HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Bado kwenye familia zetu hizi wakisema mchangishane hela mumlipie ada mdogo wenu wa mwisho anayesoma Chuo, na wewe ukasema huna hela, wanakuona mzigo tu na wanataka ufanye lolote utume hio hela. Aisee! Sijui utakopa wapi, sijui utaomba wapi ila hela itumwe. Mungu atusaidie sana, hatukupenda kuwa hivi tulivo. Mungu pekee ndiye anayegawa hizi riziki.
 
Da
Bado kwenye familia zetu hizi wakisema mchangishane hela mumlipie ada mdogo wenu wa mwisho anayesoma Chuo, na wewe ukasema huna hela, wanakuona mzigo tu na wanataka ufanye lolote utume hio hela. Aisee! Sijui utakopa wapi, sijui utaomba wapi ila hela itumwe. Mungu atusaidie sana, hatukupenda kuwa hivi tulivo. Mungu pekee ndiye anayegawa hizi riziki

Bado kwenye familia zetu hizi wakisema mchangishane hela mumlipie ada mdogo wenu wa mwisho anayesoma Chuo, na wewe ukasema huna hela, wanakuona mzigo tu na wanataka ufanye lolote utume hio hela. Aisee! Sijui utakopa wapi, sijui utaomba wapi ila hela itumwe. Mungu atusaidie sana, hatukupenda kuwa hivi tulivo. Mungu pekee ndiye anayegawa hizi riziki.
Dah!! Umeongea kwa hisia Kali sana
 
Mungu ni mwema sana mkuu.
Endelea kupambana Yeye muweza wa yote atafungua njia zake[emoji120]
 
Wakuu,masada tafadhali kwa waliowahi kufanya usaili wa kada ya Station Master, Shirika Reli (TRC) ni aina gani ya maswali huwa kuna uwezekano wa kutoka...Naomba nipate mwanga tafadhali! Thanks in advance
 
Utumishi bhn ,, WCF vacancies compliance officer 11 posts,, shortlisted for interview elfu 5 na kitu ase kuna kutoboa hapa wakuu
Si vema kukata tamaa,
Ila kwa idadi hii nd'o maana watu wengi wanaona hiyo hela ya nauli ya kwendea Dodoma na ya kulipia malazi ni bora wanywee supu ya samaki tasi tu kitaa!!!
 
Si vema kukata tamaa,
Ila kwa idadi hii nd'o maana watu wengi wanaona hiyo hela ya nauli ya kwendea Dodoma na ya kulipia malazi ni bora wanywee supu ya samaki tasi tu kitaa!!!
Jobless ni wengi na siku zijazo usishangae post 1 wanaitwa watu 10k
Psrs lazima waite watu wengi kama sifa wanazo Ila ningeshauri database ingetumika ipasavyo ziwepo database aina 2 za permanent and temporary job ili ukiwaita wasahiliwa mara chache utawapunguzia gharama na wewe mwenyew pia
 
daah ulinzi umeniweka bize kinoma ila nipo
nipige ramli kidogo

kesho pdf ni 98%
jtano 85%

so tuwe na imani,wiki imekaa ki asali asali hii,muda wowote watu watapungua humu.
Kama umefatilia naona kama utumishi per week wanatoa placement mara 1 zikizidi pdf 2 bas tena za KB
 
Back
Top Bottom