefanya internship kwa nn ushindwe uwezo na ambaye hajafanya hiyo internship kwenye usaili hiyo ni ishara ya kutokuwa na vigezo na kutaka kubebwa kwa mgongo wa internship.

Unyesha uwezo, ukishindwa acha watu wapate shavu wewe utaendelea kujitolea ndo uwezo wako ulikofikia.
 
Hawana haki hiyo kwa sababu hiyo nafasi ya "intern" wameipata kwa upendeleo maana haikuwahi kutangazwa ili igombaniwe kwa haki!! Hao "interns" wamekwepeshwa mpambano wa wazi na wa haki huko psrs!! Sidhani kama wana uwezo huo, vinginevyo wasingeogopa kupambana kupitia psrs!!
LOGIC.
 
Excellent nakupa 100% kijana, Niliwahi kusema Humu PSRS wanafanyisha interview za hovyo ambazo haziwezi kukupatia watu sahihi but watu wanaokalili, Period.

Ukitoa mambo ya Undugu na upendeleo ambayo hatuna uhakika kama PSRS hawafanyi, Taasisi binafsi zitaweza kujipatia Candidates kupitia Interview Halisi zenye standard za kidunia sio tena mention what what.
Kuhusu interview za utumishi kutokuwa na standard ni maneno ya mkosaji. Bro hata sisi hatujapata kazi lakini tuwe waadilifu kwenye hoja zetu na kilichotukusanya kwenye uzi huu ni kuchelewa kwa placement, bila shaka hii ndo changamoto yao kubwa zaidi.

Sasa kama wewe unamsimamo huu kwamba interview zao hazina viwango. Toa sababu, na utuambie aina za interview unazozijua zenye viwango na ipi kati ya hizo ni bora zaidi kama ingetumika na ambayo inatumika worldwide kama unavyodai.
 
Afadhali umemwambia ukweli!! Watu wengi hawajapata kazi na sababu yake ni kwamba baada ya ajira kusimama toka 2015 hadi sasa, kuna mlundikano mkubwa sana wa vijana wanaosubiri kazi. Hawawezi kupata wote kwa wakati mmoja. Na wanaolalamika sana wengi wao utakuta ni wale ambao wamehitimu juzi juzi tu (2021-2022) na hawajui kuwa kuna wenzao wameweza kuvumilia toka hiyo 2015, 2016, 2017 etc na muda huu Mungu ameanza kuwafanikisha. Kuna watu nawafahamu wamelamba asali mwaka huu lakini wamesubiri sana!!
 
Dooh wengine tunasubiri mikeka mipya ya kazi..kila tukichingulia tunakuta za halmashauri, kozi zenyewe hazituhusu[emoji28],mashirika ya umma jmn sijui yanakwama wapi,Mama mwaga ajira jmn angalau [emoji24][emoji24]
adverts za halmashauri na vyuo. post zenyewe za mtendaji wa kijiji na watunza kumbukumbu wa ofisi,aiseeh kazi kweli kweli
 
Dooh wengine tunasubiri mikeka mipya ya kazi..kila tukichingulia tunakuta za halmashauri, kozi zenyewe hazituhusu[emoji28],mashirika ya umma jmn sijui yanakwama wapi,Mama mwaga ajira jmn angalau [emoji24][emoji24]
adverts za halmashauri na vyuo. post zenyewe za mtendaji wa kijiji na watunza kumbukumbu wa ofisi,aiseeh kazi kweli kwel
Kuhusu interview za utumishi kutokuwa na standard ni maneno ya mkosaji. Bro hata sisi hatujapata kazi lakini tuwe waadilifu kwenye hoja zetu na kilichotukusanya kwenye uzi huu ni kuchelewa kwa placement, bila shaka hii ndo changamoto yao kubwa zaidi.

Sasa kama wewe unamsimamo huu kwamba interview zao hazina viwango. Toa sababu, na utuambie aina za interview unazozijua zenye viwango na ipi kati ya hizo ni bora zaidi kama ingetumika na ambayo inatumika worldwide kama unavyodai.
anataka interview za why we should hire u, haloo
 
Binafsi nawaamini PSRS Sana Kwa mfumo wao huu, ni vile tu hatujui ya ndani ila hawawezi kuambiwa tuletee watu wenye sifa a,b.c Kwa muda wa huu halafu wakakaa kimya wasilete haiwezekani. Tuwe wote wakweli hapa. (Hawawez kutuambia bse ni confidential issues)

Mtu anayelaumu ni vile hajapata kazi yeye au pengine ni mlalamikaji tu Kwa asilia yake.

Note this. Mfumo wa PSRS hata VIGOGO wanauogopa balaa waliokuwa wanaweka ndugu zao direct kwenye Taasisi zao, kwasasa wanakwambia direct kuwa Kwa mfumo huu ni ngumu Sana kupeana kazi kindugu.

Mwisho. Sio PSRS imeondoa Kabisa ila Kwa asilimia kubwa km 90% imepunguza undugulization na nepotism.

Mimi mwenyewe sijapata kazi lakini naamini zaidi mfumo wa PSRS. NITAPATA TU.
 
Halafu sijui anawajua interviewer vizuri huyu? Na anajua criteria wanazotaka? Maana anaweza jipa maksi kisa aliulizwa akajibu afu wakatikisa vichwa au wakajibu "well" Kwa tabasamu akajua amewakuna..... Hahahaa😆😆😆 ..ungejua
 
Kuhusu interview za utumishi kutokuwa na standard ni maneno ya mkosaji. Bro hata sisi hatujapata kazi lakini tuwe waadilifu kwenye hoja zetu na kilichotukusanya kwenye uzi huu ni kuchelewa kwa placement, bila shaka hii ndo changamoto yao kubwa zaidi.

Sasa kama wewe unamsimamo huu kwamba interview zao hazina viwango. Toa sababu, na utuambie aina za interview unazozijua zenye viwango na ipi kati ya hizo ni bora zaidi kama ingetumika na ambayo inatumika worldwide kama unavyodai.
Hii ndio shida vijana hamtaki kuambiwa ukweli USAILI wa PSRS bado sana. Nilisema dunia ya leo wanatakiwa watu wenye skills na creative sio watu wanaofanya Usaili kama wanafanya UE. Mimi nafanya biashara nikitaka mtu wa Marketing siwezi kuita watu nikwaambia mention types of marketing, sijui components of marketing thats too theoretical .

I would need 'DOERS' watu wanajua dunia ya leo inataka nini sio unaita watu kwenye usaili wanakuja na madaftari WTF
 
Kama ungekuwa umelamba asali ungeyasema hayo unayoyasema sasa? Yaani mtu sahihi ni wewe tu ambaye bado hujapata placement, lakini waliopata placement siyo watu sahihi!! Iangalie vizuri hali ya moyo wako!! Kwa altitude hiyo nina wasiwasi kama kweli wewe ni mtu sahihi!! Kuna watu wanaoona ni afadhali tukose wote kuliko mwingine apate na mimi nikabaki nasubiria nafasi yangu mbele ya safari!!
Uwe umelamba asali au hujalamaba asali haibadilishi ukweli kwamba interview za PSRS sio. Mkitoka nje ya box mkaenda kufanya interview tofauti na PSRS mtapigwa na butwaa its totally different
 
Hii ndio shida vijana hamtaki kuambiwa ukweli USAILI wa PSRS bado sana. Nilisema dunia ya leo wanatakiwa watu wenye skills na creative sio watu wanaofanya Usaili kama wanafanya UE. Mimi nafanya biashara nikitaka mtu wa Marketing siwezi kuita watu nikwaambia mention types of marketing, sijui components of marketing thats too theoretical .

I would need 'DOERS' watu wanajua dunia ya leo inataka nini sio unaita watu kwenye usaili wanakuja na madaftari WTF
😳
 
Binafsi nawaamini PSRS Sana Kwa mfumo wao huu, ni vile tu hatujui ya ndani ila hawawezi kuambiwa tuletee watu wenye sifa a,b.c Kwa muda wa huu halafu wakakaa kimya wasilete haiwezekani. Tuwe wote wakweli hapa. (Hawawez kutuambia bse ni confidential issues)

Mtu anayelaumu ni vile hajapata kazi yeye au pengine ni mlalamikaji tu Kwa asilia yake.

Note this. Mfumo wa PSRS hata VIGOGO wanauogopa balaa waliokuwa wanaweka ndugu zao direct kwenye Taasisi zao, kwasasa wanakwambia direct kuwa Kwa mfumo huu ni ngumu Sana kupeana kazi kindugu.

Mwisho. Sio PSRS imeondoa Kabisa ila Kwa asilimia kubwa km 90% imepunguza undugulization na nepotism.

Mimi mwenyewe sijapata kazi lakini naamini zaidi mfumo wa PSRS. NITAPATA TU.
Sawa wakala mbobezi
 
Leo pdf vip ? Me natangulia kituo cha kazi pdf itanikuta uko nishavurugwa
IMG_20230531_133009.jpg
 
Back
Top Bottom