HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sio kupata kazi tu hata ku appear kwenye shortlisted yaani kuitwa kwenye huo usaili ni ngumu sana. Lakin PSRS walikuwa wanaita wote wenye sifa na vigezo vilivyowekwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka km mazuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoja tuone Ila psrs ndio wanamapungufu kweli, lakin suala la kuzipa taasisi mamlaka ziajiri zenyewe nawahakikishieni tutashuhudia mambo ya ajabu sana, na ya ovyo hayaelezeki kutakuwa na rushwa za kila namna, watu hapa wataumizwa zaidi na Zaid na tena sana, Bora ibaki ivyo ivyo psrs mapungufu Yao pengine yangerekebishika.
 
Tumeshuhudia watu wakitoa shuhuda Huku hawana connection yeyote wamelamba asali kupitia psrs, kwa izo taasisi mtashuhudia miujiza ya ajabu ajabu kama huna referee hapo andika maumivu
 
Kuna watu walikuja Inbox na kunihoji kuhusu TRA na upande wa Database ambao walifanya saili zilizopita,,,Ila niliwajibu TRA wana force sana kuajiri wenyewe tena mno,,,Imeniuma mno naona kabisa kama huna connection TRA kuingia itakuwa ngumu mno,,,Pamoja na madhaifu ya PSRS watu wengi waliingia bila hata connection yoyote,,,,,Vijana amkeni vijana amkeni kuna haja gani kuwepi psrs huku kila taasisi ikitaka mamlaka ya kujitegemea
Aisee sooo sad
 
Unachosema ni kweli kabisa mkuu wangu, ila kabla ya PSRS kuwepo corruption na nepotism haikuwepo? Mbona hata wasio na connection walipata ajira. Kwakua PSRS ime underperform wacha mashirika na taasisi ziajiri zenyewe! Wao watume watumishi wao huko wakawe sehemu ya waangalizi wa mchakato.
Tatizo nyakati zimebadilika ,ni miaka sita sasa ajira zimekuwa finyu sana ukilinganisha na idadi ya wahitimu ,sasa unapoweka loopholes kama hizi ,hata hao vigogo wana watoto ,ndugu ,rafiki na hata vimada wengi tu na wao wamehitimu ndani ya hii miaka karibia saba sasa na wanahitaji ajira tena kwa kupitia hizo connection za kihalifu kwa rushwa na nepotism ,do the math hapo na ufanye probability ya mtoto wa masikini kutoboa kwenye huo msongamano ,
Corruption na nepotism kwenye hizo taasisi inajulikana ,hamna haja ya kueleweshwa ,tena TRA ni notorious Kwa Hilo suala miaka mingi ,wamekuwa na scandals hizo muda mrefu ,ninyi mnaomsifia huo mfumo ni either hamjui mnaloongea au ni wanufaika wa huo mfumo wa corruption na nepotism ,period .
Kuna taasisi zimekuwa zikiajiti zenyewe kwa muda mrefu tangia hata PSRS ilivyo anzishwa mfano Tanroads , wanaaajiri mara kwa mara hizo ajira za mikataba ,sasa mtafute mtu ambaye alishahudhuria hizo sahili zao akupe habari ,
Aisee this is seriously bad
 
Nawakumbusha tu TANGAZO limesema only shirtlisted candidates will be contacted usipoitwa hata written usililie warudishe UTUMISHI [emoji1787][emoji1787]
Hichi kitu achana nacho kabisa, sijui mtu utalalamikia wapi ukiwa not shortlisted wakati ushaambiwa only shortlisted will be contacted, so usipo kuwa shortlisted hiyo sentensi ishakufunga hapo.
 
Tatizo nyakati zimebadilika ,ni miaka sita sasa ajira zimekuwa finyu sana ukilinganisha na idadi ya wahitimu ,sasa unapoweka loopholes kama hizi ,hata hao vigogo wana watoto ,ndugu ,rafiki na hata vimada wao wamehitimu ndani ya hii miaka karibia sana sasa na wanahitaji ajira ,do the math hapo na ufanye probability ya mtoto wa masikini kutoboa kwenye huo msongamano ,
Corruption na nepotism kwenye hizo taasisi inajulikana ,hamna haja ya kueleweshwa ,tena TRA ni notorious Kwa Hilo suala miaka mingi ,wamekuwa na scandals hizo muda mrefu ,ninyi mnaomsifia huo mfumo ni either hamjui mnaloongea au ni wanufaika wa huo mfumo wa corruption na nepotism ,period .
Kuna taasisi zimekuwa zikiajiti zenyewe kwa muda mrefu tangia hata PSRS ilivyo anzishwa mfano Tanroads , wanaaajiri mara kwa mara hizo ajira za mikataba ,sasa mtafute mtu ambaye alishahudhuria hizo sahili zao akupe habari ,
Aisee this is bad
Mimi Tanroad nina ushahidi tena wa kujionea kabisa , rafiki yangu mmoja yupo Tanroad mkoa fulani, wife wangu aliomba nafasi ya Assistant accountant hapo , nikamuambia shemeji yako nae amejaribu tuma maombi hapo jibu alilonipa akaniambia "duh brother hali imebana nafasi zote wamepewa ndugu au watoto wa wafanyakazi wa hapa , nikajua ni masihara , Wife akaitwa kwenye usaili akafanya mpaka oral akakutana na shemeji ake baada ya usaili, akamwambia shemeji poleni sana , maana nafasi zenyewe zimegombaniwa na staff hapa, kweli kuja kucheki walioitwa kazini ni watoto na ndugu zao nae jamaa yangu alikuwa na mdogo wake nae akapata kazi, kwa hiyo anachokizungumza mwenzetu hapo juu ni kweli maana mimi nimeshuhudia jambo hili Tanroad, so wakati tunapolifurahia hili tujue pia kuna madhara yake mbele ya safari.
 
Katika maisha yangu nimebahatika kufanya interview moja tu ya utumishi.

Interview niliyofanya ni ile ya TRA iliyopita na ndo ilonipa kazi kutokea database.

Inakuaje leo wanatangaza nafasi zilezile na tulikuwepo wakatutema tukapelekwa kwingine?

Asee haya mambo haya

Hili pamoja na tuvitu twingine twingi twa ajabu bado kuna mtu atakuja hapa kuisifia utumishi.
 
Mimi Tanroad nina ushahidi tena wa kujionea kabisa , rafiki yangu mmoja yupo Tanroad mkoa fulani, wife wangu aliomba nafasi ya Assistant accountant hapo , nikamuambia shemeji yako nae amejaribu tuma maombi hapo jibu alilonipa akaniambia "duh brother hali imebana nafasi zote wamepewa ndugu au watoto wa wafanyakazi wa hapa , nikajua ni masihara , Wife akaitwa kwenye usaili akafanya mpaka oral akakutana na shemeji ake baada ya usaili, akamwambia shemeji poleni sana , maana nafasi zenyewe zimegombaniwa na staff hapa, kweli kuja kucheki walioitwa kazini ni watoto na ndugu zao nae jamaa yangu alikuwa na mdogo wake nae akapata kazi, kwa hiyo anachokizungumza mwenzetu hapo juu ni kweli maana mimi nimeshuhudia jambo hili Tanroad, so wakati tunapolifurahia hili tujue pia kuna madhara yake mbele ya safari.
Ila bi mkubwa ktk hilii dah amezngua hii nchi kujuana sanaaa psrs wamejthd kupunguza hili suala la kujuana aisee
 
Watu wanasema taasisi ziruruhusiwe kuajiri ,tatizo ni credibility na uwazi wa mchakato wa ajira katika hizo taasisi,ukizingatia rushwa ilivyo katika taasisi nyingi za serikali , kama majeshi tu na vyombo vya dola mfano Takukuru ,polisi ,Jwtz ,fire ,migration nk mfumo wao wa kuajiri umejaa udanganyifu ,rushwa na nepotism tena waziwazi mpaka raia wa kawaida hata ambao hawana elimu wanaona ,je ni nini kitakuwa tofauti kwa TRA ?
 
Mimi Tanroad nina ushahidi tena wa kujionea kabisa , rafiki yangu mmoja yupo Tanroad mkoa fulani, wife wangu aliomba nafasi ya Assistant accountant hapo , nikamuambia shemeji yako nae amejaribu tuma maombi hapo jibu alilonipa akaniambia "duh brother hali imebana nafasi zote wamepewa ndugu au watoto wa wafanyakazi wa hapa , nikajua ni masihara , Wife akaitwa kwenye usaili akafanya mpaka oral akakutana na shemeji ake baada ya usaili, akamwambia shemeji poleni sana , maana nafasi zenyewe zimegombaniwa na staff hapa, kweli kuja kucheki walioitwa kazini ni watoto na ndugu zao nae jamaa yangu alikuwa na mdogo wake nae akapata kazi, kwa hiyo anachokizungumza mwenzetu hapo juu ni kweli maana mimi nimeshuhudia jambo hili Tanroad, so wakati tunapolifurahia hili tujue pia kuna madhara yake mbele ya safari.
Bora wewe uwaambie , aisee msifanye mchezo na hii issue ,tutazidi kuzalisha matabaka na inequality nchi hii hamna mfano ,the poor will increasingly get poor na wale wenye connections ndio wataprosper
 
Watu wanasema taasisi ziruruhusiwe kuajiri ,tatizo ni credibility na uwazi wa mchakato wa ajira katika hizo taasisi,ukizingatia rushwa ilivyo katika taasisi nyingi za serikali , kama majeshi tu na vyombo vya dola mfano Takukuru ,polisi ,Jwtz ,fire ,migration nk mfumo wao wa kuajiri umejaa udanganyifu ,rushwa na nepotism tena waziwazi mpaka raia wa kawaida hata ambao hawana elimu wanaona ,je ni nini kitakuwa tofauti kwa TRA ?

Kiongozi mashirika ya umma yote huenda yakarudishiwa mandate ya kuajiri wenyewe kwa kupitia mwamvuli wa changamoto za mchakato wa ajira psrs, mind you vijana wengi watakuwa disappointed sana hususani wenye zero connection ni ngumu sana kupata nafasi bila refa nashukuru nina classmates kadhaa walibahatika kupata ajira hizi za TRA za hivi karibuni baada ya ku struggle sana mda mrefu tena bila refa ila kutoboa now itakuwa changamoto.
 
Katika maisha yangu nimebahatika kufanya interview moja tu ya utumishi.

Interview niliyofanya ni ile ya TRA iliyopita na ndo ilonipa kazi kutokea database.

Inakuaje leo wanatangaza nafasi zilezile na tulikuwepo wakatutema tukapelekwa kwingine?

Asee haya mambo haya
Mkuu apply tu kwan si wametangaza nafasi ww pambana mpaka utakapopata unachohitaji kuhoji hivi wala sijui kama kutasaidia,hii nchi system nyingi mbovu .
 
Back
Top Bottom