HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwan pesa ya kujikimu huwa inakuwa bei gani
Ni shilingi laki moja kwa siku kwa muda wa siku 7. Lakini pia pesa ya nauli na mizigo (tani moja na nusu) toka nyumbani kwako hadimkituo ulichopangiwa. Kama una mke pia analipiwa nauli na posho ya kujikimu siku 7. Kama una watoto (mwisho watoto 4) pia wanalipiwa nauli na nusu posho ya kujikimu kwa siku 7. Hiyo ni kwa mujibu wa Government standing orders. Ila in practice maafisa utumishi huwa wanawanyonga sana waajiriwa wapya hasa ile sehemu ya mizigo. Wanahua kwamba hawawezi kuidai kama wasipopewa huishia kuwapa nauli tu na posho ya kujikimu siku 7. In a worst case scenario hata posho ya kujikimu wengine hawapewi siku 7.
 
Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma[emoji29] nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa wananitegemea kwamba ntakuwa mkombozi wao mambo yamegoma umri unazid kwenda.
Mkuu! Pole sana kwa yote unayopitia, ila usikate tamaa hata siku Moja. Maisha ni fumbo endelea kupambana kwenye maeneo mengine pia, Mwenyezi Mungu atafungua njia[emoji120].
 
Ni shilingi laki moja kwa siku kwa muda wa siku 7. Lakini pia pesa ya nauli na mizigo (tani moja na nusu) toka nyumbani kwako hadimkituo ulichopangiwa. Kama una mke pia analipiwa nauli na posho ya kujikimu siku 7. Kama una watoto (mwisho watoto 4) pia wanalipiwa nauli na nusu posho ya kujikimu kwa siku 7. Hiyo ni kwa mujibu wa Government standing orders. Ila in practice maafisa utumishi huwa wanawanyonga sana waajiriwa wapya hasa ile sehemu ya mizigo. Wanahua kwamba hawawezi kuidai kama wasipopewa huishia kuwapa nauli tu na posho ya kujikimu siku 7. In a worst case scenario hata posho ya kujikimu wengine hawapewi siku 7.
1ook au 80k/7 days?
 
Nashkuru kiongozi
 
Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma😓 nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa wananitegemea kwamba ntakuwa mkombozi wao mambo yamegoma umri unazid kwenda.
Mkuu usikate tamaa mapema Ivo binafsi nimejisikia vibaya sana Ila jiamini,...Amin kwamba umepata, oral ulizohudhuria kuna ambazo tayar upo, subiria placement and kumbuka jitihada zako ulizozitumia mpaka ukaingia oral ni ushind tosha, nahakika uko karibia na mazuri yanakuja zaidi, God is great always
 
Binafsi kuna muda sioni hata sababu ya kuishi kila kitu kimegoma[emoji29] nimeingia oral kadhaa hivi karibuni, mambo yanagoma mbaya zaidi unasikia Naibu waziri anataka toa ajira kwa kwa wanaojitolea nimetafuta intern kwa damu na jasho sijawahi pata naona Giza tuu mbele sina mtaji na watu walikuwa wananitegemea kwamba ntakuwa mkombozi wao mambo yamegoma umri unazid kwenda.
Pole sana mkuu, ni vile huyo jamaa ametokea familia bora na kupata hiyo nafasi hajui hali wanazopitia vijana wenzake wa kitanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni siku nyingine tena,
Tukapambane,tumuonbe Mungu atujaalie afya njema kwetu na wanaotutegemea.

Utumishi tushatupa taulo,always next time.
 
Tuendelee na mapambano tuone leo nn kitajili.

Cjazoea kuona sehemu ya placement haina kimulimuli halaf siku iishe bila kuweka kingine.

Japo kwa mara ya kwanza niliona jana hawakureplace kimulimuli baada ya kilichokuwepo kuzima.
😂😂😂😂😂
 
Mungu ni mwema atatupa Asali za Ajira
 
Tuendelee na mapambano tuone leo nn kitajili.

Cjazoea kuona sehemu ya placement haina kimulimuli halaf siku iishe bila kuweka kingine.

Japo kwa mara ya kwanza niliona jana hawakureplace kimulimuli baada ya kilichokuwepo kuzima.
😂😂😂😂😂
Leo possibility kubwa wakapandisha kamkeka
 
Back
Top Bottom