HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Siamini kama watumishi wote wanaofanya kazi huko mamlaka ya mapato TRA waliopata ajira kabla ya kuundwa PSRS wametoka familia za vigogo ama familia zenye icho mnachoita connection.

Kama mwajiri mkuu ambae ni Mh. Rais alisema PSRS wanakwamisha kupeleka nguvu kazi kwa wakati kwa sababu ya huo udambwi udambwi walioubatiza jina mchakato kuwa mrefu, sisi ni nani tukatae tasisi kuajiri wenyewe ili mambo yafanyike kwa wakati.

Binafsi ninaona PSRS ni mamlaka iliyo fail big time na ikiwezekana ifutwe wapangiwe majukumu mengine. Wale wenye connection wacha wapate kazi maana hiyo connection kwanza ni kitu huwezi kukuzuia na kiko kila sehemu.
Kaka connection ni mbaya saizi hamna mtu ataajiliwa tena TRA hiyo ni zuga2, huwezi oara jazi kule wataajiliwa wao kwa wo, corruption,corruption, nepotism ndoto za vijana ndo zina zima hivi TZ inahitaji mageuzi makubwa
 
Unachosema ni kweli kabisa mkuu wangu, ila kabla ya PSRS kuwepo corruption na nepotism haikuwepo? Mbona hata wasio na connection walipata ajira. Kwakua PSRS ime underperform wacha mashirika na taasisi ziajiri zenyewe! Wao watume watumishi wao huko wakawe sehemu ya waangalizi wa mchakato.
 
Hv knachofanya watu waanze kusema mashirika yamejaa rushwa na upendeleo wanatumia criteria zipi??
Kwamba kabla ya ajira karibia zote kupitia utumishi watu wasokuwa na connection walikuwa hawaajiriki??
Sas mbona utumishi walivyochukua hatamu za hizi mambo ndo ajira zimekuwa finyu balaaa

Yaaan badala ya kupiga hatua 10 mbele tunarudishana hatua 50 nyuma...
Kinachofanya saili zifanyika na kuwepo na ucheleweshwaji wa watu kulamba asali ni nini aswa?? Inakuwaj usail ufanyike halaf mchakato uwe haujawa tyar kulikuwa na haja gani ya kufanyisha usaili,,si wawe eanasubiri hadi uhakika wa watu kufanya usaili na kuoangiwa vituoni unakuwa tayr?? Hv watu wakisema knachoendelea ni kufaidi padiem mtawaona ni walalamishi???
Tunaambiwa masuala ya database halaf saili bado zinaendelea za watu walewale ambao unahisi kwa data base hawawez kosekana..
Anyway hamna tunachojua....sisi tushaonekana wenye nongwa na husda kida kukosa placement utumishi na hatuna uvumilivu
 
Usidanganye, hilo ni tangazo la ajira TRA. Sehemu ya tangazo inasema: TRA would like to recruit qualified, dynamic and ethical personnel to fill positions in theDomestic Revenue, Customs and Excise, Human Resource and Administration,Information and Communication Technology, Board Secretariat and Legal Services,Procurement and Logistics, Research, Policy and Planning, Finance, Internal Audit,internal Affairs and Risk and Compliance Department. Applications are therefore invited from suitable qualified Tanzanians for the followings positions:

Naona TRA watakuwa wameomba waruhusiwe kutafuta waajiriwa wenyewe badala ya kuwatumia PSRS!! Huu utaratibu amini usiamini una maumivu sana!! Kila taasisi ikiruhusiwa iajiri yenyewe ni shida!! Hakuna cha data base wala nini na tutarudi tulikotoka kwenye tatizo la undugunization!! Kumbuka huko ndiko kuna watu kibao walitangulizwa kwa gia ya "kujitolea"!!, kumbukeni makelele ya wabunge kuwa waliokuwa wanajitolea wapewe kipaumbele!!, kati ya sehemu zilizokuwa zinalengwa ni TRA!!, u-ndugunization utatesa!! Ninaamini database ya PSRS ina watu kibao wenye sifa ya kujaza hizo nafasi!! Mara mia zingetangazwa na PSRS watu wakaomba na kufanyiwa usaili.
Nishaijibia hii soma post za juu kabla ya kutoa maoni
 
Sometimes utumishi Wana kanuni za kuumiza,haiwezekani hawana kiwango Cha ufauli maalumu,wanakata tu mtu hata Kama umepata 70% wanacomment not selected,ni Bora wqngekuwa na kiwango maalumu Cha ufaulu ili Kama ulivyo chuoni,mtu ajue kabisa anajiandaaje
 
Kwani connection utumishi hajipo???mnauhakika???zipo sana tu,sema ni 50/50,haki na connection,na zimewatoa kinoma utumishi,so hizi taasisi zinapambana ziajiri zenyewe zikiwa na masirahi binafsi,maake ma HR wao saiv hawapata madili,so wanatumia mchakato kuchelewa Kama point ya kujitoa utumishi,
 
Usidanganye, hilo ni tangazo la ajira TRA. Sehemu ya tangazo inasema: TRA would like to recruit qualified, dynamic and ethical personnel to fill positions in theDomestic Revenue, Customs and Excise, Human Resource and Administration,Information and Communication Technology, Board Secretariat and Legal Services,Procurement and Logistics, Research, Policy and Planning, Finance, Internal Audit,internal Affairs and Risk and Compliance Department. Applications are therefore invited from suitable qualified Tanzanians for the followings positions:

Naona TRA watakuwa wameomba waruhusiwe kutafuta waajiriwa wenyewe badala ya kuwatumia PSRS!! Huu utaratibu amini usiamini una maumivu sana!! Kila taasisi ikiruhusiwa iajiri yenyewe ni shida!! Hakuna cha data base wala nini na tutarudi tulikotoka kwenye tatizo la undugunization!! Kumbuka huko ndiko kuna watu kibao walitangulizwa kwa gia ya "kujitolea"!!, kumbukeni makelele ya wabunge kuwa waliokuwa wanajitolea wapewe kipaumbele!!, kati ya sehemu zilizokuwa zinalengwa ni TRA!!, u-ndugunization utatesa!! Ninaamini database ya PSRS ina watu kibao wenye sifa ya kujaza hizo nafasi!! Mara mia zingetangazwa na PSRS watu wakaomba na kufanyiwa usaili.
Nimesikitishwa sna kwa Hilo tangazo udungunization unarud kwa kazi
 
Back
Top Bottom