HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Halmashaur yangu wameniambia nijaze fomu ya ruhusa ya siku 14, kwa akili yng nilitarajia waniambie watanipigia simu kama wengi wao huambiwa.

Kwa namna nyingine namaanisha kupigiwa simu ni njia bora zaidi maana wakati huo mwajir atakua amejiandaa kukupokea ikiwepo tayari pesa ya kujikimu tofaut na wale wa kuanza kazi pasipo maandaliz ya kutosha.
Katika utumishi, kila kitu kinapaswa kwenda kwa mujibu wa sheria (kanuni, taratibu na miongozo).

"Nitakupigia simu" na "Nasubiri wanipigie simu" is nowhere near taratibu za utumishi.

Ulumbi
 
Wazee wa za ndani leoo pdf vepeeee?
Wadau tumeshakata tamaa,uzi is no more tena kama zamani,mfwende sawadogo is no more ndani ya uzi kila mara,Mwifwa anakuja mara moja moja majukumu ya kazi nae yanamuweka bize,makofia360 nae haleti za ndaaani,pdf ikitoka ni kb,matangazo ya kazi kama cha mbuzi,lets wait next time kwa sasa labda tuje na mojadala inayohusu sisi vijana hasa kuhusu utafutaji,afya na uwekezaji kupitia fursa zilizopo nadi ya maeneo yetu na elimu zetu.
 
Halmashaur yangu wameniambia nijaze fomu ya ruhusa ya siku 14, kwa akili yng nilitarajia waniambie watanipigia simu kama wengi wao huambiwa.

Kwa namna nyingine namaanisha kupigiwa simu ni njia bora zaidi maana wakati huo mwajir atakua amejiandaa kukupokea ikiwepo tayari pesa ya kujikimu tofaut na wale wa kuanza kazi pasipo maandaliz ya kutosha.
Sema hizi mambo ni miyeyusho wakuu,,,unasubiri kupigiwa simu mpka unachoka yan!
 
Sikua mchangiaji sana humu , ila nilikuwa nikija maramoja moja kusoma comments za wadau.Hakika kuna mda nilikata tamaa nikijua kuwa kazi nilishakoza kwasababu idadi iliokuwa inatakiwa ilishakamilika. Namshukuru mwenyezi nami nimepata kazi.Msikate tamaa wengi mpo database!

Hongera sana mkuu,

Hakika wakati wa Mungu umefika, kumbuka kutoa Shukrani kwa hilo.

Mwisho, nakutakia Utumishi mwema katika majukumu yako.
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana kikubwa tusikate tamaa kuapply na kuattend kwenye interviews na kufanya maombi piah, kila mtu atapata kwa wakati wake.
Nashukuru Mungu nimebahatika kupata kazi kwenye pdf ya jana hakika Mungu ni mwema[emoji119].

Hongera sana madam,

Kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo uliyopata, hakika halikuwa jambo rahisi

Nakutakia ukawe mtumishi mwema mwenye kufata Sheria, kanuni na taratibu za kazi yako
 
Binafsi Namshukuru Mungu kwenye huu mkeka nami jina langu limo kweny kada ya Civil Engineer. Niliingia oral kweny zile nafasi za Tume ya Umwagiliaji na status ilipitia mabadiliko yote ila kweny ile Pdf sikuwepo.Nashukuru sana kumbe nilikuw kwenye database.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kwahiyo tusivunjike moyo bali tuendelee kumwomba yeye na tuzidi kuongeza juhudi hadi mambo yakae poa.Asanteni.

Hongera sana ndugu,

Hiyo ni taarifa njema sana, kumbuka kutoa Shukrani kwa mafanikio hayo. Pia, usisahau kujipongeza kwa hatua hyo.

Nakutakia majukumu mema.
 
Utumishi bhn ,, WCF vacancies compliance officer 11 posts,, shortlisted for interview elfu 5 na kitu ase kuna kutoboa hapa wakuu

Usiogope uwingi wa watu mkuu.

Hapo Kuna watu hawatafika kabisa na wengine wengi maandaliz hafifu.

Muhimu, wewe jiandae vizuri na ufike kwa wakati, Mengine Mola huwa anatenda.
 
Sema hizi mambo ni miyeyusho wakuu,,,unasubiri kupigiwa simu mpka unachoka yan!
Anaye kwambia usubir kupigiwa simu hao nafikir ni bora hata kama utaisha mwezi hujapigiwa maana wanataka wakuandalie mazingir kwanza mfano pesa ya kujikimu, sasa ukiambiwa baada ya wiki 2 uje unafika huna hata pesa mshahara ndo hivo tena bado process hazijakamilika na pesa ya kujikimu bado.
Unafikir utaishije mazingir ya kigeni ukute nauli tu laki + kwenda tuu hiyo.

Mwanamaji
 
Wadau tumeshakata tamaa,uzi is no more tena kama zamani,mfwende sawadogo is no more ndani ya uzi kila mara,Mwifwa anakuja mara moja moja majukumu ya kazi nae yanamuweka bize,makofia360 nae haleti za ndaaani,pdf ikitoka ni kb,matangazo ya kazi kama cha mbuzi,lets wait next time kwa sasa labda tuje na mojadala inayohusu sisi vijana hasa kuhusu utafutaji,afya na uwekezaji kupitia fursa zilizopo nadi ya maeneo yetu na elimu zetu.
we feel the same pain ,same scenario but there is no room to give up champ till the end.
 
Back
Top Bottom