Hivi kweli tumekosa best way ya kuwashinikiza watoe majina yote kwa mkupuo kulingana na idadi ya nafasi wazi zilizofanyiwa usaili.??
Napendekeza, twende instagram page yao tuwalalamikie huku tukimtag waziri chawene na rais mwanzo-mwisho.
Ila hakikisha jina la insta halisomi jina lako halisi.
Blender mfwende sawadogo n.k tuamke.
Wanatoaje placement shingo upande as if wanalipa mishahara kutoka mifuko yao binafsi???
Kesho tu tamisemi vijana 20 elfu wanaingia kazini, why kada nyingine iwe interview kibao na bado final placement iwe longolongo hivi???
Sekretarieti ya Ajira
Uvumilivu unakaribia kufika mwisho acheni ujinga wenu.