HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi ninamatumaini ya kuona bonge la pdf leo sema IT kaona atuandae kisaikolojia na hako ka pdf.
 
Mkuu fanya biashara au tafuta private sector huku ukiendelea na kuattend interview za serikalini,kwa wakati wako utapata usikate tamaa .
fanya biashara? si kila mtu angefanya kama ni hivyo
 
Uliona wapi mfanye interviwe sawa wengine wameitwa mwezi wa tatu then miezi miwili mpaka mitatu usubiri kuitwa ilihali hujui hata kama ulifaulu,same moment post za kada yako wanaitwa kwa ajili ya intervie na matangazo yanatoka.
Ni kweli inatatanisha ingebidi iwekwe vizuri zaidi hasa upande wa kutoa matokeo ya oral interview. Inavyofanyika kwa sasa ni kwamba wanaita kidogo kidogo kutokana na utayari wa waajiri husika kuwa tayari kuwapokea waajiriwa wapya hasa kwa maana ya fedha! Kwa mfano hadi sasa wameita watu 32 nafasi ya FISHERIES OFFICER GRADE II kati ya nafasi 100 zilizokuwa zimetangazwa. Maana yake ni kwamba kuna halmashauri zingine bado hazijawa tayari kuwapokea, zitakapokuwa tayari wataitwa wengine hadi nafasi zote 100 zilizotangazwa zijae!
Kuhusu kada yako uliyofanyia interview kuona inatangazwa tena na watu kuitwa kwenye interview maana yake ni kwamba aidha mwajiri hataki watu walioko database akihofia kuwa huenda akasukumiziwa watu wasiostahili kwa michongo au kwenye data base hakuna watu wa kada ile kwani waliofanya usaili hawakufikia kiwango kinachotakiwa na mwajiri.

Kwa maana hiyo watu waendelee kuwa na matumaini kama idadi iliyotakiwa bado kufikiwa. Ndiyo maana ni vizuri kufuatilia je wameshaitwa wangapi kwa kada yako? na bado wangapi? Ila ukiona mwajiri huyo huyo anatangaza tena (re-advertised) kada hiyo hiyo ujue waliofanya usaili hawakufikia kiwango kinachotakiwa kwa hiyo anatafuta watu wengine! (japo scenario hiyo huwa ni nadra)
 
Nimeona upande wa Wizara ya Afya wameitwa usaili watu wa takwimu wakati huohuo kuna nafasi 70 za Mtakwimu II zilitangazwa na MDA&LGA na oral yake ikafanyika Mwezi February na mpaka sasa walioitwa kazini idadi haijafika 70. Hii ina maanisha nini wataalamu?, kwa maana Wizara ya Afya ni miongoni mwa MDA!!!
Inashangaza sana, kwenye huo usaili wa February waliitwa watu 233 kwa nafasi 70, ajabu wakatangaza tena nafasi nyingine 3 naona wameita tena 400+ wakashindanie hizo nafasi tatu, hivi ni kweli wote hao 233 hamna watu wa kujaza hizo nafasi 3? kuwa jobless Tanzania ni mateso sana tunaomba Mungu utuhurumie kwa haya mateso.
 
Itakua wanakusanya watu wa database mkuu usikhofu 😎
 
Placement zimeisha,wameanza kuita interview tena
Placement bado sana mkuu. MDA&LGA walitangaza nafasi 2,057. Walioitwa hadi sasa hawafiki hata 1,000. Bado matumaini ni makubwa sana. Serikali ndiyo inayochelewesha kuachia pesa kwa waajiri (japo zipo kwenye bajeti lakini inategemea na kasi ya makusanyo ya kodi). Kama Taifa tujifunze kuwa na utamaduni mzuri wa kupenda kulipa kodi kwa wakati! Serikali yoyote duniani nguvu na ujanja wake ni kodi ya wananchi wake. Kodi isipolipwa kwa wakati, mipango haitakwenda kwa wakati! Kingine kikubwa ni tatizo la wizi, ubadhirifu na rushwa, haya huchelewesha sana kasi ya mipango ya serikali. Mnaoramba asali nendeni mkachape kazi na kutenda haki!! Haki huinua Taifa!! Kuna watu bila aibu hujisifia nafasi za kazi zinazowapa mwanya wa kuiba, na kula rushwa! Hii ni aibu sana kwa Taifa!! Samahani nimelisema hili hapa maana hapa kuna waajiriwa tarajali kibao! matatizo mengi mnayokutana nayo leo kwenye harakati za kutafuta ajira yanasababishwa na watumishi wa umma walio katika nafasi mbali mbali za maamuzi na usimamizi lakini hawatendi haki kwa kupofushwa na wizi na rushwa! Ninyi Mungu atakapokuwa amewapa nafasi msitende kwa namna ambayo itasumbua watu kama ninyi mnavyosumbuka leo!. Ukiamua hivyo kwa moyo wa dhati ninaamini Mungu atakupa hiyo nafasi!! Vinginevyo kuna watu wanamwomba Mungu kwa ajili ya Tanzania ili Mungu aiepushe nchi yetu na watu ambao wataendeleza mateso tunayoyaona leo, na wasipate hiyo nafsi wanayoitafuta kwa udi na uvumba!​
 
Placement bado sana mkuu. MDA&LGA walitangaza nafasi 2,057. Walioitwa hadi sasa hawafiki hata 1,000. Bado matumaini ni makubwa sana. Serikali ndiyo inayochelewesha kuachia pesa kwa waajiri (japo zipo kwenye bajeti lakini inategemea na kasi ya makusanyo ya kodi). Kama Taifa tujifunze kuwa na utamaduni mzuri wa kupenda kulipa kodi kwa wakati! Serikali yoyote duniani nguvu na ujanja wake ni kodi ya wananchi wake. Kodi isipolipwa kwa wakati, mipango haitakwenda kwa wakati! Kingine kikubwa ni tatizo la wizi, ubadhirifu na rushwa, haya huchelewesha sana kasi ya mipango ya serikali. Mnaoramba asali nendeni mkachape kazi na kutenda haki!! Haki huinua Taifa!! Kuna watu bila aibu hujisifia nafasi za kazi zinazowapa mwanya wa kuiba, na kula rushwa! Hii ni aibu sana kwa Taifa!! Samahani nimelisema hiki hapa maana hapa kuna waajiriwa tarajali kibao! matatizo mengi mnayokutana nayo leo kwenye harakati za kutafuta ajira yanasababishwa na watumishi wa umma walio katika nafasi mbali mbali za maamuzi na usimamizi lakini hawatendi haki kwa kupofushwa na wizi na rushwa! Ninyi Mungu atakapokuwa amewapa nafasi msitende kwa namna ambayo itasumbua watu kama ninyi mnavyosumbuka leo!. Ukiamua hivyo kwa moyo wa dhati ninaamini Mungu atakupa hiyo nafasi!! Vinginevyo kuna watu wanamwomba Mungu kwa ajili ya Tanzania na Mungu aiepushe nchi yetu na watu ambao wataendeleza mateso tunayoyaona leo na wasipate hiyo nafsi wanayoitafuta kwa udi na uvumba!​
Ni kwel kabisa mkuu,
 
Inashangaza sana, kwenye huo usaili wa February waliitwa watu 233 kwa nafasi 70, ajabu wakatangaza tena nafasi nyingine 3 naona wameita tena 400+ wakashindanie hizo nafasi tatu, hivi ni kweli wote hao 233 hamna watu wa kujaza hizo nafasi 3? kuwa jobless Tanzania ni mateso sana tunaomba Mungu utuhurumie kwa haya mateso.
Lakini hizi za wizara ya afya ni za mkataba wa mwaka mmoja
 
Umeongea point sana ni maneno yanayompendeza sana Mungu, uadilifu ni jambo jema sana hata katika maandiko matakatifu tumeaswa hivyo, kutokuwa kuwa muadilifu leo kutaleta athari hata kwa kizazi chako kijacho.
 
Placement bado sana mkuu. MDA&LGA walitangaza nafasi 2,057. Walioitwa hadi sasa hawafiki hata 1,000. Bado matumaini ni makubwa sana. Serikali ndiyo inayochelewesha kuachia pesa kwa waajiri (japo zipo kwenye bajeti lakini inategemea na kasi ya makusanyo ya kodi). Kama Taifa tujifunze kuwa na utamaduni mzuri wa kupenda kulipa kodi kwa wakati! Serikali yoyote duniani nguvu na ujanja wake ni kodi ya wananchi wake. Kodi isipolipwa kwa wakati, mipango haitakwenda kwa wakati! Kingine kikubwa ni tatizo la wizi, ubadhirifu na rushwa, haya huchelewesha sana kasi ya mipango ya serikali. Mnaoramba asali nendeni mkachape kazi na kutenda haki!! Haki huinua Taifa!! Kuna watu bila aibu hujisifia nafasi za kazi zinazowapa mwanya wa kuiba, na kula rushwa! Hii ni aibu sana kwa Taifa!! Samahani nimelisema hiki hapa maana hapa kuna waajiriwa tarajali kibao! matatizo mengi mnayokutana nayo leo kwenye harakati za kutafuta ajira yanasababishwa na watumishi wa umma walio katika nafasi mbali mbali za maamuzi na usimamizi lakini hawatendi haki kwa kupofushwa na wizi na rushwa! Ninyi Mungu atakapokuwa amewapa nafasi msitende kwa namna ambayo itasumbua watu kama ninyi mnavyosumbuka leo!. Ukiamua hivyo kwa moyo wa dhati ninaamini Mungu atakupa hiyo nafasi!! Vinginevyo kuna watu wanamwomba Mungu kwa ajili ya Tanzania na Mungu aiepushe nchi yetu na watu ambao wataendeleza mateso tunayoyaona leo na wasipate hiyo nafsi wanayoitafuta kwa udi na uvumba!​
Hata kwenye Mei Mosi mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliwakumbusha watumishi kuwa , wakati wanapodai kuboreshewa maslahi yao nao pia wakumbuke swala la uadilifu .
 
Inashangaza sana, kwenye huo usaili wa February waliitwa watu 233 kwa nafasi 70, ajabu wakatangaza tena nafasi nyingine 3 naona wameita tena 400+ wakashindanie hizo nafasi tatu, hivi ni kweli wote hao 233 hamna watu wa kujaza hizo nafasi 3? kuwa jobless Tanzania ni mateso sana tunaomba Mungu utuhurumie kwa haya mateso.
Mkuu ni ivi.

Izo nafasi za mtakwimu za wizara ya afya ni za mkataba wa mwaka mmoja tu. (Sio permanent kama za MDA&LGA)
 
Kama kuna mtu anategemea placement zaidi kutoka MDA&LGA awaze mara mbili zaidi,leo wameleta pdf ya terehe 5 ndio wanaweka leo kusahaulisha watu,hapo ilipofika mm sidhani kama kama kuna kutegenea pdf kubwa zaidi ya ya hivi vikb,
Lower your expectations then weka plan nyingine till next time.
Hao wa wizara ya afya ni wa mkataba wa mwaka mmoja, sio ajira za kudumu
 
Wakuu niaje ,, hv zile nafasi za LGA&MDA walizotoa mwezi wa nne ,, washaitwa interview ama
 
Jana Kuna jamaa kapigiwa simu toka halmashauri x na HR akimuuliza mbona hujaja kuripoti?wakati huo huo Secretariat ya ajira hawajatoa PDf likiwemo jina lake,sasa leo alivyofika tu pspr kuchukua barua,wakamuuliza jina na anwani,akataja wakampa barua yake,vile anataka kuondoka wakamwambia aifungue kwanza,akaisoma akakuta ni kituo kile kile alichopigiwa simu,barua inasoma tarh 13/3/2023,halichokosea akaanza kuwalaumu kwanini PDF hawatoi mpk anapigiwa simu,walivyosikia tu hivyo,wakataka kumyanganya barua,wakamtishia mpk kumuweka ndani,Ila akagoma kutoa barua akasepa zake😁😁😁
 
Kuna jamaa yangu leo kapigiwa simu na afisa utumishi wa halmashauri,akimuuliza mbona haji kuripoti?wakati utumishi bado hawajatoa majina,hii imekaaje wataalamu?
Hii issue imemtokea mshkaji wangu mwaka jana, majina katika nafasi aliyofanya usaili yalitoka mapdf kama mawili ya nafasi hiy hiyo ila jina lake halikutoka, baada ya siku kadhaa anapigiwa simu na afisa utumishi wa halmashauri husika akimuuliza mbona haujaripoti mpaka sasa, alichofanya kesho yake ni kusafiri mpaka Dom akaenda masijala ya psrs akapnyesha kitambulisha akapewa barua yake ya kupangiwa kituo cha kazi na akaripoti fresh anaendelea na kazi
 
Back
Top Bottom