HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
hakukua na upendeleo maana asilimia kubwa ya waliokua wakijitolea walikatwa ingawa badae naona waliitwa tena na kufanyiwa mchakato tena kwa nafasi chache na walizishindania wao kwa wao
Umezuunguka, umerudi mule mule tu, mahakama haikutenda inavyopswa kutenda, haikusimamia haki wala usawa katika kushindanisha hizo nafasi.
Uelewe pia, hoja hapa sio tu kwa sababu mtu anajitolea, ikitokea nafasi apate nafasi, nchi hii, kupata tu nafasi ya kujitolea n lazima kuwa na connection yenye nguvu, hasa katika mamlaka kama hizo.
Mchakato uwe fair, sio kwa intern wala non-intern, nafasi zishindaniwe kwa haki.
 
Hata hujui unatetea nini, kila system inachuja kwa namna mamlaka inavohitji. Kws issue ya mahakama, portal iliruhusu ku-appload picha siku moja au mbili tu, baada ya siku hizo, ilikua haiwezekani ku-appload picha, wengi walinasa hapa na wala sio kwa sababu ya system kutaka wenye ufaulu wa juu. Tangazo lilikua wazi, halikuelekeza linataka watu wa ufaulu kwa grade ya juu.

Kilichoendelea wanajua waliokua shortilisted, mchakato haukua wa haki wala usawa.
Nilimfanyia application siku ya mwisho na sikupata shida wala kukwama popote kila kitu kilikua sawa, sijui wewe ulishindwaje kuappload picha
 
Do the math…ku top up simu, kuhonga, kumpa Mama na Baba, kulipa rent, kulala kwa 6*6!
Hahahaaa.

Simu naona ni kigezo cha kwanza kwa kila anayepata vijisenti, mimi nilimununulia tu wife, tena simple kwa sababu ile ya mwanzo ilikuwa imeharibika, isingekuwa imeharibika, bajeti ya simu isingekuwepo.

Mimi ninayo simu simple tu hapa, sifikirii kununua nyingine kwa siku za karibuni..

Simu yangu kabla ya hii ya sasa, niliitumia kwa muda wa miaka 6 hadi ikaharibika kabisa ndipo nikanunua hii ya sasa.

Mimi sio muumini wa matoleo, ila ni muumini wa simu kupiga kazi tu.

Point yangu ni kuwa kupanga ni kuchagua na sikatai mnunue vitu mvipendavyo hasa baada kuhustle. Tuishi
 
Naomba msalimie sana Mr. Lucas.
Nichukue nafasi hii kuwakaribisha Pius High School. Ni shule ya kutwa na Bweni yenye mazingira Bora sana. Tunapokea wanafunzi wa KIDATO Cha Tano Kwa muhula wa masomo 2023/2024 katika tahasusi zifuatazo PCB, PCM, CBG, EGM, HKL, HGL, HGK, PGM na HGE.

Uteuzi unategemeana na matokeo ya KIDATO Cha nne 2022. Muombaji anatakiwa kuwa na angalau D mbili katika tahasusi anayotaka kusoma na matokeo ya jumla ya daraja la tatu. Tunapokea pia wanafunzi wa kuhamia Kwa KIDATO Cha kwanza, tatu na sita Kwa mwaka 2023.

Ada zetu ni nafuu na hulipwa Kwa awamu. Kwa maelekezo zaidi, tafadhali wasiliana nami 0613162459. Shule ipo kata ya Toangoma-mbagala, Dar es salaam. Karibuni.
 
Hata hujui unatetea nini, kila system inachuja kwa namna mamlaka inavohitji. Kws issue ya mahakama, portal iliruhusu ku-appload picha siku moja au mbili tu, baada ya siku hizo, ilikua haiwezekani ku-appload picha, wengi walinasa hapa na wala sio kwa sababu ya system kutaka wenye ufaulu wa juu. Tangazo lilikua wazi, halikuelekeza linataka watu wa ufaulu kwa grade ya juu.

Kilichoendelea wanajua waliokua shortilisted, mchakato haukua wa haki wala usawa.
Mchakato haukua wa haki kabisa, majina ya kwenda kufanya aptitude test yalitolewa kwenye web, waliofaulu kuingia oral majina nayo wakayapublish kwenye web, Ila chaajabu waliofaulu oral na kupata kazi majina hayakutangazwa, walitumiwa email na SMS.
 
Katika ajira ambazo hazikushindaniwa kwa usawa ni zile za mahakama, hizi za bunge kilichobadilika ni maombi tu kutimwa kwa katibubwa bunge, mwaka jana maombi yalielekezwa kwa katibu psrs, ni maboresho madogo.

Za tume ya mahakama mwaka jana, walitumia portal yao katika website yao, kigezo kikuu kilikua ku-apload passport size photo, ajab ilikua, baada ya siku moja au mbili toka tangazo litoke, haikua inawezekana tena ku-upload photo, nyomi ikapunguzwa hapa.

Ikaja katika kuita usahili, wakaelekeza watu waende na PC zao, walichokutana nacho, kila mmoja alisema lake, kifupi ni kama walikua na watu tayari, kibaya walishindwa kuendesha mchakato katika usawa na uwazi, ilikua mchakato wa aibu mnoo kwa taasisi ya kusimamia haki kama ile, baada ya mchakato, wakatoa feedback ya uongo na kweli katika website yao kuonesha kuwa walisimamia ushindani kwa haki na usawa, aibu mnoo.
Kwakuongezea tu hapo, majibu ya aptitude test yalitolewa sakumi na moja alfajiri wakati oral inaanza sambili asubuhi siku hiyo hiyo, kada karibia zote zilifanyishwa oral interview na panel moja ya watu watatu, majina ya walioitwa kazin hayakutangazwa, walitumiwa SMS kwenye sim pamoja na kutumiwa e-mail
 
Halafu juzi kamati ya bunge ya Utawala, Sheria na Katiba, ikawa inaisifia Tume ya mahakama jinsi wanavyotenda haki kwenye mchakato wa ajira na kusema taasisi zingine ikiwemo PSRS kuiga mfano kwa tume ya utumishi wa mahakama, nadhani kamati ya Ubunge wamesifia kitu wasichokijua, ni shida sana bado tunasafari ndefu sana Nchi yetu.
 
Mchakato ulikua wahovyo sana, siongei kwasababu nilikosa, ila mchakato haukua wa uwaz, watu wengi walikosa kuitwa kwenye aptitude test sababu ya kushindwa kuapload picture, wakati hilo lilikua tatizo la system yao.
Halafu juzi kamati ya bunge ya Utawala, Sheria na Katiba, ikawa inaisifia Tume ya mahakama jinsi wanavyotenda haki kwenye mchakato wa ajira na kusema taasisi zingine ikiwemo PSRS kuiga mfano kwa tume ya utumishi wa mahakama, nadhani kamati ya Ubunge wamesifia kitu wasichokijua, ni shida sana bado tunasafari ndefu sana Nchi yetu.
 
Nchi ya ovyo hii ,kuna kitu nataka kufahamu hivi kukiwa na tofauti ya spelling kwenye birth certificate na vyeti vya taaluma je naweza tumia affidavit kuhudhuria usahili wa psrs au lazima niwe na deedpoll
 
Anhaa ,kumbe hawazingui au sio ? , Vipi mchakato wa kupata affidavit na gharama zake unakuwaje?
Kwa uhakika zaidi tafuta Deadpool maana huwa hawatabiliki cost ya kusajili Deadpool wizara ya ardhi ni 32k gharama za kutengeneza ni maeleweno kati yako na mwanasheria wako utakaemfata
 
Utajisajili Salary slip portal.

Taarifa ambazo unatakiwa uwe nazo iliuweze kujisajili.

1. Cheque namba
2. Vote
3. Sub vote
4. Uifahamu kwa usahihi scale yako e.g TGS D1
5. Zingine ni taarifa zako za kawaida

Ukishajisajili utapata username na password ya kuingia na utaona salary slip ikiwa imechapwa mapanga bila huruma
Yaan hata cheque no yangu siijui japo.. mshahara wa mwezi huu nimelipwa..
 
Hiyo mpaka kutoka deedpoll inachukua muda gani ?
Kwa kawaida ni siku saba ila ukitaka siku hiyohiyo unakipata ila kuna mawili utafute mtu umpoze akufanyie mchakato au uombe kuonana na msajili mwenyewe then umwambie inashida nayo ya haraka anaweza kukusainia siku hiyohiyo ila kama huna haraka nacho na huna mtee peleka pale wanakupa control number then unaenda kuchukua receipt alafu unasubili siku saba kinakua tayari
 
Back
Top Bottom