Huu sio Uzi wa matangazo ya biasharaAsante sana mkuu. Wajulishe na wengine wenye uhitaji. 0613162459
Huu sio Uzi wa matangazo ya biasharaAsante sana mkuu. Wajulishe na wengine wenye uhitaji. 0613162459
Safi nashangaa humu hoja nyingi kule retweets na replies hata kumi hazifiki, mwana wa msoga akiona mentions nyingi angefanya jambo tuTayari nishatia mguu huko
Siku bado haijaisha kuna asali nzito sana naiona iko njianPSRS watatuua na njaa
Relax mzee hivi vitu vidogo hela itaingia tu ni process za kawaida tu hizo, kikubwa mchongo umeshaupataIla hizi mambo za Ajira ni pasua kichwaa tu,unaitwa kazini,unaenda kwa mwajiri,unakamilisha process zote,mda wa mshahara unafika hamlipwi daah..Vijana tunapitia maisha Magumu sanaa kuanzia kuomba kazi, interview nakusubiria majibu ya placement..kazini nako mambo si mambo daah no way out
Mkuu wewe si umepata wizarani, au hao hao wizara wamekupeleka ofisi zao za mkoa?Mzee wengine unapelekwa sehemu unajiuliza ndo huku
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hakuna kitakacho shindikana kma wote tutaongea lugha moja. Vijana wenyewe bado hatuko tayari kujipambania yan tunasubir wanasiasa ndo watupambanie kitu ambacho akitakuja kutokea. UMOJA....UMOJA....UMOJA
Kama kweli tunataka kufanya move yyte ya kuonesha "tumechoka na huu ujinga"
Cha kwanza kabisa we need to have a leader then mamb mengne yataenda tu. Vijana tuamke najua kuandamana hatuko tayari basi ata move ya huku mitandaoni tushindwe? come on....
Unajua tukichagua kukaa kimya kwamba kila mtu apambane na hali yake basi hawa jamaa wataendelea kucheza sana na hisia zetu as usual.
Mkuu hadi upate check No ndio utapata mshahara, kama chek No yako haijatoka subiri mwezi ujao ikitoka utapata tu mshahara wako.Ila hizi mambo za Ajira ni pasua kichwaa tu,unaitwa kazini,unaenda kwa mwajiri,unakamilisha process zote,mda wa mshahara unafika hamlipwi daah..Vijana tunapitia maisha Magumu sanaa kuanzia kuomba kazi, interview nakusubiria majibu ya placement..kazini nako mambo si mambo daah no way out
Nilisoma pahali ule muongozo wao Ukipangiwa mahali usiporipoti basi hutafikiriwa tena kupata ajira.Na hivi placement ipo kwenye mfumo ndio kabisaa jina likipangwa tena litagoma.Hivyo unaweza kuomba kazi ukaitwa tena kwa usaili lkn fainali pale kwenye placement hivyo work done = 0Hello guys! Hope wote mko poa. Naomba kupata uelewa ikitokea mtu amepata Placement PSRS then akaamua kuipiga chini kwa sababu moja au nyingine hususani kwenye upande wa maslahi. Je ni adhari zipi ategemee kukutana nazo kwa uamuzi wake wa kutokwenda kureport kituo Cha Kazi alichopangiwa?
Je ataruhusiwa kuomba Kazi Tena utumishi?msaada au mawazo tafadhali kwa wenye uelewa juu ya hili
Wapigie simu wanaweza rekebisha mkuu
Mkuu bado hamjalipwa? hivi mishahara ya taasisi zinazojitegemea/zinazozalisha huwa haitoki hazina?Ila hizi mambo za Ajira ni pasua kichwaa tu,unaitwa kazini,unaenda kwa mwajiri,unakamilisha process zote,mda wa mshahara unafika hamlipwi daah..Vijana tunapitia maisha Magumu sanaa kuanzia kuomba kazi, interview nakusubiria majibu ya placement..kazini nako mambo si mambo daah no way out
Umepelekwa wapi mkuu?Mzee wengine unapelekwa sehemu unajiuliza ndo huku
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kufanya intern bungeni unapitia wapi, ndi maana nilimuna spika nae anaunga mkono hoja ya watu wanao jitolea wawe na kanzi data yao, wapewe kipaumbele, sasa ww bungeni pale utaingiaje pale huna mtu, au mahakama ndio maana kuna baadhi ya taasisi wafanya kazi wake watakuwa ni haohao mpaka Mungu atakapo ingilia kati utaratibu wanao utaka wa wanao jitolea ni uchochoro, maana ni ndg zao ndo wanawataka hapo hili jambo ni changamoto kubwa sana na linaleta ubaguzi ambao ni hatari kwa taifaUnajua tume ya utumishi wa Bunge na Mahakama wanakuga na watu wao wanaofanya internship hivyo mara nyingi matangazo yao ya Ajira huwa ni kukamilisha ratiba tu, ndio maana unakuta wanatangazaga nafasi ambazo ukiangalia hizo kada unakuta zina watu ambao tayari walishafanyaga saili za PSRS na wapo data base, mfano miezi miwili nyuma walitangaza Accounts officer wakati huo watu walishafanya Accounts officer za Mda&Lga, pia jana wametangaza financial management officer wakati mwezi February kuna watu wamefanya nafasi hiyohiyo TPDC. Pia mwakajana Tume ya utumishi wa mahakama walitangaza nafasi za Accounts officer ili hali pia nafasi hizohizo zikatangazwa na PSRS kwa upande wa MDA&LGA, ndipo hapo panaleta mkanganyiko kwa hizi taasisi za Serikali naona hapa kuna double standards baina ya taasisi za Serikali.
Kwa kweli hiyo ni changamoto sana, unajua ishu ya kujitolea inachukuliwa kama ni masihara lakini ukiichunguza kimakini ina elements za kujuana sana, lisipoangaliwa vema watu hutumia kama upenyo, hivyo kusema kuwa na data base ya watu wanaojitolea is not fair in deed, Vijana wanapenda sana kujitolea lakini hizo nafasi hazipatikani kirahisi kama inavyodhaniwa.Kufanya intern bungeni unapitia wapi, ndi maana nilimuna spika nae anaunga mkono hoja ya watu wanao jitolea wawe na kanzi data yao, wapewe kipaumbele, sasa ww bungeni pale utaingiaje pale huna mtu, au mahakama ndio maana kuna baadhi ya taasisi wafanya kazi wake watakuwa ni haohao mpaka Mungu atakapo ingilia kati utaratibu wanao utaka wa wanao jitolea ni uchochoro, maana ni ndg zao ndo wanawataka hapo hili jambo ni changamoto kubwa sana na linaleta ubaguzi ambao ni hatari kwa taifa
Hapo ndo wanakosea utumishi hizo post za kuzuga wasisumbue watu, maana kiukweli hata uombe hutapata utashangaa watu wapo kazini.Unajua tume ya utumishi wa Bunge na Mahakama wanakuga na watu wao wanaofanya internship hivyo mara nyingi matangazo yao ya Ajira huwa ni kukamilisha ratiba tu, ndio maana unakuta wanatangazaga nafasi ambazo ukiangalia hizo kada unakuta zina watu ambao tayari walishafanyaga saili za PSRS na wapo data base, mfano miezi miwili nyuma walitangaza Accounts officer wakati huo watu walishafanya Accounts officer za Mda&Lga, pia jana wametangaza financial management officer wakati mwezi February kuna watu wamefanya nafasi hiyohiyo TPDC. Pia mwakajana Tume ya utumishi wa mahakama walitangaza nafasi za Accounts officer ili hali pia nafasi hizohizo zikatangazwa na PSRS kwa upande wa MDA&LGA, ndipo hapo panaleta mkanganyiko kwa hizi taasisi za Serikali naona hapa kuna double standards baina ya taasisi za Serikali.
Hapa solution kumtafuta N/W ..Tuunganishe nguvu kufikisha ujumbe kwa Rais, hawa Sekretarieti ya Ajira siyo wakuchekea, wasitufanye sisi ni wajinga.
Na kuunga mkono, niliona hiyo ishu mwaka jana kwenye tume ya utumishi wa mahakama ki ukweli ulikuwa ni mchezo wa kuwasumbua vijana tu. Ila kwa hapa naona PSRS hawahusiki naona shida zitakuwa kwa hizi tume zenyewe kwa sababu hata ukiangalia anuani za barua za maombi zinaelekezwa kwa Katibu wa Bunge na siyo psrs, naona psrs wanatumiwa kwa ajili ya kupitishia barua za maombi au kushortlist nadhani saili zitaendeshwa na Tume ya utumishi wa Bunge yenyewe, niliona ingekuwa vema tu hiyo tume ya Utumishi wa Bunge ingeomba tu hao watumishi kutoka PSRS ambao tayari walifanya saili za hizo kada husika waliopo kanzi data ili kupunguza urasimu, rasilimali na muda wa watu kwenda kufanya saili za hizo nafasi mojamoja naona taasisi za serikali ni kama hazijengi nyumba moja kwa kweli.Hapo ndo wanakosea utumishi hizo post za kuzuga wasisumbue watu, maana kiukweli hata uombe hutapata utashangaa watu wapo kazini.
Hapo hizo nafasi zinawatu wamefanya kuwaombea kibali basi, unasumbua watu unashortlist watu 400 ilihali hapo nafasi ni chache na zinawatu tayari huo ndo usumbufu watu wanapinga, bunge nitaasisi kubwa huwa wana ajili wenyewe, waajili kimyakimya maana haina haja ya kuonesha watu unaajira kumbe huna hho ni unafiki hizo nafasi hata oral huingii utakatwa juu kwa juu baba wanaita watu wao...
Hapo ndo wanakosea utumishi hizo post za kuzuga wasisumbue watu, maana kiukweli hata uombe hutapata utashangaa watu wapo kazini.Hapo hizo nafasi zinawatu wamefanya kuwaombea kibali basi, unasumbua watu unashortlist watu 400 ilihali hapo nafasi ni chache na zinawatu tayari huo ndo usumbufu watu wanapinga, bunge nitaasisi kubwa huwa wana ajili wenyewe, waajili kimyakimya maana haina haja ya kuonesha watu unaajira kumbe huna hho ni unafiki hizo nafasi hata oral huingii utakatwa juu kwa juu baba wanaita watu wao...
Nimeona wabunge wanaisifu mahakama na tume Yao ya Ajira sasa hapa sijui tuamini lipi Wabunge watoa mbinu kuepuka upendeleo ajira serikaliniNa kuunga mkono, niliona hiyo ishu mwaka jana kwenye tume ya utumishi wa mahakama ki ukweli ulikuwa ni mchezo wa kuwasumbua vijana tu. Ila kwa hapa naona PSRS hawahusiki naona shida zitakuwa kwa hizi tume zenyewe kwa sababu hata ukiangalia anuani za barua za maombi zinaelekezwa kwa Katibu wa Bunge na siyo psrs, naona psrs wanatumiwa kwa ajili ya kupitishia barua za maombi au kushortlist nadhani saili zitaendeshwa na Tume ya utumishi wa Bunge yenyewe, niliona ingekuwa vema tu hiyo tume ya Utumishi wa Bunge ingeomba tu hao watumishi kutoka PSRS ambao tayari walifanya saili za hizo kada husika waliopo kanzi data ili kupunguza urasimu, rasilimali na muda wa watu kwenda kufanya saili za hizo nafasi mojamoja naona taasisi za serikali ni kama hazijengi nyumba moja kwa kweli.