HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Malalamiko au mapendekezo tunayotoa hayana tija wala maana yoyote kwao (psrs,wizara) kwa sababu wanajua hakuna cha kuwafanya na kila kitu kinaendeshwa kisiasa na sio kiproffessional. Hivyo basi, ukipata nafasi sawa, ukikosa sawa tu, yote maisha! Kila jambo na wakati wake.
Kelele za uma hata siku moja hazipuuzwi...sema humu hatuna msimamo mmoja kuyaongea mapungu yao tusitumie lugha mbaya yanafika...mbona tangazo la kazi missenyi bk wame block wanasema wanatoa kanzi data waliofanya 22/6/2022
 
Kelele za uma hata siku moja hazipuuzwi...sema humu hatuna msimamo mmoja kuyaongea mapungu yao tusitumie lugha mbaya yanafika...mbona tangazo la kazi missenyi bk wame block wanasema wanatoa kanzi data waliofanya 22/6/2022
Tuendlee kul mtori mkuu nyama tutazikuta chini
 
Kelele za uma hata siku moja hazipuuzwi...sema humu hatuna msimamo mmoja kuyaongea mapungu yao tusitumie lugha mbaya yanafika...mbona tangazo la kazi missenyi bk wame block wanasema wanatoa kanzi data waliofanya 22/6/2022
Wametangaza wapi? Kwamba wanatoa kwenye database ya mwezi wa sita?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wametangaza wapi? Kwamba wanatoa kwenye database ya mwezi wa sita?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
soma barua hiyo hapo....
IMG-20230424-WA0001.jpg
 
Najiuliza tamesemi nafasi ni 20200 lakn haitochukua miez 4 watu wanaitwa kazin,how come post za utumishi zichukue mpka miez 8 au mwaka kbsa mtu hajaitwa kazini dah haya mambo ukiwaza sana yanaumiza sn....kuna mambo nchini kwetu hayoko sawa kabsa
 
Kuna siasa nyingi sana zinaendelea inamaana mpaka kibali kinatolewa Psrs walikuwa na taarifa kamili, kwanini mkurugenzi aliruhusiwa kupeleka tangazo jipya,likapokelewa likatangazwa na huku wao wanajua utaratibu ulivyo, je kwa kada hizi za watendaji,masecretary na madereva kweli kunahaja yakuitisha usaili kila mara huku tunajua wao utumishi wanahusika kutunza nafasi za hao watu, na mwaka jana watu wengi wamefanya usaili hawakupata nafasi.

PSRS waache kuendesha mambo kihuni wafuate utaratibu, sio lazima vijana na wanaharakati walalamike ndo utaratibu ufuatwe, tuone kwanza wa kwenye data base wanaisha ndo watangaze nafasi zingine, unatangaza nafasi huku wototo wa wakulima wakiwa na matumaini makubwa kwamba wapo kwenye kanzi data tunaona wazi kuwa utumishi hawatumii rasilimali watu wa kwenye kanzi data vizuri, kwahiyo hawafuati sheria, so wana makosa makubwa, au hawataki, au wana agenda yao au wanashirikaiana na baadhi ya waajiri kuhujumu hii sheria, maana sheria ipo wazi nilicho subiri ni kupeleka watu haraka sana maana kibali tayari, watu unao unachelea nini tena,unakaa miezi miwili au mmoja unasubiri nn kwann tusiwafikirie vibaya wao, wanapointi gani ya kujitetea.

Pia tunataka watu wa community dev waitwe wote walio faulu mwaka jana maaana nafasi zao zipo, sio mpaka kusubiri usaili mpya naamini kuna watu zaidi ya 50+ walifaulu waitwe kazini hao watoto jamani wapeni kazi kama Rais anavyo taka msifanye mambo kihuni office sio yenu hiyo ni ya umma mtaiacha kama mlivyo ikuta timizeni wanibu wenu.

Mjue kitu kimoja watoto wa wakulima wanao hangaika ndio hao hao hata ukitangaza yuletule alie maliza 2015,2016,2017,2018 anaomba so ni kama unamsumbua kuomba kazi kila wakati pia ni muhimu kuwa na data base ya wahitimu wa chuo kikuu ili muwe na taarifa kamili pia nyie ndio washauri wakuu kwa serikali kuangalia hali ilivyo, mkipeleka mambo ovyo mtaonekana mchango wenu mdogo na watu hawataona umuhimu wa hiki chombo.
 
Niseme tu bado tuna safari ndefu sana kufika Tuendako. Kwa hali hii kama ionekanavyo tutegemee tu kuona madudu makubwa zaid ya haya tuyaonayo saiz.

Imagine kuna mtu ana amin kelele hazina msaada wowote kwenye kuwawajibisha viongozi, at the same time mwingne tena anatafsiri haya tunayo discuss humu jinsi ya kuwaafikishia kero zetu wenye mamlaka ni politics.
Hii sio sawa ndugu zangu, kuna mifano mingi sana kam marejereo ya ku prove the logic kwamba kelele zinasaidia sana.

Hatulilii kuajiriwa serikalini. Tunataka wafanyie kazi Haya malalamiko yetu. Ivo tu. Muwe na siku njema
 
Back
Top Bottom