HOPE man
Member
- May 23, 2019
- 62
- 33
Na muhimu wawe na sifa tu amna namna..hawa psrs hata siwaelewagi kabisa.Mimi sina ndugu wala sina connection lakini acha taasisi ziajiri tuone panapovuja,swala la kukosa hamna anayelikataa,hatuwezi kuajiriwa wote lkn psrs michakato imekuwa michakato,watu mnatetea oooh bajeti hamna lkn nawaambia hawa TRA wataitwa usaili na kuutwa kazini MDA &LGA tukisubiria mchakato usio na kikomo,tunachopigania ni mtu aitwe usaili afaulu apangiwe kazi amefeli ajue aendelee na mishe zake nyingine lkn sio hivi wanavyofanya hawa jamaa kila siku wanasema michakato michakato mtu unasubiri hujui ulipata wala hukupata na kichaka cha kila tangazo unakuta ka neno database.
Wenye connection na wapate ndio Mungu kawalumbuka kwa style hiyo lkn utaratibu wa psrs kuchelewa kuita watu kazini unakera sana