BM bus ni 34,000/=, Shabby ni 35,000/=Hv nauli basi la kawaida Dar to Dom kwa sasa ni ngp?
BM bus ni 34,000/=, Shabby ni 35,000/=Hv nauli basi la kawaida Dar to Dom kwa sasa ni ngp?
linaulizwa sana., mimi pia nilishawahi ulizwa.Sijawahi kusikia hili swali liulizwe na PSRS, wadau wengi humu hawajawahi kulisema hili swali badala yake wengi waliwahi kujiandaa nalo ila hawakuwahi kuulizwa
Mh bro hizo nauli za VIP nauli ya basi ya kawaida ni 25 na ukikomaa nao 23 mpaka 20 unaenda kibishi inategmea t na hali ya abiria kwa siku hiyoBM bus ni 34,000/=, Shabby ni 35,000/=
BM bus ni 34,000/=, Shabby ni 35,000/=
CHALLENGES MAY INCLUDE BUT NOT LIMITED TO:
Duh! Hizo bei ndo nazojua mimi na last time kwenda Dodoma ni last month.Mh bro hizo nauli za VIP nauli ya basi ya kawaida ni 25 na ukikomaa nao 23 mpaka 20 unaenda kibishi inategmea t na hali ya abiria kwa siku hiyo
Zitakuja tu, mkeka wa leo umeshiba kidogoShuhuda hazipo leoooo?
Vip hiyo ukipanda daraja la kati ni 25 . Hata Shabiby ni bei hiyo na ipo poa tu ila ukipanda lile vip mlango mbele na kati bei inakuwa juu kidogoDuh! Hizo bei ndo nazojua mimi na last time kwenda Dodoma ni last month.
Itakuwa wadau wamelala,asubuhi wanaamka,wanajikuta kwenye dimbwi la asali[emoji3][emoji3]Zitakuja tu, mkeka wa leo umeshiba kidogo
Nilipanda hiyo ya milango miwili, but nimechek ticket hapa MB ni 30 nilikosea mda ule.Vip hiyo ukipanda daraja la kati ni 25 . Hata Shabiby ni bei hiyo na ipo poa tu ila ukipanda lile vip mlango mbele na kati bei inakuwa juu kidogo
Na huu ndio mtizamo/imani yanguItakuwa wadau wamelala,asubuhi wanaamka,wanajikuta kwenye dimbwi la asali[emoji3][emoji3]
Kalamba asali au sio bossMdogo wangu nae mungu ni mwema
Yeah kalamba mzee WCF amepungua imebaki 4999 Approximatn 😂😂😂Kalamba asali au sio boss