Kwa hiyo unaamini akiweka post ake humu itaonwa na watu wote hao?1M+ viewers Sio mchezo , inabidi ma BestLooser wapewe gawio kutokana na matangazo ya biashara kwenye huu uzi wetu pendwa
Kaka zake tupo kwenye ajira mwaka 10 huu na hatujatoka humuyupo kwenye utumishi wa umma zaid ya miezi miwili sasa, pumzi ya moto mwanangu kashasahau
Mimi nilikua muhanga wa hili, nilivoona inashindikana ku-appload picture, sikijisumbua kabisa na kukamilisaha taratibu na kutuma maombi, tangazo lilikua wazi na liliweka mkazo kuwa picha ni lazima.Mchakato ulikua wahovyo sana, siongei kwasababu nilikosa, ila mchakato haukua wa uwaz, watu wengi walikosa kuitwa kwenye aptitude test sababu ya kushindwa kuapload picture, wakati hilo lilikua tatizo la system yao.
Elezea ukweli wako hapa tuufahamu humu jukwaani.WW jamaa, muongo sana
Mm nilitengeneza ndani ya siku moja, ni kuongea tuu na pocket yako.Hiyo mpaka kutoka deedpoll inachukua muda gani ?
Ukiona amna shuhuda ujue mambo bado, mbona watu wengi humu tumepangwa Halmashauri na shuhuda tumetoaKuna pdf la taasisi za mashirika linakuja utaona shuhuda zitavo kuwa nyingi
Utasikia"" nimevumilia lakini nimeshindwa ntakuwa sitendi haki kwenye hii pdf na mm nimepata TPDC""" ila halmashauri wanavumilia,
Jaman leteni shuhuda haijalishi umepangiwa wapi upo sehemu sahihi niamini mm, haijalisha upo halmashaur au lah akili yako itakufikisha unapotaka.
Huko twitter watu wanaipelekea moto kazi za tra kuna ukabila ...Wanasema hata kama imeamishwa Utumishi mambo ni yaleyale haiwezekani wanaopangiwa wengi wanatoka uwanda mmoja ....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ata ivyo nilikuwa nA natania TU, hatutaki matangazo kwenye hili jukwaa la majoblessKwa hiyo unaamini akiweka post ake humu itaonwa na watu wote hao?
Trust me, komenti yake inaweza kuonwa na wachache sana ukilinganisha na ikiwa ni uzi unaojitegemea.
Kumbuka kuna watu huwa wanapitia jukwaa husika kuangalia nyuzi/vichwa vya nyuzi ndipo wafungue wauone ndani, sasa kama huu uzi unahusu ajira, mtu anayetaka kununua hawezi kuja humu ataenda kwenye jukwaa la matangazo/biashara akatafute anachokitaka.
Una upload picture Ina MB 5, kweli hiki kitu kinawezekana?Mimi nilikua muhanga wa hili, nilivoona inashindikana ku-appload picture, sikijisumbua kabisa na kukamilisaha taratibu na kutuma maombi, tangazo lilikua wazi na liliweka mkazo kuwa picha ni lazima.
Nashukuru umeliweka vizuri hili, kuna mdau juu huko alikua anasifia hii sahili, nafikiri alikua mmoja wa wanufaika huyo.
Umeiweka kitaalam sananina wanangu wawili hvii tunakesha na web ya PSRS kila pdf lazima wanangu wanitonye kwa text kuwa sawadogo kuna pdf mpya imetoka ila bado bila bilaa coz tunaamini tupo database.
PSRS toeni pdf ya watu waliopo database na yupo namba ngapi usahili waliopiga soon after oral interview. mfano
Mfwende sawadogo -mchumi (no 157) MDAs&LGAs interview
huku mkiandika NB:Kuwepo database sio guarantee ya kupata post
kuliko mnavotutesa sasa
[emoji16][emoji16]halmashauri wanavumiliaKuna pdf la taasisi za mashirika linakuja utaona shuhuda zitavo kuwa nyingi
Utasikia"" nimevumilia lakini nimeshindwa ntakuwa sitendi haki kwenye hii pdf na mm nimepata TPDC""" ila halmashauri wanavumilia,
Jaman leteni shuhuda haijalishi umepangiwa wapi upo sehemu sahihi niamini mm, haijalisha upo halmashaur au lah akili yako itakufikisha unapotaka.
KwaDeedpoll wadau wanasema ndio nziri zaidi
Kwa hiyo sasa hiviTusilaumu bure....wanapokwambia karekebishe majina yako wanamaana yao huko mbeleni usipate changamoto zikitokea tuwe tunakubali mapungufu/makosa mimi limeshawai kunitokea....
sasa hivi computer zinatema jina ukikosea
mfano.Benson kitamburisho cha taifa kimeandikwa
Ukija kwenye cheti wameweka Bensoni ....
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Poa ,ngoja Jumatatu nimcheki mwanasheriaMm nilitengeneza ndani ya siku moja, ni kuongea tuu na pocket yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maliza kwanza masomo yako hapo chuoni ulipo, uingie katika ulingo wa kutafuta kazi sekta ya umma uone mambo yalivyo katika uhalisia wake.Una upload picture Ina MB 5, kweli hiki kitu kinawezekana?
Trend ya shuhuda imeshuka sana zaman pdf ya watu 40 tunapata shuhuda nne na kuendelea makadirio, ila izi pdf za halmashauri zinabeba watu wengi halafu tukiziunganisha zote na idadi ya shuhuda, yaani wachache sana wameleta shuhuda.[emoji16][emoji16]halmashauri wanavumilia
Asali imenoga mpaka umepotea!Trend ya shuhuda imeshuka sana zaman pdf ya watu 40 tunapata shuhuda nne na kuendelea makadirio, ila izi pdf za halmashauri zinabeba watu wengi halafu tukiziunganisha zote na idadi ya shuhuda, yaani wachache sana wameleta shuhuda.
Pdf ina watu 200 hata mmoja kweli hayupo.
Wabunge hawawezi kujua haya mamboHalafu juzi kamati ya bunge ya Utawala, Sheria na Katiba, ikawa inaisifia Tume ya mahakama jinsi wanavyotenda haki kwenye mchakato wa ajira na kusema taasisi zingine ikiwemo PSRS kuiga mfano kwa tume ya utumishi wa mahakama, nadhani kamati ya Ubunge wamesifia kitu wasichokijua, ni shida sana bado tunasafari ndefu sana Nchi yetu.