HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Oya kuna tangazo la kazi EWURA ,hawa nadhani wanaaajiri wao directly ingawa kuna ambao wanaingizwa pia na utumishi anyway ,mwenye vigezo aombe ,
Hizo ni "transfer vacances". Maana yake ni kwamba zinawahusu wale tu ambao tayari wako kwenye utumishi wa umma na wangependa kuhamishia ajira zao EWURA. Wale walioramba asali na kupata barua ya ajira wanaweza kuomba. Sharti ni kupitishia barua ya maombi kwa mwajiri wako kwa sasa.
Ndiyo maana wamesema: Mode of Application: Interested Public Servants should apply in confidence enclosing:
This means the posts are open to interested Public servants and not optherwise.
 
Ngoja apangiwe Halmashauri ndiyo atajua kwanini watu wanaomba wanapoona taasisi zenge nafuu kuliko walipo wanaomba
Sababu ya kipuuz kabisa kama unaona mshahara hautoshi acha kazi Jobless waajiriwe wewe nenda kaombe huko unakokujua ,umelazimishwa kufanya hiyo kazi ? , Ulipokuwa unapewa mkataba hukuusoma ,

Tukiendekeza hii tabia ya kipumbavu tunakuza tatizo ,nchi iko kwenye crisis ya unemployment kwa vijana graduates badala ya kutumia akili na kuhakikisha nafasi zilizopo zinajazwa na wao ili kuwapunguzia makali ninyi mnawaza matumbo yenu tu .
 
Saa nyingine wanauliza tell us about your background;
Hili ni swali moja huwa linataka vitu vifuatavyo;
1. Anza unaitwa nani, umri wako na unapaswa kumention level ulizopita pamoja na miaka mfano nimemaliza shule ya msingi mwaka x, ordinary level mwaka 2007, nilijiunga advanced level Nikahitimu mwak 2012 bila kusahau field ulizofanya kazi/intern au field practicals.
2. Wanataka useme baada ya hayo una experience gani mfano unaweza kusema, i have experience on conducting researchs, conducting meeting, solving problems, leadership mentality etc.

Nafikir wadau watajazia.!

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app

Acha kupoteza muda kuelezea shule za msingi na sekondari nenda direct kwenye chuo

1. Anza na Name
2. Age
3: unakotokea
3. Recently education level
4. Experince if any
5. Achievements
6. Skills
7. Malizia na kivipi utaisaidia kampuni/taasisi.

Ila ukiulizwa Education background hapo sasa elezea mpaka nursery.
 
Hii itaisha tu endapo mishahara taasisi, wizara na halmashauri itakuwa na uwiano. Sio hivi sasa degree moja ila huyu laki 7, yule 1.6M yule 2.2M
Hiyo sio logical argument , hiyo kazi ulipewa mkataba na kuusoma ,so you knew all along what you were getting yourself into ,hukuwekewa bunduki kwenye kichwa chako kwamba ni lazima usaini ,kama uliona mshahara hautoshi ungeacha kusaini ,

Tukiendekeza hii tabia ya kipumbavu tunakuza tatizo ,nchi iko kwenye crisis ya unemployment kwa vijana graduates badala ya kutumia akili na kuhakikisha nafasi zilizopo zinajazwa na wao ili kuwapunguzia makali ninyi mnawaza matumbo yenu tu .

Usiangalie tu tumbo lako angalia mamilioni ya vijana wenye sifa na elimu kuliko hata wewe ,wapo kitaa hawana mitaji ,hawana wa kuwashika mkono kuwainua kiuchumi ,hawana hata ajira za kujishikiza , hawana mbele wala nyuma ,wanatoka familia duni na wana lundo la wategemezi .

Nisije nikawa najadiliana na wale baba kanituma hapa . Tumia akili

Au mnafikiri ni kwa nini kigezo cha experience kwa hizo ajira za serikali kiliondolewa ? , Mnafikiri walifanya hivyo bila sababu ?


Au ninyi mnaona ni kitu cha kawaida ajira 11 kugombaniwa na watu 5000+ ?
 
Kama mmefanya usahili watu 5 na post inataka watu 3 akiitwa mmoja au wawili tu ujue nyie wengine hamjafika 70%..hiyo ni mosi, pili ukiona post hyohyo imekuwa re-advertised ujue hukufika pass mark kwenye usahili uliopita ndo maana hukuitwa.

Oral kufaulu ni max ngapi?? Me najua kuanzia 50%. Wameongeza tena rate?
 
Icho kitu hakiwezekani Mzee
Watu waache selfishness and greed , watu tuwe tunatumia akili , majitu yanaona crisis tuliyonayo kama taifa sasa hivi kwenye unemployment ya vijana ,lakini akili hayataki kutumia ,
Yanasubiri mpaka rais ayaambie acheni kugombania nafasi chache za ajira mpya na
unemployed graduates
No logical sense Kwa mtanzania
 
Sababu ya kipuuz kabisa kama unaona mshahara hautoshi acha kazi Jobless waajiriwe wewe nenda kaombe huko unakokujua ,umelazimishwa kufanya hiyo kazi ? , Ulipokuwa unapewa mkataba hukuusoma ,

Tukiendekeza hii tabia ya kipumbavu tunakuza tatizo ,nchi iko kwenye crisis ya unemployment kwa vijana graduates badala ya kutumia akili na kuhakikisha nafasi zilizopo zinajazwa na wao ili kuwapunguzia makali ninyi mnawaza matumbo yenu tu .
Kunywa maji baridi, Mkuu!
 
Acha kupoteza muda kuelezea shule za msingi na sekondari nenda direct kwenye chuo

1. Anza na Name
2. Age
3: unakotokea
3. Recently education level
4. Experince if any
5. Achievements
6. Skills
7. Malizia na kivipi utaisaidia kampuni/taasisi.

Ila ukiulizwa Education background hapo sasa elezea mpaka nursery.
Ok sawa.
 
Mwifwa , Mr. Tutor et all

CHALLENGES YOU EXPECT AT WORK/JOB
Hapo mnajibu aje wadau maana mimi nina mbili tu (maybe housing, maybe transportation) alafu wale wanataka 5points
Sijawahi kusikia hili swali liulizwe na PSRS, wadau wengi humu hawajawahi kulisema hili swali badala yake wengi waliwahi kujiandaa nalo ila hawakuwahi kuulizwa
 
Kiukwel nimeshakata tamaa na maswala ya placement za mda and LGA inachosha sana
 
Back
Top Bottom