HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hv nauli basi la kawaida Dar to Dom kwa sasa ni ngp?
Kawaida ni 25K

Zingine ni 30K hadi 40k kwa VIP.

Shabiby, ABC gari za saa 12, saa 1 ni 25k, Shabiby ya saa 7 na nusu Mchana ni 25k.

Za saa 2, 3, 4 hizi ni VIP na nauli ni 30k hadi 40k.

ABC na Shabiby ndio usafiri mzuri.

Nashauri utumie huo usafiri mojawapo
 
Wakuu kisiwa kimetulia sana!! Hatuna Civil Engineers humu? Maana PSRS wamewasomba si mchezo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi Namshukuru Mungu kwenye huu mkeka nami jina langu limo kweny kada ya Civil Engineer. Niliingia oral kweny zile nafasi za Tume ya Umwagiliaji na status ilipitia mabadiliko yote ila kweny ile Pdf sikuwepo.Nashukuru sana kumbe nilikuw kwenye database.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kwahiyo tusivunjike moyo bali tuendelee kumwomba yeye na tuzidi kuongeza juhudi hadi mambo yakae poa.Asanteni.
 
Hongera sana mkuu,Ukawe mtumishi mwema,ukalitumikie taifa kwa uadilifu.

Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi👏.
 
Binafsi Namshukuru Mungu kwenye huu mkeka nami jina langu limo kweny kada ya Civil Engineer. Niliingia oral kweny zile nafasi za Tume ya Umwagiliaji na status ilipitia mabadiliko yote ila kweny ile Pdf sikuwepo.Nashukuru sana kumbe nilikuw kwenye database.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kwahiyo tusivunjike moyo bali tuendelee kumwomba yeye na tuzidi kuongeza juhudi hadi mambo yakae poa.Asanteni.
Hongera sana afsa, na ahsante kwa ushuhuda huu.
 
Tuchangamshe Uzi kidogo kwa kwa kujadili Kdgo kuhusu hii issue.
"NI KWANINI WATU WENGI HUWA WANACHUKIA NA KUDISCOURAGE KAZI YA UALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI WAKATI UNAKUTA WANA MISHAHARA SAWA AU HATA ZAIDI NA WATU WA KADA NYINGINE ?"
 
Binafsi Namshukuru Mungu kwenye huu mkeka nami jina langu limo kweny kada ya Civil Engineer. Niliingia oral kweny zile nafasi za Tume ya Umwagiliaji na status ilipitia mabadiliko yote ila kweny ile Pdf sikuwepo.Nashukuru sana kumbe nilikuw kwenye database.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kwahiyo tusivunjike moyo bali tuendelee kumwomba yeye na tuzidi kuongeza juhudi hadi mambo yakae poa.Asanteni.
Hongera sana mkuu!
 
Back
Top Bottom