HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mlioenda Dodoma kwenye usaili wa WCF Mwenyezi Mungu akawe kiongozi wenu, mfanye mitihani kwa umakini mkimtanguliza yeye, jiandaeni vya kutosha muweze kutimiza malengo yenu, kila kitu kinawezekana mkiamini katika Mungu. Inshaa Allah mtakuja jipata kwa PDF.
 
Wale tulioomba Afisa Hesabu, Bunge, pitieni akaunti zenu naona washatoa tarehe ya Usahili
Mimi wamenishangaza walitaka watu wa Administration waombe na ilikubali, ila hapa mwishoni wamenicancel na Administration kuwa sio relevant degree.

Vigezo vilikuwa awe na linguistics certificate , na Administration and secretarial.
Basi pale awali wangezuia system yao kuruhusu watu wenye irrelevant certificates, naona ikiwa hivi pesa zetu waombaji zitakwenda Bure.
 
Hii nchi yetu ngumu sana yaani hata masters wanweka age limit 35 duh
 

Attachments

  • SmartSelect_20230519-185050_Adobe Acrobat.jpg
    SmartSelect_20230519-185050_Adobe Acrobat.jpg
    94.7 KB · Views: 30
Hv wadau kubadilika kwa namba za usaili ni kawaida au imekaaje hii mfano ilikuwa 6382/00005 na sasa labda ni 6382)00072
 
Halmashaur yangu wameniambia nijaze fomu ya ruhusa ya siku 14, kwa akili yng nilitarajia waniambie watanipigia simu kama wengi wao huambiwa.

Kwa namna nyingine namaanisha kupigiwa simu ni njia bora zaidi maana wakati huo mwajir atakua amejiandaa kukupokea ikiwepo tayari pesa ya kujikimu tofaut na wale wa kuanza kazi pasipo maandaliz ya kutosha.
Kwa taarifa yako kupigiwa simu haina maana kwamba mwajiri amejiandaa kukupokea na kukupa pesa za kujikimu. Maana yake ni kwamba umeshaingizwa rasmi kwenye pay roll ya serikali na uhakiki wa vyeti umekamilika. Wapo waliopigiwa simu na bado hawajapata posho ya kujikimu na nina mifano halisi!! Ilikuwa hivi: Waliporipoti na barua ya psrs waliishia kujaza taarifa binafsi, kuonesha vyeti na kuambiwa rudini tutawaitya kwa simu. Baada ya wiki mbili wakapigiwa simu. Walipofika kazini walipewa barua rasmi za ajira, kupewa maelekezo ya majukumu yao, wakapewa fomu za kuomba ruhusa siku 14 na wakaondoka. Huku nyuma wakaambiwa posho zao. zinashughulikiwa! Kuna wengi ni miezi sasa posho bado ni kitendawili!!​
 
Daaah Sasa ndio ka PDF gani jamani kile[emoji23][emoji15][emoji15]Baada ya kusubiri Siku kadhaa tunaletewa PDF la page 2[emoji57]
Psrs ni jipu uchungu unakuta PDF moja wanaigawa vipande vipande ili kuremba website yao lakin hamna lolote wanalofanya kama tangazo la kazi ni 1 usahili mlifanya pamoja kwanini wasitoe PDF moja nzito kazi ikaisha wakapunguza attention kwa jobless na depression wanayowapa watu?
 
Back
Top Bottom