Upside Down
Member
- May 6, 2023
- 14
- 29
Issue sio pesa ni kuamuaWale wana pesa chap wanasikilizwa had na waziri mkuu!!!
Issue sio pesa ni kuamuaWale wana pesa chap wanasikilizwa had na waziri mkuu!!!
vijana wamefanyaje??Hahahhaha! Na wale wa asali na sukari gulu kuna ;la kujifunza. Mmesikia suala la vijana wadogo wa TRA??? Vijana utumishi wa umma ni kama wito usitegeemee kwenda kuwa tajiri kupitia rushwa.
Kule K/koo Gavo inachuma mabilioni lazima ichutame imalizane na wadauWale wana pesa chap wanasikilizwa had na waziri mkuu!!!
Task force imepigwa ban😃😃😃😃 , kwamba vijana wa TRA wamezidisha Mbinyo bila huruma mpaka wafanyabishara wa Kariakoo wamepiga mayowe😃😃😃😃😃 ,
Acheni vijana bana ,wana hasira na msoto wa kitaa wakikumbuka mlivyokuwa mnawadharau kwa kejeli , halafu unakuta ni Jobless hawa waliolamba asali juzi ,manina kama vile mwanajeshi aliyetoka depo ,jichanganye upasuke taya 😄😄😄😄
Task force hoyeeeee 😃😃😃😃😃
😃😃😃😃 , kwamba vijana wa TRA wamezidisha Mbinyo bila huruma mpaka wafanyabishara wa Kariakoo wamepiga mayowe😃😃😃😃😃 ,
Acheni vijana bana ,wana hasira na msoto wa kitaa wakikumbuka mlivyokuwa mnawadharau kwa kejeli , halafu unakuta ni Jobless hawa waliolamba asali juzi ,manina kama vile mwanajeshi aliyetoka depo ,jichanganye upasuke taya 😄😄😄😄
Hatari sana
Kama ni uzalendo kwanini mmoja umlipe milioni 2 na mwengine laki 7. Wakati wote wana degree mojaMawazo kama hayo ndiyo yamewajaa vijana wengi wanaotafuta ajira. Wanatamani ajira zitakazowapa fursa ya kufanya wizi, ufisadi, ubadhirifu na kujihusisha na ulaji rushwa!! Amini usiamini maisha ya furaha, amani na utulivu wa moyo hautokani na kipato kikubwa cha pesa itokanayo na uchafu huo uliotajwa hapo juu. Si lazima ufanye uharibifu huo ili upate maendeleo ya maisha. Mwamini Mungu kuwa atakufanikisha tu kwa kipato halali unachoweza kukitumia kwa furaha!! Ni aibu yako kuendesha "gari kubwa" huku unajua na jamii inajua kuwa ni matokeo ya wizi na rushwa!! Wengine ndiyo watadhani kuwa unafurahia maisha yako mazuri lakini nafsi yako inafahamu sana kuwa huna furaha wala amani yoyote maishani mwako. Biblia inasema' 'HAKUNA AMANI KWA WABAYA ASEMA BWANA-Isaya 42:22" na ndivyo ilivyo, cheka uwezavyo lakini huna amani, vaa uwezavyo lakini huna amani, nk. Sina tatizo na posho halali kwa mujibu wa sheria.
Inabidi ukubali kuwa digrii pia hupishana uzito!! Kuna wanaohitimu baada ya miaka 6 yaani miaka 5 chuoni na mwaka 1 internship! Zingine ni miaka 3. Risk factor pia hutofautiana kati ya kazi moja na nyingine. Tofauti hizi hupelekea malipo tofauti hata kama mwajiri ni mmoja!! Kufumbia macho au kutokuuelewa ukweli huu itawafanya watu watilie shaka upeo wa uelewa wa vijana wetu!! Hiyo tofauti uliyoitolea mfano ni ya kufikirika wala haipo!!Kama ni uzalendo kwanini mmoja umlipe milioni 2 na mwengine laki 7. Wakati wote wana degree moja
100% trueMiongoni mwa sifa ya Mwenyezi mungu ni uadilifu na mwingi wa kuruzuku na wala hapangiwi nini cha kufanya dhidi ya mtu fulani, basi tambua rizki yako ipo tangu uko tumboni mwa mama na utaipata kama vile ulivyoandikiwa kabla ya roho yako kufika kwenye mitulinge miwili ya shingo.
Subiria buyu la Asali linakuja.
Task force ni vibarua tu wa tra wala sio waajiliwa ni kama mgambo fulani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] , kwamba vijana wa TRA wamezidisha Mbinyo bila huruma mpaka wafanyabishara wa Kariakoo wamepiga mayowe[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ,
Acheni vijana bana ,wana hasira na msoto wa kitaa wakikumbuka mlivyokuwa mnawadharau kwa kejeli , halafu unakuta ni Jobless hawa waliolamba asali juzi ,manina kama vile mwanajeshi aliyetoka depo ,jichanganye upasuke taya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Task force hoyeeeee [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ramli zipigwe jaman,,kesho asilimia ni ngapi!?Inakuaje huu uzi hauko juu?
Njooni tupush ajenda.
Tumia neno expectations/matarajio kuliko neno ramli!! Matarajio leo na kesho naona ni 50%Ramli zipigwe jaman,,kesho asilimia ni ngapi!?
Ramli haramuu jamani HAIFAI.Ramli zipigwe jaman,,kesho asilimia ni ngapi!?
Kweli aisee ramli ushirikina haramuRamli haramuu jamani HAIFAI.
Aliyetuumba na kuturuzuku anachukia.
Tutumie misamiati mizuri kama vile matarajio ya leo,uwezekano kwa leo
n. K
Ni kweliiiRamli haramuu jamani HAIFAI.
Aliyetuumba na kuturuzuku anachukia.
Tutumie misamiati mizuri kama vile matarajio ya leo,uwezekano kwa leo
n. K