HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi kweli tumekosa best way ya kuwashinikiza watoe majina yote kwa mkupuo kulingana na idadi ya nafasi wazi zilizofanyiwa usaili.??

Napendekeza, twende instagram page yao tuwalalamikie huku tukimtag waziri chawene na rais mwanzo-mwisho.
Ila hakikisha jina la insta halisomi jina lako halisi. Blender mfwende sawadogo n.k tuamke.

Wanatoaje placement shingo upande as if wanalipa mishahara kutoka mifuko yao binafsi???
Kesho tu tamisemi vijana 20 elfu wanaingia kazini, why kada nyingine iwe interview kibao na bado final placement iwe longolongo hivi???
Sekretarieti ya Ajira
Uvumilivu unakaribia kufika mwisho acheni ujinga wenu.
Jobless unataka shinikiza serikali ikuajiri [emoji1]Mimi sikuelewi mkuu.

Unaona kama ajira ni haki ya msingi[emoji1]

Vipi kama muajiri Hana uwezo wa kukuajiri atakulipa Nini!?

Kujitolewa hutaki na mwajiri Hana fund za kuajiri ni both team to score.

Anyway endelea kusaka mrija wa asali with no expectations sababu itakuumiza zaidi.
 
Hivi wakuu zile nafasi zilizotangazwa za Internal Auditor II post 52,,, za LGA na MDA wanahitaji watu wenye CPA (T) tu au hata bachelor anaomba tu???
 
Biotechnology and lab ..... hii mbungi ngumuu dogo had leo haelewek anaajiriwa wap
TMDA, Ofisi ya Mkemia mkuu wa serikali, Wakala wa huduma za maabara za wanyama (TVLA) taasisi za utafiti (TALIRI, TAFIRI, TAWIRI) na idara mbalimbali zinazotoa huduma za kimaabara (mfano maabara kuu ya ubora wa samaki, NFQCLA na nyinginezo nyingi)
 
Hivi wakuu zile nafasi zilizotangazwa za Internal Auditor II post 52,,, za LGA na MDA wanahitaji watu wenye CPA (T) tu au hata bachelor anaomba tu???
Mbona kwenye tangazo wamesema kuhusu vigezo, au umesimuliwa kua kuna tangazo
 
Safri ni ndefuuu mchakato inachukua takriban mwaka hataree sanaa hii mambo
Tena safari ndefu mno Mpk unatoka kwenye data base 1yrs bado tu wanachakata Pdf 1700+...
Mama(rais) ana kazi sana kwa watendaji wake ...
Mungu asimame Nae kwa jambo hilo kama ilivyofanyika kwenye tangazo la kazi missenyi bukoba
View attachment 2598128
 
Mimi nilikuwa na wazo ndugu zangu,
Hebu tuache kulalamika nyuma ya keyboard na tutafute njia mbadala za kuelezea hili tatizo la michakato kuwa ya muda mrefu maana tunacholalamikia sio uchache wa nafasi ila ni michakato kutokuwa na ukomo,bahati mbaya hata wabunge wetu nao wakati wa kujadiki bajeti walijikita kwa walinu na wataalam wa afya tu as if nchi ina wasomi na wahitaji ajira kwa kada hizo tu!!

Nadhani kuna haja ya kutafuta watu wenye ushawishi waite press na kuiadress hii inshu vizuri ili ieleweke, na press yenyewe waainishe na mifano ya michakato iliyochukua muda mrefu na mingine kuishia hewani bila kurudi na feedback za placement, na watu wa kuweza kuzungumzia hili jambo kwa upana huu ni either mwenyekiti wa vijana BAVICHA AU ACT na tena isiwe humu kwenye mitandao ya kijamii bali iitwe press na hili jambo lisemwe kwa upana wake,
Humu tumeshalalamika sana bahati mbaya kwa utafiti wangu ni kuwa kilio chetu kinaishia kwa wale wale wanaocheleweaha mchakato,basi ni heri waseme watu wote mlifeli au wasiite interview maana ni haki ya mtu kupata matokeo kwa kile alichofanya,sasa hivi kila siku ni mchakato mchakato,hivi kuna mchakato sensitive kama wa uchaguzi??mbona unaisha muda mfupi??lkn huu wa ajira ni kama wa chura napo hadi apigwe teke ndio asogee,watu kila siku wanalalamika wanafata barua na kukuta zina zaidi ya mwezi tangu ziandikwe lkn tukirudi huku kauli ni mchakato.

Hebu tuamke tuone namna iliyo bora ya kufikisha taarifa kwa wahusika wa maamuzi,mtu kama pambalu au nondo wanatakiwa waite press na kuichambua hii kitu kwa upana ieleweke kwa jamii.
 
Aiiisee naona Sasa hamtaki siasa tena

Malalamiko au mapendekezo tunayotoa hayana tija wala maana yoyote kwao (psrs,wizara) kwa sababu wanajua hakuna cha kuwafanya na kila kitu kinaendeshwa kisiasa na sio kiproffessional. Hivyo basi, ukipata nafasi sawa, ukikosa sawa tu, yote maisha! Kila jambo na wakati wake.
 
Umeongea ukweli mkuu
 
Mimi nilikuwa na wazo ndugu zangu,
Hebu tuache kulalamika nyuma ya keyboard na tutafute njia mbadala za kuelezea hili tatizo la michakato kuwa ya muda mrefu maana tunacholalamikia sio uchache wa nafasi ila ni michakato kutokuwa na ukomo,bahati mbaya hata wabunge wetu nao wakati wa kujadiki bajeti walijikita kwa walinu na wataalam wa afya tu as if nchi ina wasomi na wahitaji ajira kwa kada hizo tu!!

Nadhani kuna haja ya kutafuta watu wenye ushawishi waite press na kuiadress hii inshu vizuri ili ieleweke, na press yenyewe waainishe na mifano ya michakato iliyochukua muda mrefu na mingine kuishia hewani bila kurudi na feedback za placement, na watu wa kuweza kuzungumzia hili jambo kwa upana huu ni either mwenyekiti wa vijana BAVICHA AU ACT na tena isiwe humu kwenye mitandao ya kijamii bali iitwe press na hili jambo lisemwe kwa upana wake,
Humu tumeshalalamika sana bahati mbaya kwa utafiti wangu ni kuwa kilio chetu kinaishia kwa wale wale wanaocheleweaha mchakato,basi ni heri waseme watu wote mlifeli au wasiite interview maana ni haki ya mtu kupata matokeo kwa kile alichofanya,sasa hivi kila siku ni mchakato mchakato,hivi kuna mchakato sensitive kama wa uchaguzi??mbona unaisha muda mfupi??lkn huu wa ajira ni kama wa chura napo hadi apigwe teke ndio asogee,watu kila siku wanalalamika wanafata barua na kukuta zina zaidi ya mwezi tangu ziandikwe lkn tukirudi huku kauli ni mchakato.

Hebu tuamke tuone namna iliyo bora ya kufikisha taarifa kwa wahusika wa maamuzi,mtu kama pambalu au nondo wanatakiwa waite press na kuichambua hii kitu kwa upana ieleweke kwa jamii.
Ajira imekua hisani nasio haki ya mtanzania .yote sababu kuna kundi la wachache ndio hujiona wao ndio tanzania na tanzania ni wao. hali hii itafanya wengi kuendelea kumuomba MUNGU kundi la wachache liamke vizuri angalau litukumbuke cc majority hoii hahee.

Uhai bila fursa/kazi ni mateso yaliyo vuka kiasi hali ya wengi wetu tunamshukuru MUNGU kwa kufanya oksijeni ni bure,nje na hapo sijui ingekuwaje yani coz we are suffering from oppressive,biased and corrupted minority
 
Back
Top Bottom