mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
ndio haya majina mkuuHivi zile kazi interview ya LGA na MDA iliyofanyika mwezi wa pili ndiyo haya haya majina wanayotoa au Kuna mengine?? Mbona utumishi hawaeleweki au ndiyo wanawachakachuwa vijana wetu??