HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Binafsi Namshukuru Mungu kwenye huu mkeka nami jina langu limo kweny kada ya Civil Engineer. Niliingia oral kweny zile nafasi za Tume ya Umwagiliaji na status ilipitia mabadiliko yote ila kweny ile Pdf sikuwepo.Nashukuru sana kumbe nilikuw kwenye database.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kwahiyo tusivunjike moyo bali tuendelee kumwomba yeye na tuzidi kuongeza juhudi hadi mambo yakae poa.Asanteni.
Haya ndio mambo tunayoyapenda kuyasikia.

Hongera sana, kila la kheri.

Ukawe mtumishi mwema.

Karibu sana upande wa pili
 
Sio mbaya , ni kwenda kuminyana huko huko itajulikana mbele kwa mbele , kuna mshikaji wangu mmoja kapata halafu anasita kwenda kuchukua barua ,tena hata alikuwa hajui ,jana usiku ndio nikamshitua , nimemtukana nikamwambia acha upumbavu nitakufata hapo nikupige makofi hutaamini😃😃😃😃 , anafanya kwenye kikampuni uchwara kimoja na mshahara hata laki 7 haufiki sasa si bora uingie Tamisemi na security serikalini ni kubwa tofauti na vikampuni Magumashi vya wakandarasi ? ,Miradi ya kubangaiza ? Oya mtu akipata hata halmashauri aende ,ipo siku anaweza kulia na kusaga meno kwa kudharau hiyo chance .
Hongereni mliofanikiwa kupata chance
TGTS E1, Laki 9.9 Kabla ya makato
 
TGTS yaani Tanzania Government Teachers Scale (E1) ni 990,000/= Lakini TGS hii ni 1,000,000/= Kwahiyo hapo mwalimu anazidiwa elfu 10 na watumishi wa kada nyingine anaoanza nao kazi halmashauri yaani kama vile HR na wengine anaoanza nao kwenye daraja moja
 
Ushauri mzuri sana, Ahsante ndugu.
 
TGTS yaani Tanzania Government Teachers Scale (E1) ni 990,000/= Lakini TGS hii ni 1,000,000/= Kwahiyo hapo mwalimu anazidiwa elfu 10 na watumishi wa kada nyingine anaoanza nao kazi halmashauri yaani kama vile HR na wengine anaoanza nao kweny
Hakuna tofauti mkuu. Mwaka Jana mwalimu wa degree alianza na TGTS D1 Laki 7.16 wakati hao wengine HR, AH, wachumi n.k ni TGS D1 Laki 7.1 mwalimu aliwazidi elfu 6.
 
Kama huyo Daktari anakula ngapi kabla ya makato?
MD baada ya makato anachukua 3M na point. Pia kuna safari na semina kila mwezi na unaweza kuishi kwa posho tu. Pia kwenye baadhi ya taasisi kinachofanya take home iwe kubwa ni kwasababu baadhi ya makato huwa analipa mwajiri na si kutoka kwenye mshahara wako , mfano Tanesco Bima ya afya inalipwa na mwajiri nje ya mshahara wako, yaani NHIF wakikukata mwajili ana replace so haiathiri mshahara wako
 
TGTS yaani Tanzania Government Teachers Scale (E1) ni 990,000/= Lakini TGS hii ni 1,000,000/= Kwahiyo hapo mwalimu anazidiwa elfu 10 na watumishi wa kada nyingine anaoanza nao kazi halmashauri yaani kama vile HR na wengine anaoanza nao kwenye daraja moja
Kwani Mwalimu anaanza na salary ya Sh. Ngapi?
 
MD baada ya makato anachukua 3M na point. Pia kuna safari na semina kila mwezi na unaweza kuishi kwa posho tu. Pia kwenye baadhi ya taasisi kinachofanya take home iwe kubwa ni kwasababu baadhi ya makato huwa analipa mwajiri na si kutoka kwenye mshahara wako , mfano Tanesco Bima ya afya inalipwa na mwajiri nje ya mshahara wako, yaani NHIF wakikukata mwajili ana replace so haiathiri mshahara wako
MD wa Taasisi gani hiyo?
 
TGTS yaani Tanzania Government Teachers Scale (E1) ni 990,000/= Lakini TGS hii ni 1,000,000/= Kwahiyo hapo mwalimu anazidiwa elfu 10 na watumishi wa kada nyingine anaoanza nao kazi halmashauri yaani kama vile HR na wengine anaoanza nao kwenye daraja moja

Sasa mbona huwa wanasema mshahara wa mwalimu anaeanza ni 760,000 around hapo? Kumbe milioni unyama kabisa?
 
MD baada ya makato anachukua 3M na point. Pia kuna safari na semina kila mwezi na unaweza kuishi kwa posho tu. Pia kwenye baadhi ya taasisi kinachofanya take home iwe kubwa ni kwasababu baadhi ya makato huwa analipa mwajiri na si kutoka kwenye mshahara wako , mfano Tanesco Bima ya afya inalipwa na mwajiri nje ya mshahara wako, yaani NHIF wakikukata mwajili ana replace so haiathiri mshahara wako

Baada ya makato?? That means gross salary ni around 5 M?? Medical Doctor??
 
Binafsi Namshukuru Mungu kwenye huu mkeka nami jina langu limo kweny kada ya Civil Engineer. Niliingia oral kweny zile nafasi za Tume ya Umwagiliaji na status ilipitia mabadiliko yote ila kweny ile Pdf sikuwepo.Nashukuru sana kumbe nilikuw kwenye database.Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kwahiyo tusivunjike moyo bali tuendelee kumwomba yeye na tuzidi kuongeza juhudi hadi mambo yakae poa.Asanteni.
Hongera sana Engineer. Kila la kheri kwenye majukumu mapya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom