Hakuna hiyo option ya kujuaWadau kuna mtu yoyote Anajua kuangalia kupitia mfumo wa ajira portal kujua kazi imeombwa na watu wangapi???
Hakuna hiyo option ya kujuaWadau kuna mtu yoyote Anajua kuangalia kupitia mfumo wa ajira portal kujua kazi imeombwa na watu wangapi???
Kweli boss, I’ll live with it nicely next time!! Mambo ni mengi kwa sasautazoea tu
Mkuu!! Pambana tuu....hakuna namnaNimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumvi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sijatukana, check your wordsMwingine hana ramana ya hata 100 mwningine ana 1m na kaushee na anatukana juu kwa hakatoshi 🤣 🙌 anyway tuishii maana hata vidole havilingani
Do the math…ku top up simu, kuhonga, kumpa Mama na Baba, kulipa rent, kulala kwa 6*6!1M na kaushee sio mkuu! so ume spend jana pekee??
Nimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumvi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Usijali mkuu pambana tuu, utatoboaYaani mnaozikandia halmashauri nawakumbusha kuna sisi tulioko kwenye mazingira kama haya shukuruni kwa yote nchi itajengwa na sisi wenyewe kila eneo linahitaji nguvu kazi.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
oya sawadogo kama unasubili msjibu ya economist II nipe namba nikuunge group moja la watsapp la ECONOMIST II. hilo group kila pdf ikitoka watu wanatoa ushuhuda wa kulamba sukari guru, mana halmashauri raia wamesema cio asali.1M na kaushee sio mkuu! so ume spend jana pekee??
asante mkuu, mm ni bestlooser ama second selection ,direct placement zote nililimwa nimebaki navizia hapaoya sawadogo kama unasubili msjibu ya economist II nipe namba nikuunge group moja la watsapp la ECONOMIST II. hilo group kila pdf ikitoka watu wanatoa ushuhuda wa kulamba sukari guru, mana halmashauri raia wamesema cio asali.
weka link nijoin mkuuoya sawadogo kama unasubili msjibu ya economist II nipe namba nikuunge group moja la watsapp la ECONOMIST II. hilo group kila pdf ikitoka watu wanatoa ushuhuda wa kulamba sukari guru, mana halmashauri raia wamesema cio asali.
oya sawadogo kama unasubili msjibu ya economist II nipe namba nikuunge group moja la watsapp la ECONOMIST II. hilo group kila pdf ikitoka watu wanatoa ushuhuda wa kulamba sukari guru, mana halmashauri raia wamesema cio asali.
Madhara ya kujuana hayaHivi yesamrich ushuhuda haujakufikia buyu la asali? Maana afisa biashara Naona saiv kila pdf wapo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Linakuja usiku huu or keshoKuna pdf la taasisi za mashirika linakuja utaona shuhuda zitavo kuwa nyingi
Utasikia"" nimevumilia lakini nimeshindwa ntakuwa sitendi haki kwenye hii pdf na mm nimepata TPDC""" ila halmashauri wanavumilia,
Jaman leteni shuhuda haijalishi umepangiwa wapi upo sehemu sahihi niamini mm, haijalisha upo halmashaur au lah akili yako itakufikisha unapotaka.
Next week hyo mzee hamna dalili la pdf leo tenaLinakuja usiku huu or kesho
Pamoja kiongoziNext week hyo mzee hamna dalili la pdf leo tena
Follow this link to join my WhatsApp group: BUNGE~ECONOMIST II🔥weka link nijoin mkuu