Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,771
- 126,707
Tangu june mwaka 2022 hadi leo hii, kila siku huwa napitia web ya PSRS.wakuu hvi ni mimi pekee niko addicted na kutembelea website ya PSRS,?kila baada ya muda lazima ni refresh page yao kuona kama kuna pdf.
weka like hapa nijue wangapi tunaoteswa na ubabe huu wa PSRS
Imekuwa ni web yangu pendwa sana.
Sikuwahi kuwaza kama ningekuwa hapa nilipo(kikazi) tangu nielewe umuhimu wa kwenda shule(tangu primary).
Tamisemi na Wizara walinibania, kumbe wakanipush huku upande mwingine.
Tusikate tamaa, We Plan God Decide!!