HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unajuaje haujafika 70% wakati matokeo ya oral ni siri kwao

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kama mmefanya usahili watu 5 na post inataka watu 3 akiitwa mmoja au wawili tu ujue nyie wengine hamjafika 70%..hiyo ni mosi, pili ukiona post hyohyo imekuwa re-advertised ujue hukufika pass mark kwenye usahili uliopita ndo maana hukuitwa.
 
Wasahiliwa hawajaisha kumbuka, tusijitie stress wadau.
Mfano; Fisheries officer II walitakiwa 100 mpaka sasa wameita 38.
Na halmashauri kibao hazijapelekewa watumishi.
Pdf bado sana mzee, utaziona next week before Friday lazima itoke/zitoke.
Dah!!!!
kwann usiwe na stress kama watu wanaitwa kimyakimya....Tangazo limetoka kwa wakati mmoja ila kuwapangia watu kazi kunatoka kwa mafungu
Hapo ni kumuachia Mungu kama baraka zako zipo utapata ila sintofahamu ni nyingi....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kama mmefanya usahili watu 5 na post inataka watu 3 akiitwa mmoja au wawili tu ujue nyie wengine hamjafika 70%..hiyo ni mosi, pili ukiona post hyohyo imekuwa re-advertised ujue hukufika pass mark kwenye usahili uliopita ndo maana hukuitwa.
Ni mtazamo wako...
Ila Sababu ya kuweka oral iwe siri ni ipi kama umesema 70%down hujakizi
Alafu kumbuka hilo neno 70% Ingekuwa taasisi yenyewe inaendesha mchakato lisingekuwepo(anayehitajika kwenye tangazo la kazi kalala nyumban mnaotafuta mpo mnakomaa na kusoma)....

Duh ! Mi naona wangeweka marufuku yawatu walioko kwenye ajira kuapply hizi kazi mpya ,hii ni ridiculous ,
Utakuta mtu yupo kwenye ajira na yeye bado anapanga mstari kuminyana na Jobless kugombania nafasi 11

Serikali Inabidi watengeneze strategy mpya ya kupunguza makali kwa wahitimu wa vyuo ,piga marufuku employees au watu wenye ajira kuapply kazi mpya za serikali .
Ni upuuz kuona Lundo la graduates wanasita kitaa wengine wengi hata nafasi za internship wamekosa ,yet bado majitu yapo kwenye ajira yanagombania nafasi nao .
Hakuna mizania sawa hapo
Hii itaisha tu endapo mishahara taasisi, wizara na halmashauri itakuwa na uwiano. Sio hivi sasa degree moja ila huyu laki 7, yule 1.6M yule 2.2M
 
Ni mtazamo wako...
Ila Sababu ya kuweka oral iwe siri ni ipi kama umesema 70%down hujakizi
Alafu kumbuka hilo neno 70% Ingekuwa taasisi yenyewe inaendesha mchakato lisingekuwepo(anayehitajika kwenye tangazo la kazi kalala nyumban mnaotafuta mpo mnakomaa na kusoma)....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwa nafasi ya assistant lecturer na lecturer kujua kama haujapita au haupo database ni rahisi tofauti na post nyingine za serikali na kujua ni kama nilivyokuelezea hapo..hiyo 70% ipo kisheria ni kama nafasi nyingine za serikali lazima ufike 50% nk.

pia mchakato wa usahili unaendeshwa na chuo husika ila anakuwepo mtu wa utumishi kwenye panel ila process nzima inasimamiwa na chuo husika hata kuita watu waliofaulu mnapigiwa simu direct na chuo kabla hata pdf ya utumishi haijatoka na inaweza hata isitoke kabisa na watu wakaripoti kazini.
 
Kama mmefanya usahili watu 5 na post inataka watu 3 akiitwa mmoja au wawili tu ujue nyie wengine hamjafika 70%..hiyo ni mosi, pili ukiona post hyohyo imekuwa re-advertised ujue hukufika pass mark kwenye usahili uliopita ndo maana hukuitwa.
Yeah upo sahihi
 
Dah!!!!
kwann usiwe na stress kama watu wanaitwa kimyakimya....Tangazo limetoka kwa wakati mmoja ila kuwapangia watu kazi kunatoka kwa mafungu
Hapo ni kumuachia Mungu kama baraka zako zipo utapata ila sintofahamu ni nyingi....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Lazima upate mawazo na stress psrs wao wenyewe ndio wanajitafutia makosa na kulaumiwa kila siku mfano wangekua wanatoa placement kwa pamoja na wakati unafikiri tungelalamika tunaelewa wahitaji wa ajira ni wengi lakin wangetatua changamoto hamna wa kulalamika na wangefanya kazi bila pressure na kutafuta attention
 
Kwa nafasi ya assistant lecturer na lecturer kujua kama haujapita au haupo database ni rahisi tofauti na post nyingine za serikali na kujua ni kama nilivyokuelezea hapo..hiyo 70% ipo kisheria ni kama nafasi nyingine za serikali lazima ufike 50% nk.

pia mchakato wa usahili unaendeshwa na chuo husika ila anakuwepo mtu wa utumishi kwenye panel ila process nzima inasimamiwa na chuo husika hata kuita watu waliofaulu mnapigiwa simu direct na chuo kabla hata pdf ya utumishi haijatoka na inaweza hata isitoke kabisa na watu wakaripoti kazini.

Ni mtazamo wako...
Ila Sababu ya kuweka oral iwe siri ni ipi kama umesema 70%down hujakizi
Alafu kumbuka hilo neno 70% Ingekuwa taasisi yenyewe inaendesha mchakato lisingekuwepo(anayehitajika kwenye tangazo la kazi kalala nyumban mnaotafuta mpo mnakomaa na kusoma)....

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mm naona Borea psrs wangesimamia wenyewe sahili za ukufunzi maana bila connection ni ngumu kupata last year nimeshuhudia chuo X waliofaulu written wote ni waliosoma pale na wengine walikua wanajitolea had assistant lecturer waliingia kwa connection
 
Kwa nafasi ya assistant lecturer na lecturer kujua kama haujapita au haupo database ni rahisi tofauti na post nyingine za serikali na kujua ni kama nilivyokuelezea hapo..hiyo 70% ipo kisheria ni kama nafasi nyingine za serikali lazima ufike 50% nk.

pia mchakato wa usahili unaendeshwa na chuo husika ila anakuwepo mtu wa utumishi kwenye panel ila process nzima inasimamiwa na chuo husika hata kuita watu waliofaulu mnapigiwa simu direct na chuo kabla hata pdf ya utumishi haijatoka na inaweza hata isitoke kabisa na watu wakaripoti kazini.
Nimelipenda neno la mwisho Kiongozi ulilomalizia...

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja apangiwe Halmashauri ndiyo atajua kwanini watu wanaomba wanapoona taasisi zenge nafuu kuliko walipo wanaomba
Serikali ingejitahidi kuweka uwiano wa mishahara kwa kuwaongezea watumishi wa LGA MDA huko ili atleast wakaribiane na taasis. Ila mliobahatika kupata ajira hata Kama ni halmashaur mshukuru Mungu kafanye kazi vizur tafuta plan B kwa kutumia mshahara wako either biashara au kilimo utapata mafanikio uliyoyapanga
 
Mm naona Borea psrs wangesimamia wenyewe sahili za ukufunzi maana bila connection ni ngumu kupata last year nimeshuhudia chuo X waliofaulu written wote ni waliosoma pale na wengine walikua wanajitolea had assistant lecturer waliingia kwa connection
Inawezekana unalosema ni sahihi ila personally nawafahamu rafiki zangu zaidi ya 5 hawakuwa na connection yoyote na walipata ajira za ukufunzi na hawakusoma hivyo vyuo kabisa tena mmoja waliitwa 8 na anahitajika mmoja alitaka asiende akijua hatapita ila nikamwambia ww nenda mwisho wa siku alipata ile nafasi mpaka leo yupo kazini. Connections kwenye ajira zipo ila wewe mwamini Mungu kama nafasi Mungu amekupangia yeye basi hakuna atakayeichukua..Mwenyezi Mungu ndo master of all connections.
 
Inategemea kama ni master's unaweza pita bila connection lakin tutorial assistant sifa kubwa uwe umesoma chuo chao
 
Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi/Arusha kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 30 tu.
Tutaondoka Ijumaa tarehe 19/05/2023 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand/Arusha bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 19 hadi Dodoma mjini.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani tarehe 20 saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini tutakapofikia.
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
•Uwezekano wa kupata mtu wa kushare room accommodation ( kwa tutakaosafiri pamoja) kupunguza cost.
DM if interested. call,text, WhatsApp 0623 934 970

MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO ( in person) MWISHO SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/05/2023 SAA SITA MCHANA
 
Back
Top Bottom