HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Katika maisha yangu nimebahatika kufanya interview moja tu ya utumishi.

Interview niliyofanya ni ile ya TRA iliyopita na ndo ilonipa kazi kutokea database.

Inakuaje leo wanatangaza nafasi zilezile na tulikuwepo wakatutema tukapelekwa kwingine?

Asee haya mambo haya
Tuombe Mungu tuu! Ndo ufahamu kila mahali kuna ubumbuliii..

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Huwa ajiraportal wanamdisqualify mdogo wangu kwa PASSPORT SIZE NOT UPLOADED anatakiwa afanyeje?
Naomba ushauri tafadhali.
NB
Ameweka picha kwenye AKAUNTI yake
 
Huwa ajiraportal wanamdisqualify mdogo wangu kwa PASSPORT SIZE NOT UPLOADED anatakiwa afanyeje?
Naomba ushauri tafadhali.
NB
Ameweka picha kwenye AKAUNTI yake
Awapigie simu awaelezee shida yake watarekebisha
 
Misaada inayohitajika n mingi mno ,jmn wajuzi wasaidieni watu walioomba misaada[emoji16]
 
Kwenye portal ya TRA mbona sioni sehem ya kuattach vyeti wandugu,msaada hapa jaman
Sehemu ya kuweka vyeti, barua na mazaga mengine utaikuta mwisho kama umeshamaliza kujaza zile sehemu za mandatory yaani zenye mark ya * nyekundu then nenda sehemu ya search job kwenye menu ya portal then chagua post unayotaka kuapply then itafunguka ndio utaona hizo sehemu za attachments nadhani utakuwa umeelewa
 
MSAADA mbona kwenye portal yao sijaona sehemu ya kuapload vyeti

Back
Top Bottom