Vipi kuhusu ma afisa wa idara ya ukaguzi wa ndani Halmashauri nao wapoje upande wa posho?Hao wengine wako jikoni wakati mwalimu yuko Dinning.
Nakupa mifano miwili :
1. Afisa hesabu wa Halmashauri anaesimamia Zahanati na hospital madokezo hotel ya Hela na miradi mbali mbali lazima halite kwake hapa lazima adake chochote akikusanya Zahanati zote sio haba
2. Procurement hawa ndio hawaendi mbinguni kabisa Kila mradi wa Halmashauri lazima wale. Hawa wanaenda sambamba na wahandisi. Mmoja anakagua utaalamu wa vifaa mwingine anakagua bei. Ukisikia Halmashauri imejenga soko Kwa milioni 800 basi ujue gharama halisi ni milioni 450-500, hizi nyingine mgao umetembea bila kumsahau pacha wao Afisa hesabu na mchumi.
Pia Hawa wa Halmashauri makato makuu wana OT wanajilipa.
Mwalimu Hana kitu chochote mkavu kama mkaa Hadi mwisho wa mwaka apate fursa ya mitihani