HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hii PDF ya leo waliopata eGa na TACAIDS nadhani wanaenda kuogelea kwenye ziwa la asali nzito!!!
[emoji41][emoji41][emoji41]
Hao wa TACAIDS hao mwaka hauishi huu 2023 watakuwa wanatembelea ndinga na mwaka 2024 hauishi watakuwa washajenga. Ila yote ya yote hongereni mliopata kazi maana kutafuta kazi ni kazi kuliko kusoma
 
TIC
NHIF
TPA
KADCO


Probably next pdf,,,,,,,,
Habari kiongozi na wadau wote,mimi mfuatiliaji wa uzi huu ila sijawahi changia,nilifanya usaili January DUCE(laboratory scientist II),naomba tusaidie kudodosa dodosa huko vipi tumechinjiwa baharini nini,au taasisi imetukataa jamani maana wenzetu muce na udsm walishasahau hii stress
 
Back
Top Bottom