HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapana hizo ni za saccos ya TRA ni private tu, sio za SERIKALI hizo.
Usidanganye, hilo ni tangazo la ajira TRA. Sehemu ya tangazo inasema: TRA would like to recruit qualified, dynamic and ethical personnel to fill positions in theDomestic Revenue, Customs and Excise, Human Resource and Administration,Information and Communication Technology, Board Secretariat and Legal Services,Procurement and Logistics, Research, Policy and Planning, Finance, Internal Audit,internal Affairs and Risk and Compliance Department. Applications are therefore invited from suitable qualified Tanzanians for the followings positions:

Naona TRA watakuwa wameomba waruhusiwe kutafuta waajiriwa wenyewe badala ya kuwatumia PSRS!! Huu utaratibu amini usiamini una maumivu sana!! Kila taasisi ikiruhusiwa iajiri yenyewe ni shida!! Hakuna cha data base wala nini na tutarudi tulikotoka kwenye tatizo la undugunization!! Kumbuka huko ndiko kuna watu kibao walitangulizwa kwa gia ya "kujitolea"!!, kumbukeni makelele ya wabunge kuwa waliokuwa wanajitolea wapewe kipaumbele!!, kati ya sehemu zilizokuwa zinalengwa ni TRA!!, u-ndugunization utatesa!! Ninaamini database ya PSRS ina watu kibao wenye sifa ya kujaza hizo nafasi!! Mara mia zingetangazwa na PSRS watu wakaomba na kufanyiwa usaili.
 
Asee pamoja na kwamba psrs wanachelewesha kutoa placement Ila wako fair sana kwa kiasi chake, hawakua na upendeleo ukipata umepata kihalali, sasa icho kitakachokwenda kutokea uko taasisi zikiendesha usaili zenyewe dah Mungu aliwekee mkono Ilo sijui itakuwaje, naona mapicha picha tu
Kuna watu walikuwa wanailaumu sana PSRS, lakini hii sekretarieti imefanya kazi nzuri sana!! Kuna maelfu wamepata ajira ambao hawakuwa na connection yoyote!! Taasisi zikiendesha saili, bila connection kwa kiasi kikubwa uhesabu maumivu!!. Kuna watu walishapelekwa huko tayari kwa gia ya "kujitolea" (japo hulipwa posho kibao), na imetengenezwa fursa ya kuwahalalisha!!
 
"Wakubwa" walikuwa hawaipendi PSRS kwa sababu ilikuwa haipenyeki kirahisi. Japo ni kweli ni vigumu kuondoa kabisa udhaifu huu lakini wapenyaji walipunguzwa sana!! Kwa sasa wakubwa kwa wqkubwa watapigana kukumbo sana kila mmoja anataka kupenyeza mtu wake!! Waliokuwa wanaikandia PSRS bila kujua wataikumbuka!
 
Nasikia madogo wameshaanza kulalamika link haifunguki.
Nimejaribu kufungua link hiyo nikapewa mrejesho huu hapa:

Unauthorized Access

You have attempted to access a page that you are not authorized to view.

If you have any questions, please contact the site administrator.

Sasa najiuliza ni nani yuko authorized to view!! Hebu jaribuni kufungua hiyo link ya kufanyia application mjionee hiyo figisu figisu right from day one!!
Mimi si mwombaji wa ajira, nilitaka tu kuona kama ni kweli hiyo link haifunguki kama watu wanavyosema!!
 
Kama taasisi zishaanza pewa hayo mamlaka taasisi gani nyingine zimepewa ilo rungu au n TRA pekee [emoji848]
Akianza mmoja na wengine watafuata, hasa zile taasisi zenye maslahi makubwa kama BOT nk. TRA ametangulizwa kupima kina cha maji!! Wakiona watu hawajashtuka utakuwa ndio mtindo wenyewe!! Inabidi wadau kwa pamoja wapige sana makelele kwenye mitandao yote ya kijamii!! This is serious, ikiwezekana hata kuandamana kwa amani!!!
 
Ila kuna mambo yanafikirisha ndo maana niliamua kujikalia zangu kimya

Yaaan tangazo litangazwe Jan...
Usaili ufanyike mwezi June
Watu kuitwa waitwa mwezi Nov au Jan nyingine kabisa halaf tusione kama kuna shida mahala[emoji38][emoji38][emoji38]
Okay tuseme utumishi wao sio wenye matatzo ....tatzo lipo kwa waajiri je, utumishi wao hawaoni kama ni usumbufu kuita watu na kuwafanyisha usaili hala wasiajiriwe walau kwa muda ambao ni reasonable?? Hadi tangazo linatangazwa means kila kitu inabidi kiwe kimeshapangwa mbona hakujawah kutokea mkuu wa nchi katangazwa kuwa mshindi ila taratibu za yeye kuanza kazi hazichelewi ni on the spot anaanza mzigo.....
Wao utumishi hawaoni kama ishakuwa shida mpaka sasa hv na malalamiko wanayoyapokea iweje tuambiwe waajiri ndi wenye shida ilihali sisi tunachoona ni matangazo yanatokea utumishi??? Kwann utumishi na wao wasiwaambie waajiri kama wanakuwa hawajawa tayari basi matangazo yasiwe yanatolewa kuepusha malalamiko lukuki kama haya....

Haiingii akilini mmefanya usaili wote sku moja halaf wanaita watu nusunusu🥸🥸🥸
 
Lakini jiulize, je placement kwa taasisi zote zilikuwa zinachelewa? jibu ni hapana!! Kwa mfano sehemu kubwa ya placement za vyuo vikuu hazikuwa zinachelewa! Ila tusihamishe mada!! mada iliyopo mezani ni taasisi kuanza kufanyisha usaili na kuajiri zenyewe bila kupitia PSRS. Hilo tulipigie kelele!!
 
Mimi sina ndugu wala sina connection lakini acha taasisi ziajiri tuone panapovuja,swala la kukosa hamna anayelikataa,hatuwezi kuajiriwa wote lkn psrs michakato imekuwa michakato,watu mnatetea oooh bajeti hamna lkn nawaambia hawa TRA wataitwa usaili na kuutwa kazini MDA &LGA tukisubiria mchakato usio na kikomo,tunachopigania ni mtu aitwe usaili afaulu apangiwe kazi amefeli ajue aendelee na mishe zake nyingine lkn sio hivi wanavyofanya hawa jamaa kila siku wanasema michakato michakato mtu unasubiri hujui ulipata wala hukupata na kichaka cha kila tangazo unakuta ka neno database.
Wenye connection na wapate ndio Mungu kawalumbuka kwa style hiyo lkn utaratibu wa psrs kuchelewa kuita watu kazini unakera sana
 
Kuna watu walikuja Inbox na kunihoji kuhusu TRA na upande wa Database ambao walifanya saili zilizopita,,,Ila niliwajibu TRA wana force sana kuajiri wenyewe tena mno,,,Imeniuma mno naona kabisa kama huna connection TRA kuingia itakuwa ngumu mno,,,Pamoja na madhaifu ya PSRS watu wengi waliingia bila hata connection yoyote,,,,,Vijana amkeni vijana amkeni kuna haja gani kuwepi psrs huku kila taasisi ikitaka mamlaka ya kujitegemea
 
Lakini jiulize, je placement kwa taasisi zote zilikuwa zinachelewa? jibu ni hapana!! Kwa mfano sehemu kubwa ya placement za vyuo vikuu hazikuwa zinachelewa! Ila tusihamishe mada!! mada iliyopo mezani ni taasisi kuanza kufanyisha usaili na kuajiri zenyewe bila kupitia PSRS. Hilo tulipigie kelele!!
Hapana hii itagusa wengi ilinwaone panapovuja,mwanzo kuchelewa placement tulikuwa wachache tunalalamika,siku interview inapigwa taifa na wazazi wetu wataona,kila mtu ataona na watajiuliza why tumefika huku wakati tulitoka ndio majibu ya placement kuchelewa yaanze,hakuna ulazima wa kuwaingiza gharama watu kuja kufanya usaili ilihali unajua huna bajeti ya kuwaajili,kwa hiyo sisi wasailiwa bajeti zetu ni za kuchezea tu??ni heri wangekuwa wanasubiri taasisi inayopewa hela ndio iajili wafanye mchakato wa ndani ya mwezi lkn sio hivi wanavyofanya,kuna watu wamefanya interview na watu wa MDA &LGA wengine wameitwa mwezi wa tatu wengine mpaka leo wanasubiri mchakato usioisha,
Walipopigiwa indicator na Rais ajira za TRA zilizopita kuwa mchakato umekuwa mchakato hawakuona umuhimu,kama anayeidhinisha pesa anasema mchakato unekuwa mrefu na taasisi ziajiri zenyewe sisi ni akina nani tubishe.
 
Back
Top Bottom