HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Nilisoma pahali ule muongozo wao Ukipangiwa mahali usiporipoti basi hutafikiriwa tena kupata ajira.Na hivi placement ipo kwenye mfumo ndio kabisaa jina likipangwa tena litagoma.Hivyo unaweza kuomba kazi ukaitwa tena kwa usaili lkn fainali pale kwenye placement hivyo work done = 0
24. Mwombaji wa ajira ambaye hataripoti katika kituo cha kazi alichopangiwa bila kutoa sababu za msingi hatapangiwa tena kituo kingine cha kazi na hatafikiriwa kwa mara nyingine pindi atakapowasilisha maombi ya kazi yenye sifa zile zile za kazi aliyoiomba awali katika Utumishi wa Umma.
 
Hauwez jitolea bila connection
Kwa kweli hiyo ni changamoto sana, unajua ishu ya kujitolea inachukuliwa kama ni masihara lakini ukiichunguza kimakini ina elements za kujuana sana, lisipoangaliwa vema watu hutumia kama upenyo, hivyo kusema kuwa na data base ya watu wanaojitolea is not fair in deed, Vijana wanapenda sana kujitolea lakini hizo nafasi hazipatikani kirahisi kama inavyodhaniwa.
 
Back
Top Bottom